Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #41
Hapo utaangalia jinsi ya kusuluhisha mgogoro kwa namna bora kabisa yenye kuzingatia maadili na maslahi ya pande zote na jamii kwa ujumla.
Si jambo rahisi kwa sababu mara nyingine uhuru wa mtu mmoja unaingilia uhuru wa mtu mwingine.
Ni kama ukiwa na jirani ambaye yupo kwake anasikiliza muziki kwa sauti ya juu kwa mujibu wako, lakini yeye anaona si ya juu halafu yupo kwake. Inatakiwa diplomasia na akili kusuluhisha bila kuongeza mkwaruzano.
okeee
nimejitahidi kukuelewa