Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

Muwamba ngoma.....hii part ya mwanaume inaelezewa mwanaume katenda memaaaa katenda memaaaa maishani mwisho kazeeka katengwa, serious????

Hii situation sometimes iko hivi, mwanaume ukiwa na nguvu zako unakua kivuruge, kivuruge kweli, kama ni mlevi mlevi mbwa kero nyingi....unavumiliwa tu, wakati unavumiliwa hata mioyoni watu wanakutoa inabaki ile basi tuuuu.....ukishazeeka sasa huna nguvu za kupiga sarakasi muda huo unataka urudishe mapenzi na upendwe huo moyo wa kupendwa haupooo inabaki tu huruma ya kibinadamu, ndo muda huu zinaibuka ngonjera za kutengwa.

Kuwa mwema wakati wote, usisubirie kipindi huna nguvu
Umemaliza kila kitu.
 
Kama kipindi cha nyuma hukukaa vyema na familia yako usitarajie uzeeni wao ndio wakae vizuri na wewe. Huo wakati wengi wenu mnakua hamna pa kushika mshazeeka na mbaya zaidi ukute na pesa hakuna mnaanza kutafuta huruma kwa familia zenu. Kila mtu atavuna alichopanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kumbuka huyu mwanaume ndo ameweza kukulisha kukupa malazi nguo na matibabu miaka yote ya ndoa kama huwezi kumruhumia kipindi cha uzee wake itakua roho mbaya.
 
Kuna wakati haya mambo yanachangiwa na sisi sisi wanaume hasa tukiwa kwenye miaka 40 - 50 huwa tunakuwa wajinga sana kama vijana wanao balehe. Wengine huita hichi kipindi balehe ya pili ya mwanaume.

Hapa ndio pale ambapo tunakuwa wakorofi bila sababu, tunakuwa na mipango ya kando, hatueleweki na kuna wakati tunawatamkia wake na watoto wetu maneno ya ajabu. Tunasahau kuwa hayo mambo na maneno wanaishi nayo hadi uzeeni kwao.

Biblia kwa wakristu inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa akili, lakini wengi wetu hatuishi na wanawake (wake) kwa akili bali kwa janja janja tu. Hatujui namna bora ya kuishi nao bali tunawalaghai jambo ambalo halina afya kwa maisha ya baadae.

Mfano ni kwenye huu uzi mleta uzi ameshauri ukifika 55 utafute watoto wa uzeeni kwa mpango wa kando, huku sio kuishi na mwanamke kwa akili bali kwa janja janja tu.

Ukichunguza maeneo mengi watu wakiwashauri vijana namna za kuishi na wake zao huwa wanawashauri mambo ya hovyo sana, mara uwe mkali (unakuwaje mkali kwa mke wako?) mara hakikisha umekula kabla hujarudi nyumbani (hatujui inaumiza namna gani kumpikia chakula mtu asikile), mara uwe na mpango wa kando (usaliti) haya yote huwa ndio chanzo cha kuvuruga ndoa ya kijana yoyote.

Hautaona matokeo mapema ila amini huyo mwanamke anajuta kila mara ila hana namna sababu kwanza kashajichanganya kuolewa na wewe mtu wa hovyo, pili kashakuzalia hivyo anaangalia zaidi watoto mlionao wewe anaanza kukupuuza, sasa ngoja uzeeke au upate.ugonjwa mkali au kwa namna yoyote ugeuke kuwa mtegemezi kwake.

Hapo ndio utaona kabadilika lakini kiuhalisia sio kwamba kabadilika ila ndio wewe umefikia level sawa na yeye (level ya utegemezi) sasa unaona madhara yake. Yeye alishakuwa hivyo kitambo sana ila wewe usingeweza kuona sababu ulikuwa na uwezo wakujitegemea.

Mfano wa pili, wewe unaenda bar unakula nyama choma, pombe na mambo mengine alafu unarudi nyumbani hujabeba hata nusu kilo kwa ajili ya familia yako, wewe ni mbinafsi na siku ukigeuka tegemezi haustahili huruma ya mtu yoyote.

Hakuna mtu ambaye uzeeni anateseka kwa kutelekezwa n familia ambaye ujanani alikuwa sawa na familia yake. Wengi ukiwachunguza walikuwa wazinguaji sasa wanatafuta huruma za jamii.

Wanaume tuishi na wanawake kwa akkli na sio janja janja.
Nahisi unaweza kuwa huna hata mke wewe.

It need a man to understand a man and a boy can never do a man's job.
 
Muwamba ngoma.....hii part ya mwanaume inaelezewa mwanaume katenda memaaaa katenda memaaaa maishani mwisho kazeeka katengwa, serious????

Hii situation sometimes iko hivi, mwanaume ukiwa na nguvu zako unakua kivuruge, kivuruge kweli, kama ni mlevi mlevi mbwa kero nyingi....unavumiliwa tu, wakati unavumiliwa hata mioyoni watu wanakutoa inabaki ile basi tuuuu.....ukishazeeka sasa huna nguvu za kupiga sarakasi muda huo unataka urudishe mapenzi na upendwe huo moyo wa kupendwa haupooo inabaki tu huruma ya kibinadamu, ndo muda huu zinaibuka ngonjera za kutengwa.

Kuwa mwema wakati wote, usisubirie kipindi huna nguvu
Kabisa
 
Hiyo inatokea mostly na specifically kama baba alikuwa kauzu kwa watoto na mama badala ya rafiki. Subconsciously watoto wataweka mpaka ambao hautovunjika mpaka ukubwani. Ambapo utakuwa umezeeka, huna nguvu na unaanza kuhitaji kupendwa na kuhudumiwa. Hapo ndipo utaanza kunotice kwamba watoto na mama walikuwa wanakuvumilia tu.

Hata ukijaribu kuwa karibu na mzee unaona tu kuna kitu hakipo sawa. Tofauti kabisa ukiwa na mzazi wa kike.

Kama hutaki watoto wakukimbie uzeeni basi acha ubabe wa kifala kwa familia. Ikiwezekana upeleke nje ili wakuone bora zaidi. Mwisho wa siku badala ya kukukimbia, watakaa chini na wewe mpige story na kinywaji baridi pembeni.

Otherwise utabaki peke yako kwenye hiyo nyumba. Hichi kitu nimejiandaa kabisa kukiepuka nikipata familia yangu.
 
Hapana wanaume to kizeeka tunakua lovly people katika familia zetu na tuna sahao mabaya talio pita hatuna vinyongo kama wanawake
Hivi hii thread inahusu baba kutengwa na mke au watoto kukaa mbali na baba?

Sikia, watoto kamwe hawawezi sahau ufala uliokuwa ukiwafanyia wao na mama yao. Mimi nimelelewa kibabe najua ninachokionengea. Sio kinyongo bali ni subconscious barrier, hakuna mazoea na mzee hata iweje, na hautoona tabu kumuacha peke yake na wala hautojali.

Kama ulilelewa kirafiki na baba yako basi huwezi elewa mada.
 
Kuna wakati haya mambo yanachangiwa na sisi sisi wanaume hasa tukiwa kwenye miaka 40 - 50 huwa tunakuwa wajinga sana kama vijana wanao balehe. Wengine huita hichi kipindi balehe ya pili ya mwanaume.

Hapa ndio pale ambapo tunakuwa wakorofi bila sababu, tunakuwa na mipango ya kando, hatueleweki na kuna wakati tunawatamkia wake na watoto wetu maneno ya ajabu. Tunasahau kuwa hayo mambo na maneno wanaishi nayo hadi uzeeni kwao.

Biblia kwa wakristu inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa akili, lakini wengi wetu hatuishi na wanawake (wake) kwa akili bali kwa janja janja tu. Hatujui namna bora ya kuishi nao bali tunawalaghai jambo ambalo halina afya kwa maisha ya baadae.

Mfano ni kwenye huu uzi mleta uzi ameshauri ukifika 55 utafute watoto wa uzeeni kwa mpango wa kando, huku sio kuishi na mwanamke kwa akili bali kwa janja janja tu.

Ukichunguza maeneo mengi watu wakiwashauri vijana namna za kuishi na wake zao huwa wanawashauri mambo ya hovyo sana, mara uwe mkali (unakuwaje mkali kwa mke wako?) mara hakikisha umekula kabla hujarudi nyumbani (hatujui inaumiza namna gani kumpikia chakula mtu asikile), mara uwe na mpango wa kando (usaliti) haya yote huwa ndio chanzo cha kuvuruga ndoa ya kijana yoyote.

Hautaona matokeo mapema ila amini huyo mwanamke anajuta kila mara ila hana namna sababu kwanza kashajichanganya kuolewa na wewe mtu wa hovyo, pili kashakuzalia hivyo anaangalia zaidi watoto mlionao wewe anaanza kukupuuza, sasa ngoja uzeeke au upate.ugonjwa mkali au kwa namna yoyote ugeuke kuwa mtegemezi kwake.

Hapo ndio utaona kabadilika lakini kiuhalisia sio kwamba kabadilika ila ndio wewe umefikia level sawa na yeye (level ya utegemezi) sasa unaona madhara yake. Yeye alishakuwa hivyo kitambo sana ila wewe usingeweza kuona sababu ulikuwa na uwezo wakujitegemea.

Mfano wa pili, wewe unaenda bar unakula nyama choma, pombe na mambo mengine alafu unarudi nyumbani hujabeba hata nusu kilo kwa ajili ya familia yako, wewe ni mbinafsi na siku ukigeuka tegemezi haustahili huruma ya mtu yoyote.

Hakuna mtu ambaye uzeeni anateseka kwa kutelekezwa n familia ambaye ujanani alikuwa sawa na familia yake. Wengi ukiwachunguza walikuwa wazinguaji sasa wanatafuta huruma za jamii.

Wanaume tuishi na wanawake kwa akkli na sio janja janja.
Mkuu hapa umenena ukweli mchungu sana
 
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo' limemgharimu karibia maisha yake yote, hassling for the wife and children, akijinyima kila kitu kuhakikisha watoto wake wanasoma shule nzuri za private na wapate kozi nzuri vyuoni.

Mke wake ambaye amefikisha 60yrs amechukuliwa na mtoto wake wa mwisho Amsterdam in the Netherlands, mzee anapambana na high blood pressure, na kisukari, lakini upweke kwenye bagalow lake ndo shida kubwa kuliko, mzee hakuzaa watoto wengi aliza wawili tu. Ambao wameamua kuchukua na kulea mama yao na kuacha baba yao.

Hivi kwanini watoto hususani wa kiume wakikua wana tuchukia sisi Baba wakati sisi ni factor kubwa katika mafanikio yao?

Wanatutenga na kuthamini mama zao wengine wanatamani tufe mapema wachukue urithi loh!

NB.

1. Wanaume tujiandeni kwa wakati wa kustaafu hao watoto na wake zetu hubadilika na kuwa adui zetu tukistaafu (nolonger productive)

2. Early birth and late birth ni muhimu Zaeni watoto wa ukubwani kwa mke mdogo ukiwa 55 to 60yrs ( ukistaafu angalau uwe na wakukaa nao nyumbani, monogamy ina maumivi badaye polygamy inatatua shida zingine badaye.

View attachment 2948887
Mnavuna mlichopanda
 
Kuna wakati haya mambo yanachangiwa na sisi sisi wanaume hasa tukiwa kwenye miaka 40 - 50 huwa tunakuwa wajinga sana kama vijana wanao balehe. Wengine huita hichi kipindi balehe ya pili ya mwanaume.

Hapa ndio pale ambapo tunakuwa wakorofi bila sababu, tunakuwa na mipango ya kando, hatueleweki na kuna wakati tunawatamkia wake na watoto wetu maneno ya ajabu. Tunasahau kuwa hayo mambo na maneno wanaishi nayo hadi uzeeni kwao.

Biblia kwa wakristu inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa akili, lakini wengi wetu hatuishi na wanawake (wake) kwa akili bali kwa janja janja tu. Hatujui namna bora ya kuishi nao bali tunawalaghai jambo ambalo halina afya kwa maisha ya baadae.

Mfano ni kwenye huu uzi mleta uzi ameshauri ukifika 55 utafute watoto wa uzeeni kwa mpango wa kando, huku sio kuishi na mwanamke kwa akili bali kwa janja janja tu.

Ukichunguza maeneo mengi watu wakiwashauri vijana namna za kuishi na wake zao huwa wanawashauri mambo ya hovyo sana, mara uwe mkali (unakuwaje mkali kwa mke wako?) mara hakikisha umekula kabla hujarudi nyumbani (hatujui inaumiza namna gani kumpikia chakula mtu asikile), mara uwe na mpango wa kando (usaliti) haya yote huwa ndio chanzo cha kuvuruga ndoa ya kijana yoyote.

Hautaona matokeo mapema ila amini huyo mwanamke anajuta kila mara ila hana namna sababu kwanza kashajichanganya kuolewa na wewe mtu wa hovyo, pili kashakuzalia hivyo anaangalia zaidi watoto mlionao wewe anaanza kukupuuza, sasa ngoja uzeeke au upate.ugonjwa mkali au kwa namna yoyote ugeuke kuwa mtegemezi kwake.

Hapo ndio utaona kabadilika lakini kiuhalisia sio kwamba kabadilika ila ndio wewe umefikia level sawa na yeye (level ya utegemezi) sasa unaona madhara yake. Yeye alishakuwa hivyo kitambo sana ila wewe usingeweza kuona sababu ulikuwa na uwezo wakujitegemea.

Mfano wa pili, wewe unaenda bar unakula nyama choma, pombe na mambo mengine alafu unarudi nyumbani hujabeba hata nusu kilo kwa ajili ya familia yako, wewe ni mbinafsi na siku ukigeuka tegemezi haustahili huruma ya mtu yoyote.

Hakuna mtu ambaye uzeeni anateseka kwa kutelekezwa n familia ambaye ujanani alikuwa sawa na familia yake. Wengi ukiwachunguza walikuwa wazinguaji sasa wanatafuta huruma za jamii.

Wanaume tuishi na wanawake kwa akkli na sio janja janja.
Umemaliza kila kitu!!!!! Hii thread ilitakiwa iishie hapa!!! Ujengewe mnara kwa kweli!!!!
 
Wanaume tuishi na wanawake kwa akkli na sio janja janj

Hawa wanawake mkuu usiombe ukakutana na mbovu. Jifanye uko bize ili familia yako na yeye mkeo akiwa mmoja eti iishi maisha Bora.

Watoto wakikuakua kidogo anaanza kuwapa sumu kali mno inayopelekea watoto wako wa kiume kukosa ukaribu na baba yao wakiamini simulizi za mama yao.

Na kama umeshawai kugundua,baba anayefanya kazi bega kwa bega na mtoto wake wa kiume,tuseme labda kazi ya ufundi magari,mtoto huyu akiwa imara kwenye kazi hamtengi baba yake hata kidogo,huwa ni washikaji.

Hii ni tofauti na baba ambaye watoto wake wakiwa likizo ana wapangia kazi za kufanya tofauti na anazofanya yeye na kwa mtindo huu mama hutumia hii nafasi pengine kwenda kufanya naye hiyo kazi ama kumbadilishia ratiba ili ampe sumu.

Kama ambavyo kina mama (wa zamani) hukaa na binti zao jikoni,nasi kina baba tujitahidi kuwatumia vijana wetu kama saidia fundi kwenye shughuli zetu.

Hawa kina mama wanaenda mbali sana mpaka kuwakagua binti zao sehemu za siri na hata maziwa na kuwachombeza vi maneno na hivyo binti zao huwachukulia kama marafiki zao.

Upande wetu sasa wanaume kijana wako akiacha kuoga adhalani tu ndio mwisho wa kumkagua ama kuona viunga vya ikulu yake na hata kutaniana hakupo.

Kwa mfano;
Ni 95% ya wanaume pindi wanapofikia wakati wa kuoa wa kwanza kuuziwa wazo ni mama na baadae mama hutoa maagizo wazo hilo lipelekwe kwa baba ama mama mwenyewe ndiye anaenda kumpa taarifa mmewe.

Mwanaume mwenzangu,kazi unayofanya hakikisha mwanao wa kiume naye anafanya nawe hata kama siyo hobby yake ila awe anasogeza tofali, spanner,anaingiza kamba za viatu nk.
Mama hawezi kuwapa watoto sumu kama mna mahusiano mazuri!! Afanye hivyo ili iweje? Halafu kwani hao watoto hawaoni mambo yalivyo humo ndani? Hata kama bado ni wadogo but with time wataelewa. Mimi siamini huu msemo eti watoto wanapewa sumu na Mama eti wachukie baba zao; why? Kuna mambo mnafanya mnatengeneza chuki nyinyi wenyewe bila kujua.
 
Jidanganye
 
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom