Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

Ni rafiki yangu sana tunapeana madili mengi ila suala la kunilazimisha nilale kwake kwa nguvu mpk kunifungua mlango limeniudhi sana… na nia hubadilika inawezekana alikuwa nayo nzuri ila baadae angebadilisha nia
Huyo mpuuzi mbususu haiombwi kifala hivyo!...umefanya vizuri kumnyima kenge huyo.
 
Sipendelei urafiki na swala .....maana nikiwa nimeshiba hamna shida tatizo siku nikiwa na njaa na Sina namna naweza nikapata wazo la kumtafuna .....

Inshort sipendi lawama...
 
Nimesikitika sana rafiki yangu wa Miaka mingi alivyotaka kunigeuka

Niko mkoa x nimekuja nina Kama siku 3 nikamtonya best yangu kwamba nipo alipo bila hiyana akasema kadogo2 usiondoke bila kuonana na Mimi nikakubali wito kwasababu amekuwa rafiki yangu sana na hatujaonana Miaka miwili

Basi nikaitikia wito tukaonana alikuwa na mshikaji wake wakaagizia mbuzi katoliki tukala tukaenjoy na story mbili tatu, kufika saa3:20 nikamwambia best muda umeenda pia nasikia huku usalama mdogo wacha nirudi nilipotoka tutaonaa siku nyinginee ndio jamaa kuniomba nikaone alipoamia ili siku nyinginee nije

Nikauliza tu Kama usalama wa mimi kurudi nilipotoka utakuwepo akasema niondoe shaka anajuana na wengi,, basi mie huyo nikakubali tukaenda kwake, jamaa ana kageto chake cha kishikaji tukapiga story kidogo saa 4:15 nikamwambia muda umeenda niondoke sasa anitafutie Usafiri looohhapo ndio aliponiletea ungese pumbavu

Akaanza kung’ang’aniza nilale kwake akidai kuwa usiku umeenda sijui Hakuna usalama jamani sijawah kuchukia Kama nilivyochukuia hiyo siku… yaani nilitamani hata kumpiga maana mimi kule ni mgeni sipaelewi na ni usiku

Jamaa yule alifunga mlango mkubwa wa kutokea nikabaki koridoni masaa2 hataki niende ananilazimisha nilale, tuliendelea kubishana sana,, nilimtolea maneno magumu sana mwisho wa siku akaniruhusu nikaondoka

Nilichojifunza wanawake hawa wanaume tusiwaamini Hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke period ni suala la muda tu

Mwanaume wa hovyo, usitaje wanaume wote kama ni wa hovyo kama huyo. Nimemaliza kuhusu mwanaume.

Na wewe ni mpumbavu, kwenda kwa mwanaume mwenye kanyumba kadogo na kitanda na anaishi mwenyewe saa 4 usiku.

Umesema mwenyewe umeenda kwenye nyumba yake mpya, ina maana ya zamani unaijua, ili wakati mwingine uende kwake...

Sasa, uende kwenye Nyumba ya mwanaume anayeishi mwenyewe kufanya nini? Hawa ndo wake tunaooa.

Mnawapa sababu ya maana ya vijana kukataa ndoa, hivi wewe Mama yako hakukufunza mipaka ya kwenda kwa wanaume?

Hata dini zenyewe zinakataza wachumba kutembeleana Nyumbani, wewe ni mshenzy na mtu wa hovyo.

Mwanamke mwenye busara, hata akiamini Mwanaume, anajiwekea mipaka yake kama mtu na utu wake, ajiachilii tu.

Kwani humu amini teller? Mbo a ukienda Bank unahesabu tena fedha zako? Mwanamke wa hovyo kabisa wewe, na uondoe ushenzy wako wa kuongelea tittle inayohusu wanaume sababu ya ushongwanya wako.
 
Uzuri tunaishi mikoa tofauti aina madhara
Basi na mawasiliano ndo basi Tena urafiki ndo ushakufa hakunaga urafiki wa mwanaume na mwanamke bila kugongana, hapo ndo basi Tena, wee pambana na mpenzi wako tuu ndo awe rafki yako
 
Wakati nipo chuo mwaka wa kwanza, Kuna siku nilipigiwa simu, namba mpya, alikua ni baba yangu mdogo ambae ndio wa mwisho kuzaliwa kwa kina baba, kipindi hicho kiumri alikua early 30's.
Akaniambia Mimi baba yako mdogo nipo Dar kikazi nimefikia hoteli Fulani nataka nikuone tusalimiane nimeambiwa upo chuo dar, Basi nikamwambia sawa nitakuja siku Fulani Sina kipindi.
Nilivyomaliza kuongea nae nikampigia baba simu nikamwambia bamdogo Fulani kanipigia kaniambia yupo dar anataka kuniona siku Fulani.
Baba kwanza alikaa kimya muda mrefu halafu akaniambia usiende, ikifika hiyo siku uliyosema utaenda mwambie upo busy aje hosteli kukusalimia, akikulazimisha uniambie, kwa kipindi kile nilishangaa nikaona mzee mbona kawaza mbali Sana huyu si sawa tu na baba yangu, lakini nilitii ilivyofika siku sikwenda hotelini na bamdogo akasema hawezi kuja hosteli nikamwambia haya tutaonana wakati mwingine.
Huwa najiuliza mzee sijui aliwaza nini.
 
B

Baba yako aliona mbali, anamjua mdogo wake au wana visasi ukute baba yako alishawahi kumla demu wa mdogo yake akaapa kulipiza kwa kumlia mtoto wake. Family chaos, anyways Kuna baba yangu mdogo alishawahi mtongoza mdogo wangu.
 
Nimesikitika sana rafiki yangu wa Miaka mingi alivyotaka kunigeuka

Niko mkoa x nimekuja nina Kama siku 3 nikamtonya best yangu kwamba nipo alipo bila hiyana akasema kadogo2 usiondoke bila kuonana na Mimi nikakubali wito kwasababu amekuwa rafiki yangu sana na hatujaonana Miaka miwili

Basi nikaitikia wito tukaonana alikuwa na mshikaji wake wakaagizia mbuzi katoliki tukala tukaenjoy na story mbili tatu, kufika saa3:20 nikamwambia best muda umeenda pia nasikia huku usalama mdogo wacha nirudi nilipotoka tutaonaa siku nyinginee ndio jamaa kuniomba nikaone alipoamia ili siku nyinginee nije

Nikauliza tu Kama usalama wa mimi kurudi nilipotoka utakuwepo akasema niondoe shaka anajuana na wengi,, basi mie huyo nikakubali tukaenda kwake, jamaa ana kageto chake cha kishikaji tukapiga story kidogo saa 4:15 nikamwambia muda umeenda niondoke sasa anitafutie Usafiri looohhapo ndio aliponiletea ungese pumbavu

Akaanza kung’ang’aniza nilale kwake akidai kuwa usiku umeenda sijui Hakuna usalama jamani sijawah kuchukia Kama nilivyochukuia hiyo siku… yaani nilitamani hata kumpiga maana mimi kule ni mgeni sipaelewi na ni usiku

Jamaa yule alifunga mlango mkubwa wa kutokea nikabaki koridoni masaa2 hataki niende ananilazimisha nilale, tuliendelea kubishana sana,, nilimtolea maneno magumu sana mwisho wa siku akaniruhusu nikaondoka

Nilichojifunza wanawake hawa wanaume tusiwaamini Hakunaga urafiki kati ya mwanaume na mwanamke period ni suala la muda tu
Halafu mngelala ungejikuta unasoma kimasihara namna mlivyolala kimasihara
 
B

Baba yako aliona mbali, anamjua mdogo wake au wana visasi ukute baba yako alishawahi kumla demu wa mdogo yake akaapa kulipiza kwa kumlia mtoto wake. Family chaos, anyways Kuna baba yangu mdogo alishawahi mtongoza mdogo wangu.
Nimewahi kukutana na mtoto wa baba mdogo wake mamaake
 
Ungemuambia ulikua period. Period.
Unakula vya watu halafu unajifanya Ni rafiki yako? Wapi uliona mvulana ana urafiki wa Aina hiyo na mrembo.
Yaani akulishe wengine wakale bure?
Tena umeniudhi Sana ujue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom