Wanaume Haya Tuliyataka Wenyewe

Wanaume Haya Tuliyataka Wenyewe

Usalama wa mwanamke katika huu mfumo maeneo ya afya, domestic violence, harassments, bullying, emotional damages, na hata kifo ni mdogo sana. Mwanamke yupo prone zaidi kupata haya matatizo akiwa katika maisha ya usimbe kuliko akiwa katika ndoa yake na familia.
Huu uzi utengenezewe Pdf ili uwekwe Makitaba ya Taifa
 
1. Huu mfumo unatengeneza structure mbovu ya kijamii inayokinzana na matarajio au malengo ya ustawi wa jamii maendeleo ya wanawake na watoto. Mwanamke anawajibika kubeba majukumu ya kiume mwenyewe isivyo lazima na kuacha shughuli zake za kimsingi kama kuwa mlezi wa familia yake na mume wake na kukuza ustawi wa jamii.

2. Huu mfumo unatengeneza wanawake wasio na kaliba ya kike sababu unawalazimu kuishi kama vichaa ili kuendana na mazingira ya ulimwengu wa kisasa unaowashawishi kushindana na kila kitu. Matokeo yake wanawake wa sasa wanatumia muda mwingi sana kufanya mambo ambayo ni nje ya context ya uanamke na yanawapotezea muda na kufuta mantiki ya uwepo wa mwanamke katika jamii. Hii ni mbaya sana kwenye ustawi wa jamii especially katika makuzi ya watoto wa kike ambao wengi watakuwa victims katika mfumo ambao hawakuuchagua.
Imagine jamii ambayo Wanawake hawajafiti katika nafasi yao ya asili sababu ya kuchallenge wanaume matokeo yake hawawezi kuishi kama wanaume na hawajui namna ya kuwa wanawake sababu hawana role models wazuri katika jamii. Mfano tu ni wewe Jadda nani ataweza kuishi na wewe kama mke kwa hizi tabia zako za maviburi na ujuaji plus majibu ya kishujaa ukijiona unayaweza na mjua yote.

3. Narrative ya mwanamke wa shoka inawatoa wanawake kwenye reli ya goals halisi za kike. Tazamia hawa mabinti wa sasa kwa kuwatazama watukuja kuwa mama wa familia ipi siku za baadae. Kwa namna walivyo unaona wanafanania na mama yako au bibi yako japo hata kwa asilimia 30 tu?

4. Mfumo huu unawaendesha wanawake at the expense of their mental health. Wengi wa wanawake wa kisasa taratibu wanaanza kuwa wendawazimu ( psychopaths) kimatendo. Wanatoa mimba sababu ya kushindwa kuwa wake na mama wa familia, wanakopa hata wasivyomudu kulipa, wanamatarajio makubwa yasioendana na uwezo wala hali zao etc. Hii inaongeza pressure ya msongo wa mawazo kwa wanawake wengi wa sasa.

5. Ukifuatilia takwimu za kiafya,magonjwa mengi ya sasa victims ni wanawake na sehemu kubwa ya haya magonjwa yamechangiwa na lifestyle ya sasa. Magonjwa kama Fungus,UTI,PID,kansa ya shingo ya kizazi, again stress na depression, vyote vikitokana na aina ya mahusiano wanayojenga na wanaume katika mfumo huu ambao wao hitazama maslahi tu.

6. Childless women pandemic. Kuna wanawake wengi kwa sasa kutokana na utoaji mimba uliopitiliza,matumizi ya contraceptives,kulala na wanaume wengi in search for money na aina zingine za kupuyanga zimewanyima nafasi ya kutulia sehemu moja na mwanaume wa kueleweka na kutengeneza watoto na familia. Mama zetu by the age 35 tayari ameshakuwa mama wa familia ya watoto wa 5,7 au 12. Miaka hii mwanamke wa miaka 35 amepanga chumba cha master bedroom,anaishi mwenyewe,ana madeni ya marejesho kama 20, amevurugwa,mlevi,mpenda zinaa,hana mtoto na ameshachelewa kuwa mama bora,akipata mtoto hapo atakuwa tu kazaa kama bata malezi ni zero.

7. Gharama za maisha kwa wanawake zinapanda sana. Zingatia tena hali ya miaka ya nyuma na sasa. Ghatama za mwanamke katika kujikeep well kwenye jamii zipo juu na akiwa pekee yake ndio balaa linazidi.

8. Pandemic of old homeless women. Hapa ninavyoandika kuna wanawake wanamiaka 45 wamepanga uswahilini huko wanaishi wenyewe bila mume wala watoto,hawana ramani wanafedheheka,wanatamani kuolewa hata na mzee wa miaka 70 ila anatokea wapi at that age. Imagine wamepanga sababu ya mfumo huu wa maisha. Tutarajie idadi hii kutripple by 2030 kuendelea huko mbeleni.

9. Usalama wa mwanamke katika huu mfumo maeneo ya afya, domestic violence, harassments, bullying, emotional damages, na hata kifo ni mdogo sana. Mwanamke yupo prone zaidi kupata haya matatizo akiwa katika maisha ya usimbe kuliko akiwa katika ndoa yake na familia.

10. Kiroho haya si maisha kabisa na hakuna sehemu kuna imani au dini imetambua mwanamke kuishi maisha ya kujitafutia na kujitegemea mwenyewe kwasababu huleta madhara ya kiroho mengi sana kama kumjaza na nafsi yake na chuki dhidi ya wanaume,kulea watoto kwa mlengo wa kushoto,kujaza watoto na upotofu,kulea kizazi cha wanaume ambao sio wajenzi wa jamii,na kadhalika.

Ningeendelea ila nadhani kwa tabia yako ya kudharau maoni ya wanaume utanikera kwa kusema nimeandika upuuzi na hiyo huwa inanikwaza sababu najua umesoma umeelewa ila shida yako kubwa ni accountability na kuwajibika huwa hauwezi unapenda ligi zaidi kuliko maridhiano.
Okay kwahiyo unataka kuniambia kwenye hii jamii wanaopata hayo madhara na kuishi reckless life ni wanawake walio single tu na kwamba walio kwenye ndoa hawapatwi kabisa na hayo matatizo, na pia unataka kuniambia kwamba wanaume wote wao maisha yao yamewanyookea na hawapatwi na maswahibu yoyote kama hayo kutokana na maamuzi yao mabovu, na kama ni hivyo kwanini sasa wanaoongoza kulalamikia jinsia nyingine kwenye jamii na mitandaoni ni wanaume ilihali wanawake wako kimya kana kwamba hawapatwi kabisa na hayo matatizo
 
Nimeipenda hii
 
Changamoto za wanawake waliopo katika ndoa haziwezi kufanana na mwanamke aliye nje ya ndoa maana hawa wanaishi katika mifumo miwli tofauti ambayo ipo kinyume sana. Kusema mwanamke alie katika ndoa anaishi reckless life una maanishaje?

Mwanaume akiwa nje ya ndoa ana changamoto zake ambazo hazihusiani na mwanamke wala mfumo wa ndoa. Hizo akiwa ndoani au akiwa single anakutana nazo.
Kwa mfano,swala la mwanaume kusimamia gharama zake na familia yake,unadhani akioa mke anakuja kumpunguzia gharama ipi cha zaidi anamuongezea gharama zake yeye binafsi kama mke na za familia yake na wazazi wake zote mwanaume anazibeba wakati awali hazikuwapo.

Mwanamke akiwa kwenye ndoa ana unafuu wa maisha atalipiwa 100% ya gharama zake binafsi na mwanaume na atasaidiwa sehemu kubwa ya gharama za watoto wake, wazazi wake na familia yake. Asipokuwa na mume haya mambo atayabeba yeye pekee yake.

Okay,nipe mfano wa maswahibu mabovu ambayo wanaume hukutwa nayo kama matokeo ya kufeli kuoa au kuwa na mahusiano serious na mwanamke. Yaani mwanaume akikosa ndoa anaathirika maeneo gani ya msingi?🤔

Wanaume wanaongoza kulalamika mtandaoni kwasababu ya kutumia logic katika mazungumzo yao. Wanawake wengi hamna logical thinking ndio maana hata kuongea huwa mnajigmfikiria mara mbili mbili.

Kikawaida wanawake mnajijua kuwa ndio wazinguaji mara nyingi na mnajua the moment mtakapofungua mdomo watu watabainisha uzembe au faults zenu katika tatizo lolote.

Mfano, mwanamke anaweza akalalamika kuwa mwanaume amemuacha na kumtelekeza na watoto baada ys kuishi nae vizuri muda mrefu na amemsaliti na rafiki yake. Ukianza kumhoji utagundua kuwa jamaa aligundua kuwa watoto sio wake. Na mwanamke alikuwa ni mshirikina.

So kimsingi wanawake huwa hawalalamiki kwasababu deep down huwa wanajua maswali ya kimsingi yakianza watabainika kuwa walichangia tatizo kwa asilimia kubwa na wanatakiwa kuwajibika na matendo yao.
 
Msiendekeze ujinga na kupotosha vijana.
Oa mwanamke MCHAPAKAZI, mwenye bidii ya maisha, either awe ni msomi, darasa la saba, PHD,etc.
Unaweza oa la saba - MVIVU, unaweza kuoa mfanyakazi mvivu, unaweza kupata la saba na PHD mchapakazi
Pili ni uongo kusema kuwa wanawake wa zamani walikua hawafanyikazi.Nenda usukumani WEWE ndo utaelewa, nenda vijijini- Wanawake wanafanyakazi mashambani, wana-attend mifugo, wanarekebisha boma - wako bizy kuliko unavyoongea humu.Na hii sababu mfumo au familia kipindi hicho zilikua na hayo maeneo...SASA leo hii unamuoa dada wa watu halafu mnaishi kwenye kachumba kamoja - huna shamba, huna duka akusaidie kuuza, huna biashara, huna bustsni...huna chochote cha kumfanya akusaidie..then unataka astafute ajira???Unajisoma kweli wewe??Mwanadamu lazima afanyekazi, ubongo uchangamke, usimpomtengenezeamazingira ya kazi ataitafuta sehemu nyingine tu..labda kama umeoa mjinga.
 
Hii ni sahihi kabisa. Mke anajali kazi zaidi kuliko ndoa. Na huna Cha kusema 😭😭 japo sio wote
View attachment 3318660

Huko nyuma wazazi wetu na wazee wetu waliishi na bibi zetu na mama zetu,hali ya kuwa wanaume ndio watafutaji na ilikuwa hivyo siku zote,wala hawakuhofia sijui sisi tukifa watoto wetu wataishi vipi?

Kwasababu anayetoa riziki ni Mungu,kwahiyo hata kama hao walipo kufa Mwenyezi Mungu aliendelea kuipa riziki familia kwa namna anayojua yeye,na watu waliendelea kuishi na watu wakakua vizuri tu

Kimekuja kizazi ambacho kina woga wa maisha,wakaanza kubadilisha nidhamu ya ulimwengu huu,maana hapo awali nidhamu ilikuwa baba au mwanaume ndio mtafutaji na mama au mke analea familia

Sasa kizazi hiki kikaona nidhamu hii imepitwa na wakati,wakahofia maisha na kuhisi kwamba wao wanaume wakifa basi familia zao zitapata shida,wakasahau kabisa kwamba riziki inatoka kwa Allah

Sasa wakaanza kuona mwanamke nae ajishughulishe achangie upatikane mkate wa familia,na kweli baada ya wanawake kuona wanashinikizwa wachangie kulisha nao wakaanza kufanya hivyo

Kama haitoshi kizazi hiki cha wanaume ambao ni waoga wa maisha,wakaona hapana kuoa mwanamke ambaye ni wa darasa la saba au ambaye hajasoma sio sawa,inabidi waoe wake wasomi,basi dada zetu wakaona isiwe tabu nao wakafungua vitabu na alhamdulillah wana stashahada zao,shahada na shahada za uzamivu

Sasa ambacho hawakujua hiki kizazi cha wanaume waoga wa maisha kuwa,mwanamke wa zamani alikuwa mtiifu kwa mumewe kwasababu alikuwa anamtegemea mumewe kwa kila kitu,ndio maana walikuwa wenye nidhamu na adabu

Hawakujua kwamba baada ya mwanamke kusoma na kuingiza kipato,itafika kipindi ataweza kujitegemea na hivyo hato muhimtaji mwanaume tena kama zamani,kwani nae anauwezo wa kupata mkate wake wa kila siku

Matokeo yake leo hii,walio oa wanawake walio soma wanalia na walioa wanawake wenye kipato pia wanalia,wamesahau kwamba haya mazingira wametengeneza wao wenyewe

Na riziki ndio imekuwa mtihani kweli kweli,kwa maana vipato havina baraka kwasababu hamu mtegemei Mwenyezi Mungu sasa ila mnategemea kazi zenu ndio zitaendesha maisha yenu,matokeo yake tunaenda resi sana lakini mwisho wa siku mishahara haikutani,yaani lazima utakuwa na madeni tu

Na mlibugi zaidi kwakutojua kwamba mwanamke ni malikia ameumbwa ili ahudumiwe na sio yeye ahudumie,ndio maana kutwa kuchwa mnalalamika mwanamke anakipato kikubwa lakini hakuna anachochangia ndani,hamjui kwamba mwanamke sio asili yake kuprovide bali tuna wafosi tu

Kwahiyo haya tuliyataka wenyewe,tumeoa wasomi wanatuendesha,na tumeoa wajasilia mali wanatuendesha,kwahiyo buddies tukae kwa kutulia na tunapambane na hali zetu

Haya hayakutokea kwa bahati mbaya ila tuliyatafuta wenyewe na sasa tuishi nayo

Na wanawake wakazidi kujiongeza kwa kutaka haki sawa zaidi kwahiyo yajayo yanafurahisha

Ni hayo tu!
 
Unatusema Bure, hao wazazi ndo wamesababisha kwa kuwa empower mabinti zao, ngumu sana kushindana na wanawake, wamesoma kama wewe na mifumo inawaona kama vilema steal,
 
Hii imeenda
 
Zamani zipi mkuu!!?Bibi yangu Nganzi alilima,akakamua maziwa akayaauza na kupata fedha!!!
Zamani zipi!!!?zipi ambazo wakina mama walikaa nyumbani kulea tu bila kazi!!?

We jamaa mashamba ya majumbani walimaji wakuu ,wapaliliaji wakuu ni wanafamilia wote hasa mama na watoto wazee wakiongoza nenda kwenye jamii zza wasukuma uone mzigo unavyopigwa na kina mama!au unasemea kazi za ofisini hizi!?au biashara za kitaa!!?

Mama yangu mdogo alibeba robota la pamba kichwani huko mkura miaka ya tisini na kwenda kupima kilo Kisha kuuza au!!?

Labda desturi za waarabu !!
 
Changamoto za wanawake waliopo katika ndoa haziwezi kufanana na mwanamke aliye nje ya ndoa maana hawa wanaishi katika mifumo miwli tofauti ambayo ipo kinyume sana. Kusema mwanamke alie katika ndoa anaishi reckless life una maanishaje?

Mwanaume akiwa nje ya ndoa ana changamoto zake ambazo hazihusiani na mwanamke wala mfumo wa ndoa. Hizo akiwa ndoani au akiwa single anakutana nazo.
Kwa mfano,swala la mwanaume kusimamia gharama zake na familia yake,unadhani akioa mke anakuja kumpunguzia gharama ipi cha zaidi anamuongezea gharama zake yeye binafsi kama mke na za familia yake na wazazi wake zote mwanaume anazibeba wakati awali hazikuwapo.

Mwanamke akiwa kwenye ndoa ana unafuu wa maisha atalipiwa 100% ya gharama zake binafsi na mwanaume na atasaidiwa sehemu kubwa ya gharama za watoto wake, wazazi wake na familia yake. Asipokuwa na mume haya mambo atayabeba yeye pekee yake.

Okay,nipe mfano wa maswahibu mabovu ambayo wanaume hukutwa nayo kama matokeo ya kufeli kuoa au kuwa na mahusiano serious na mwanamke. Yaani mwanaume akikosa ndoa anaathirika maeneo gani ya msingi?🤔

Wanaume wanaongoza kulalamika mtandaoni kwasababu ya kutumia logic katika mazungumzo yao. Wanawake wengi hamna logical thinking ndio maana hata kuongea huwa mnajigmfikiria mara mbili mbili.

Kikawaida wanawake mnajijua kuwa ndio wazinguaji mara nyingi na mnajua the moment mtakapofungua mdomo watu watabainisha uzembe au faults zenu katika tatizo lolote.

Mfano, mwanamke anaweza akalalamika kuwa mwanaume amemuacha na kumtelekeza na watoto baada ys kuishi nae vizuri muda mrefu na amemsaliti na rafiki yake. Ukianza kumhoji utagundua kuwa jamaa aligundua kuwa watoto sio wake. Na mwanamke alikuwa ni mshirikina.

So kimsingi wanawake huwa hawalalamiki kwasababu deep down huwa wanajua maswali ya kimsingi yakianza watabainika kuwa walichangia tatizo kwa asilimia kubwa na wanatakiwa kuwajibika na matendo yao.
Aise we jamaa huwa uko biased kiasi kwamba hoja zako zinatia kinyaa hata kuzisoma tu achilia mbali kuzijibu, kama ndoa hazina umuhimu wowote kwa wanaume kwanini bado mnaoa pamoja na maovu yote haya ya wanawake yani kwa upendo gani wa agape mlionao, kwamba unataka kusema kwenye mahusiano siku zote wenye makosa ni wanawake ndio maana wanashindwa kujitetea ila wanaume huwa hawana makosa ndio maana siku zote wanacho cha kujitetea hivi uko serious kweli wewe.. yani kuna hoja zangu bado hujazijibu inavyotakiwa ukinijibu hizo ndio tutaanza majadiliano kwa sasa naona umeamua kuandika ili ujifurahishe tu!!
 
Mjadala wako na Jadda nimeupenda sana,ni wa kistaarabu
 
View attachment 3318660

Huko nyuma wazazi wetu na wazee wetu waliishi na bibi zetu na mama zetu,hali ya kuwa wanaume ndio watafutaji na ilikuwa hivyo siku zote,wala hawakuhofia sijui sisi tukifa watoto wetu wataishi vipi?

Kwasababu anayetoa riziki ni Mungu,kwahiyo hata kama hao walipo kufa Mwenyezi Mungu aliendelea kuipa riziki familia kwa namna anayojua yeye,na watu waliendelea kuishi na watu wakakua vizuri tu

Kimekuja kizazi ambacho kina woga wa maisha,wakaanza kubadilisha nidhamu ya ulimwengu huu,maana hapo awali nidhamu ilikuwa baba au mwanaume ndio mtafutaji na mama au mke analea familia

Sasa kizazi hiki kikaona nidhamu hii imepitwa na wakati,wakahofia maisha na kuhisi kwamba wao wanaume wakifa basi familia zao zitapata shida,wakasahau kabisa kwamba riziki inatoka kwa Allah

Sasa wakaanza kuona mwanamke nae ajishughulishe achangie upatikane mkate wa familia,na kweli baada ya wanawake kuona wanashinikizwa wachangie kulisha nao wakaanza kufanya hivyo

Kama haitoshi kizazi hiki cha wanaume ambao ni waoga wa maisha,wakaona hapana kuoa mwanamke ambaye ni wa darasa la saba au ambaye hajasoma sio sawa,inabidi waoe wake wasomi,basi dada zetu wakaona isiwe tabu nao wakafungua vitabu na alhamdulillah wana stashahada zao,shahada na shahada za uzamivu

Sasa ambacho hawakujua hiki kizazi cha wanaume waoga wa maisha kuwa,mwanamke wa zamani alikuwa mtiifu kwa mumewe kwasababu alikuwa anamtegemea mumewe kwa kila kitu,ndio maana walikuwa wenye nidhamu na adabu

Hawakujua kwamba baada ya mwanamke kusoma na kuingiza kipato,itafika kipindi ataweza kujitegemea na hivyo hato muhimtaji mwanaume tena kama zamani,kwani nae anauwezo wa kupata mkate wake wa kila siku

Matokeo yake leo hii,walio oa wanawake walio soma wanalia na walioa wanawake wenye kipato pia wanalia,wamesahau kwamba haya mazingira wametengeneza wao wenyewe

Na riziki ndio imekuwa mtihani kweli kweli,kwa maana vipato havina baraka kwasababu hamu mtegemei Mwenyezi Mungu sasa ila mnategemea kazi zenu ndio zitaendesha maisha yenu,matokeo yake tunaenda resi sana lakini mwisho wa siku mishahara haikutani,yaani lazima utakuwa na madeni tu

Na mlibugi zaidi kwakutojua kwamba mwanamke ni malikia ameumbwa ili ahudumiwe na sio yeye ahudumie,ndio maana kutwa kuchwa mnalalamika mwanamke anakipato kikubwa lakini hakuna anachochangia ndani,hamjui kwamba mwanamke sio asili yake kuprovide bali tuna wafosi tu

Kwahiyo haya tuliyataka wenyewe,tumeoa wasomi wanatuendesha,na tumeoa wajasilia mali wanatuendesha,kwahiyo buddies tukae kwa kutulia na tunapambane na hali zetu

Haya hayakutokea kwa bahati mbaya ila tuliyatafuta wenyewe na sasa tuishi nayo

Na wanawake wakazidi kujiongeza kwa kutaka haki sawa zaidi kwahiyo yajayo yanafurahisha

Ni hayo tu!
Una kasumba ya unyanyasaji mkuu!
 
Aise we jamaa huwa uko biased kiasi kwamba hoja zako zinatia kinyaa hata kuzisoma tu achilia mbali kuzijibu, kama ndoa hazina umuhimu wowote kwa wanaume kwanini bado mnaoa pamoja na maovu yote haya ya wanawake yani kwa upendo gani wa agape mlionao, kwamba unataka kusema kwenye mahusiano siku zote wenye makosa ni wanawake ndio maana wanashindwa kujitetea ila wanaume huwa hawana makosa ndio maana siku zote wanacho cha kujitetea hivi uko serious kweli wewe.. yani kuna hoja zangu bado hujazijibu inavyotakiwa ukinijibu hizo ndio tutaanza majadiliano kwa sasa naona umeamua kuandika ili ujifurahishe tu!!
Expert wangu naona umekuwa mkali this time!
 
Msiendekeze ujinga na kupotosha vijana.
Oa mwanamke MCHAPAKAZI, mwenye bidii ya maisha, either awe ni msomi, darasa la saba, PHD,etc.
Unaweza oa la saba - MVIVU, unaweza kuoa mfanyakazi mvivu, unaweza kupata la saba na PHD mchapakazi
Pili ni uongo kusema kuwa wanawake wa zamani walikua hawafanyikazi.Nenda usukumani WEWE ndo utaelewa, nenda vijijini- Wanawake wanafanyakazi mashambani, wana-attend mifugo, wanarekebisha boma - wako bizy kuliko unavyoongea humu.Na hii sababu mfumo au familia kipindi hicho zilikua na hayo maeneo...SASA leo hii unamuoa dada wa watu halafu mnaishi kwenye kachumba kamoja - huna shamba, huna duka akusaidie kuuza, huna biashara, huna bustsni...huna chochote cha kumfanya akusaidie..then unataka astafute ajira???Unajisoma kweli wewe??Mwanadamu lazima afanyekazi, ubongo uchangamke, usimpomtengenezeamazingira ya kazi ataitafuta sehemu nyingine tu..labda kama umeoa mjinga.
Expert wangu,labda umemiss the point hapa

Ishu hapa ni ukosefu wa utii,heshima na nidhamu kwa mume,kwasababu elimu na kipato vinamfanya ajitegemee au aweze kukidhi mahitaji yake unakuwa sio chochote kwake
 
Kivipi expert wangu!
Yaani unataka wanawake waendelee kukandamizwa kama ilivyokuwa enzi za mababu zetu! Hapo wazungu wametukamata na hatifurukuti maana walikuja na agenda za Gender based violence tukazipokea kwa hiyo sasa hivi wanawake wameshafungua macho!
 
Hapana expert wangu kumbuka hata mimi nina kabinti nataka kasome na kawe kanajiweza

Point yangu nilitaka kuonyesha maono ya wanaume kutaka unafuu wa kuoa wasomi na wenye kazi zao wakitaraji maisha yatakuwa rahisi kwao kwa kusaidiwa na wake zao

Lakini kumbe kwa mwanamke iko tofauti kabisa,yeye ameumbwa kuhudumiwa tu,kwahiyo kuoa wao wasomi na wasio soma almost ni sawa tu

Na hawa wasomi na wenye kazi zao,watambue hatuhitaji hela zao wala hadhi zao TUNAHITAJI HESHIMA,UTII NA NIDHAMU KWA WWAUME ZAO
 
Back
Top Bottom