Mambo ya kike yanaishia wapi? I seen bros rocking cornrows, rocks in they ears and noses, tight pants...hayo pia ni mambo ya kike??
![]()
Sina jibu, lakini hatutatunga sheria ya kuwafunga au kuwanyonga. Tulichoamua huku kwetu mitaani, anapojitokeza roho yake ni halali yetu kama washona wa kwa Mugabe, maana anawatia uchungu akina dada kwamba hawawezi kazi.Habari zenu,
Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje?
Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na kuitwa jina maalum (....) ni hadi afanye mambo mingapi ya kike?
Je akifanya jambo moja tuu la kike kwa mara ya kwanza je huyu mtu utasema anatabia za kike au anajifunza (u....)?
Mfano mkaka anapofanyiwa manicure na pedicure baa na wale vijana wanaotembea na vikapu vya kupaka rangi kisha anakatwa kucha na kupakwa rangi ya colourless..... hapo mnasemaje? Imekaa sawa hii?
Je huo sio mwanzo wa kesho kwenda saluni kutinda nyusi na kuanza kupaka lips shine?
Hivi huo ni usharobaro au ndo style za mjini? Nisaidieni wanaume hizi tabia za wanaume kwa wavulana kufanya tabia za urembo wa kike ni sawa?
Au ndo atari za umagharibi? Kweli jamani.... mmmh mie naona haijawa sawa ila naombeni maelezo yenu.
Mlale unono na wote.
Kasie.
We mdada? Hakuna cha mila. Ni tabia ya kuiga. Hata huko magharibi hatuna wanaume beatifull, wanakuwa handsome. Wanaume hawana beauty contest ni akina dada tuuu!Manicure,pedicure ni facial kwaupande wangu mwanamme akifanya its normal,sema kila mtu na mila za kwao
niko na mkaka wa ki Lebanese tunafanya nae kazi unaweza ukasema ni Shoga,yeye mpaka nyusi anatoa na
uzi, full body waxing lakini ni mkaka anajipenda tuu na hata nilipo kwenda Lebanon Saloon iko wazi saa 12 asubuhi
nilibaki naduawaa,na kule kila mmoja mzuri wanashindana wake kwa waume, lakini utamaduni wa kwetu ukijipenda sana
utaitwa mtoto si rizki au mtu mzima kageuka mumunya ana haribikia ukubwani...
Do you see man wearing ear piece and plait hairs a man's habit? Are you appearing like this man in the pic? Ooooh no, now I understand why you have been rejecting being in sail with Saul.
How are you by the way? Leave alone this propaganda words, the issue of man act woman's acts is not good at all
Hayo mambo ya kujaribu usimshauri mwenzio.. Kuna kajarida nilikasoma, jamaa alikuwa anavaa kike kike na kujiremba remba kama mwanamke.. Kumbe target yake ni kuwalamba wanawake ambao wana curiosity kubwa kuhusu yeye.. Alikuja kuwalamba mtaa mzima.. Mpaka kuja kustuka kala mpaka wake za watu !We mdada? Hakuna cha mila. Ni tabia ya kuiga. Hata huko magharibi hatuna wanaume beatifull, wanakuwa handsome. Wanaume hawana beauty contest ni akina dada tuuu!
Huyo mlebanoni wako, mjaribu mambo mengine uone. Usijekuta tayari ameshapungukiwa baadhi ya sifa za uanaume!

nilikuwaga nasikia mshakaji fulani ni hivo naye anawala ila nikaja kufanya uchunguzi nikajihakimkishiakwa asilimia mia anakula wanaume wennzie nyuma yani anakula mashoga....dunia hii iko uchi aiseee maajabu ndio hayo mambo ya ajabu tuu....af mtu wa kawaida wala huwezi tarajia.....ukike hauoneshi zaidiya kupenda luxury life so utata hapoHivi kwa Nini mwanaume umfire mwanaume mwenzio wakati wanawake wapo kwaajili yetu?
Hapo utaangalia jinsi ya kusuluhisha mgogoro kwa namna bora kabisa yenye kuzingatia maadili na maslahi ya pande zote na jamii kwa ujumla.Kama wanakuingilia maisha yako je...................?????