Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,221
- 18,292
wanawake walivyo sasa ni matokeo yetu sisi wanaume
Ila Kuna baadhi ya issue kama
👉 Elimu
👉 Kukua kwa teknolojia
👉 Mabadiliko kwenye ishu ya ustawi wa jamii
Imewafanya wanawake kubadilika ukilinganisha na zama za mababu na mabibi zetu,
Though kwenye kazi mbona zamani mabibi zetu hawakuwa watu wa kukaa nyumbn walikuwa wanaenda shambani kama kawaida, kukatia malisho ya mifugo, na kuangalia watoto ingawa bado mwanaume alisimama kwenye nafasi yake kama kawaida,
Wazee waliamini watoto wanavyo wafundisha kazi, plus utayari wa jando ule uliwafanya wasiogope sana wakifa watoto wataishi vipi,
Ukilinganisha na sasa unakuta mtoto au kijana mpka wa miaka 30 baadhi hawajui kazi hata kusukuma mkokoteni hawezi, au kulima, ama ujuzi wowote ana pengine cheti Cha chuo au wengine waliishia njian lkn maisha ya kwao hayakumfanya afunguke akili ndo unakuta mzazi anawaza hayo,
Kingine sasa hivi kina mama nao hawana misimamo ile haiba na aibu ya uanawake hawana, kipindi Cha nyuma wanawake maybe akifiwa na mumewe walio wengi kama ana watoto watatu wanne, kuolewa ni ngumu, atabaki bomani kulinda na kupambania familia yake,
Ila wamama wa sasa hivi mtu anaolewa na mwanae wote wanaolewa, ndo maana inafanya wanaume tunawaza watoto wetu ikiwa umekufa kwenye umri ambao bado mtoto ni tegemezi kwa mzazi,