Wanaume Haya Tuliyataka Wenyewe

Wanaume Haya Tuliyataka Wenyewe

Expert wangu naona umekuwa mkali this time!
Huyu jamaa namjua mkuu hanaga hoja za maana yani hadi unaona nimemuambia hivyo ujue kaandika ujinga halafu analazimisha uwe ukweli na kutaka niukubali na mbaya zaidi anajiona ana akili, yani watu tunaandika uhalisia tunaouona kwenye jamii yeye analeta blah blah na hasty generalizations za kipuuzi ni kama anataka niache kujadili uhalisia nijadili mawazo yake, kwa upuuzi anaoandika sikutakiwa hata kupoteza muda wangu kumjibu ila kwa vile sitaki aendelee kupotosha wengine najikuta nalazimika kumjibu ili nimuumbue na hoja zake dhaifu
 
Nakataa hii kitu, mimi nina ushahidi wa famikia yetu, mama alianza kupata kazi kabla ya mama na wote wakawa wafanyakazi, na mama alikuwa anamuheshimu baba kwa hali zote
Mwanamke mwema hutoka kwa Mungu na changamoto inayotokea ni kwamba tunachagua mwanamke kwa utashi wetu siyo kumshirikisha Mungu
Awe msomi, assume kama hiyo ni tabia yake itajionesha tu, na hatujipi muda wa kufuatilia familia za tunaowaoa, na hii imekuwa mwiba mchungu kwa familia nyingi
Kwahiyo ni jukumu letu kuhakikisha watoto wetu tunawalea katika maadili ili wasije kuingia mkumbo kama unaotukuta sisi
Dunia imevaa bukta, kila mtu hajali
,
Umri wako umeongea
 
Huyu jamaa namjua mkuu hanaga hoja za maana yani hadi unaona nimemuambia hivyo ujue kaandika ujinga halafu analazimisha uwe ukweli na kutaka niukubali na mbaya zaidi anajiona ana akili, yani watu tunaandika uhalisia tunaouona kwenye jamii yeye analeta blah blah na hasty generalizations za kipuuzi ni kama anataka niache kujadili uhalisia nijadili mawazo yake, kwa upuuzi anaoandika sikutakiwa hata kupoteza muda wangu kumjibu ila kwa vile sitaki aendelee kupotosha wengine najikuta nalazimika kumjibu ili nimuumbue na hoja zake dhaifu
Sitii neno hapa,kikubwa tumesikia maoni yako
 
Unatusema Bure, hao wazazi ndo wamesababisha kwa kuwa empower mabinti zao, ngumu sana kushindana na wanawake, wamesoma kama wewe na mifumo inawaona kama vilema steal,
We need to fight back sasa. Wanawake hawana shukurani. Wakiwa wanalia lia sijui masomo magumu,tunawasaidia,wakishatoboa anakukataa kama hakujui. Msaidie mwamba kutomboa uone kama akija kutoboa atashindwa kukupa lift.

Wanawake wa sasa ni very self centered, narcissist na visiranim
 
Huyu jamaa namjua mkuu hanaga hoja za maana yani hadi unaona nimemuambia hivyo ujue kaandika ujinga halafu analazimisha uwe ukweli na kutaka niukubali na mbaya zaidi anajiona ana akili, yani watu tunaandika uhalisia tunaouona kwenye jamii yeye analeta blah blah na hasty generalizations za kipuuzi ni kama anataka niache kujadili uhalisia nijadili mawazo yake, kwa upuuzi anaoandika sikutakiwa hata kupoteza muda wangu kumjibu ila kwa vile sitaki aendelee kupotosha wengine najikuta nalazimika kumjibu ili nimuumbue na hoja zake dhaifu
Wewe unaishi jamii ipi kwanza tuanzie hapo?

Wewe unakuta wa kishua unaongelea cycle ya wakishua wenzako. Mimi naongelea hawa wa uswazi.

Wewe ukipewa mimba,una social support ya kutosha,babu na bibi njemba,wajomba njemba,makaka na dada wapo vema.

Unakwnda kujifungulia Agakhan Hospital,wodi upo pekee yako,umezungukwa na maputo na maua kutoka kwa familia yako, huna hofu ya mtoto wako ataishi life gani maana kila mtu anataka kumlea kama wakwake atasoma atavaa vizuri ataishi vema tu.

Wewe topic hizi za women empowerment zinakuwasha na kukupa msisimko wa tofauti.

Njoo sasa huku kwa mtogole,kiwalani,tandika,chamanzi,kwa mpalage etc,huku women empowerment ina impact ys tofauti.

Huku binti akiwa empowered kuwa independent maana yake ni yeye mwenyewe,akitiwa mimba bila ndoa kujifungulia ni amana hospital ambapo ana risk kupoteza mtoto au yeye mwenyewe.

Kulea mtoto ni shughuli yake pekee hakuna mtu atakae taka kukaa na hicho ki mwanaharamu.

Atawajibika na huyo mtoto kwa kila kitu na hakuna mwanaume atakae mtaka sababu kisha kuwa single mother, atatumika tu kwa sex only hadi pale atakapochakaa na hakuna atakae mtaka tena atabakia kuwa msimbe hadi uzeeni.

Wewe wa kishua unaeishi masaki haya huwezi elewa achia sisi tunaoishi huku uraiani tuongee hizi story.

Wanawake wenzako wanateseka na watoto huku na maisha ni magumu hadi wanafika hatua anamuweka mwanaume ndani anatamani kumlipa ili asimkimbie ila anakosa. Anabakia kuwa mpira wa kona.

Watoto wao wakituona tukiwasalimia macho yao yamejawa na huzuni na upweke yanauliza "Wewe ni baba yangu au?" Au yanasema "Hata kama wewe sio baba yangu natamani u pretend kuwa baba yangu japo kwa dakika chache nipate fursa ya kufurahia utoto wangu" haya uwezi elewa wewe Jadda .

Wewe unachojua ni kukinzana na kuamini ideology za kishamba za kifeminist yale mashetani unayofuata mlengo wake ambayo yamekuja kujenga hizi fikra taka kwenye mabichwa yenu watoto wa kike wa sasa hamuambiwi jambo mkaelewa bila kubisha au kuleta ligi hata kama haupo sahihi.

Matoto ya kike ya sasa anaweza kuwa na mahusiano na mume wa mtu ukamwambia anakosea akakubishia in the name of "i am an independent woman i make my own decisions".
 
We need to fight back sasa. Wanawake hawana shukurani. Wakiwa wanalia lia sijui masomo magumu,tunawasaidia,wakishatoboa anakukataa kama hakujui. Msaidie mwamba kutomboa uone kama akija kutoboa atashindwa kukupa lift.

Wanawake wa sasa ni very self centered, narcissist na visiranim

Hawafai, langu ni me li dump huko, tusichodhane sijui attention, Mimi hela nitafute nikulishe, attention Tena mda wote, akapate attention kwa ma jobless halafu atafute pesa mwenyewe tuone kama atakuwa na mda wa kutaka attention
 
Na mlibugi zaidi kwakutojua kwamba mwanamke ni malikia ameumbwa ili ahudumiwe na sio yeye ahudumie,ndio maana kutwa kuchwa mnalalamika mwanamke anakipato kikubwa lakini hakuna anachochangia ndani,hamjui kwamba mwanamke sio asili yake kuprovide bali tuna wafosi tu
Soma mithali 31:1----
Hujaelewa mchezo bado ulivyo!

Zamani bibi zetu waliwadanganya babu zetu kwamba ni watii!kumbe walitii kisa hawana namna zaidi ya kuwategemea wao kimaamuzi!

Bibi zetu waliwasaliti babu zetu kimaamuzi pale babu zetu walipozeeka na watoto wameshakua!!

Life cycle ya utamati was mahusiano Kwa Sasa imekua haraka sana coz wanawake wameweza kujitegemea mapema sana kuliko zamani!!

Huwezi kujua mwanamke ulie nae kwanini aliamua kuishi na wewe Hadi pale utakapokua huwezi au amasha PATA alichokitaka!!

Elewa neno life cycle ya mapenzi ya Sasa na zamani!!

Utiifu upon pale life cycle inpokua ndefu ya utegemezi na vice versa!!

Japo wapo wanawake hawana kitu na bado ni wasumbufu vile vile wapo wengi tu!!

Pia zamani wanawake walifanya KAZI pia japo maamuzi ya matumizi yalitoka kwa baba!!

Chukua hiyo!
 
View attachment 3318660

Huko nyuma wazazi wetu na wazee wetu waliishi na bibi zetu na mama zetu,hali ya kuwa wanaume ndio watafutaji na ilikuwa hivyo siku zote,wala hawakuhofia sijui sisi tukifa watoto wetu wataishi vipi?

Kwasababu anayetoa riziki ni Mungu,kwahiyo hata kama hao walipo kufa Mwenyezi Mungu aliendelea kuipa riziki familia kwa namna anayojua yeye,na watu waliendelea kuishi na watu wakakua vizuri tu

Kimekuja kizazi ambacho kina woga wa maisha,wakaanza kubadilisha nidhamu ya ulimwengu huu,maana hapo awali nidhamu ilikuwa baba au mwanaume ndio mtafutaji na mama au mke analea familia

Sasa kizazi hiki kikaona nidhamu hii imepitwa na wakati,wakahofia maisha na kuhisi kwamba wao wanaume wakifa basi familia zao zitapata shida,wakasahau kabisa kwamba riziki inatoka kwa Allah

Sasa wakaanza kuona mwanamke nae ajishughulishe achangie upatikane mkate wa familia,na kweli baada ya wanawake kuona wanashinikizwa wachangie kulisha nao wakaanza kufanya hivyo

Kama haitoshi kizazi hiki cha wanaume ambao ni waoga wa maisha,wakaona hapana kuoa mwanamke ambaye ni wa darasa la saba au ambaye hajasoma sio sawa,inabidi waoe wake wasomi,basi dada zetu wakaona isiwe tabu nao wakafungua vitabu na alhamdulillah wana stashahada zao,shahada na shahada za uzamivu

Sasa ambacho hawakujua hiki kizazi cha wanaume waoga wa maisha kuwa,mwanamke wa zamani alikuwa mtiifu kwa mumewe kwasababu alikuwa anamtegemea mumewe kwa kila kitu,ndio maana walikuwa wenye nidhamu na adabu

Hawakujua kwamba baada ya mwanamke kusoma na kuingiza kipato,itafika kipindi ataweza kujitegemea na hivyo hato muhimtaji mwanaume tena kama zamani,kwani nae anauwezo wa kupata mkate wake wa kila siku

Matokeo yake leo hii,walio oa wanawake walio soma wanalia na walioa wanawake wenye kipato pia wanalia,wamesahau kwamba haya mazingira wametengeneza wao wenyewe

Na riziki ndio imekuwa mtihani kweli kweli,kwa maana vipato havina baraka kwasababu hamu mtegemei Mwenyezi Mungu sasa ila mnategemea kazi zenu ndio zitaendesha maisha yenu,matokeo yake tunaenda resi sana lakini mwisho wa siku mishahara haikutani,yaani lazima utakuwa na madeni tu

Na mlibugi zaidi kwakutojua kwamba mwanamke ni malikia ameumbwa ili ahudumiwe na sio yeye ahudumie,ndio maana kutwa kuchwa mnalalamika mwanamke anakipato kikubwa lakini hakuna anachochangia ndani,hamjui kwamba mwanamke sio asili yake kuprovide bali tuna wafosi tu

Kwahiyo haya tuliyataka wenyewe,tumeoa wasomi wanatuendesha,na tumeoa wajasilia mali wanatuendesha,kwahiyo buddies tukae kwa kutulia na tunapambane na hali zetu

Haya hayakutokea kwa bahati mbaya ila tuliyatafuta wenyewe na sasa tuishi nayo

Na wanawake wakazidi kujiongeza kwa kutaka haki sawa zaidi kwahiyo yajayo yanafurahisha

Ni hayo tu!
Screenshot_20250722_154654.jpg
 
Back
Top Bottom