Baba yako aliona mbali, anamjua mdogo wake au wana visasi ukute baba yako alishawahi kumla demu wa mdogo yake akaapa kulipiza kwa kumlia mtoto wake. Family chaos, anyways Kuna baba yangu mdogo alishawahi mtongoza mdogo wangu.Wakati nipo chuo mwaka wa kwanza, Kuna siku nilipigiwa simu, namba mpya, alikua ni baba yangu mdogo ambae ndio wa mwisho kuzaliwa kwa kina baba, kipindi hicho kiumri alikua early 30's.
Akaniambia Mimi baba yako mdogo nipo Dar kikazi nimefikia hoteli Fulani nataka nikuone tusalimiane nimeambiwa upo chuo dar, Basi nikamwambia sawa nitakuja siku Fulani Sina kipindi.
Nilivyomaliza kuongea nae nikampigia baba simu nikamwambia bamdogo Fulani kanipigia kaniambia yupo dar anataka kuniona siku Fulani.
Baba kwanza alikaa kimya muda mrefu halafu akaniambia usiende, ikifika hiyo siku uliyosema utaenda mwambie upo busy aje hosteli kukusalimia, akikulazimisha uniambie, kwa kipindi kile nilishangaa nikaona mzee mbona kawaza mbali Sana huyu si sawa tu na baba yangu, lakini nilitii ilivyofika siku sikwenda hotelini na bamdogo akasema hawezi kuja hosteli nikamwambia haya tutaonana wakati mwingine.
Huwa najiuliza mzee sijui aliwaza nini.
So far mpaka sasa hivi mme ongea lolote au kila mtu haja mtafuta mwenzake, na kama hamja tafutana upo tayari urafiki wenu uishe ?[emoji3][emoji3]
Nimewahi kukutana na mtoto wa baba mdogo wake mamaakeB
Baba yako aliona mbali, anamjua mdogo wake au wana visasi ukute baba yako alishawahi kumla demu wa mdogo yake akaapa kulipiza kwa kumlia mtoto wake. Family chaos, anyways Kuna baba yangu mdogo alishawahi mtongoza mdogo wangu.
Kwani shida gani? Kuwa nae rafiki inakuathiri vipi wewe ukimpa tunda?Na rafiki??
Huwa najiuliza mzee sijui aliwaza nini.
Dah sijakuelewa mkuu baba mdogo wake mamaake?Nimewahi kukutana na mtoto wa baba mdogo wake mamaake
Eeeh yaani yeye ni mtoto wa mdogo wake na babu yake.Dah sijakuelewa mkuu baba mdogo wake mamaake?
Dah! mkuu haya bwana sawa π π πAlihofia unaweza kubanduliwa.
Nimewahi Kuwa nao, bado ninao na nitaendelea kuwa nao, hata wewe unaweza piaWewe umewahi kuwa nao?
Sure, kufunga mlango ni kukosa kua gentlemen enough. Angeiomba tu kishkaji na mlango ukiwa wazi angepewakosa ni kufunga mlango, ila kukwambia ulale kawaida tu.
mlikula kitimoto akapata nguvu, alikuwa anatengeneza namna ya kutumia nguvu alizopata
kitendo cha kukubali tu kutoka naye out basi tayari ushamtia majaribuniNilimuamini kwasababu niliona ana aminika halafu alisema tu upite upaone na Mimi sikutaka kukaa sana hata nusu saa haikuisha nikasema sio vizuri kukaa zaidii nisimtie majaribuni kaka wa watu niondoke ila yeye akaona kapata chaka