Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

Hawa wanawake mkuu usiombe ukakutana na mbovu. Jifanye uko bize ili familia yako na yeye mkeo akiwa mmoja eti iishi maisha Bora.

Watoto wakikuakua kidogo anaanza kuwapa sumu kali mno inayopelekea watoto wako wa kiume kukosa ukaribu na baba yao wakiamini simulizi za mama yao.

Na kama umeshawai kugundua,baba anayefanya kazi bega kwa bega na mtoto wake wa kiume,tuseme labda kazi ya ufundi magari,mtoto huyu akiwa imara kwenye kazi hamtengi baba yake hata kidogo,huwa ni washikaji.

Hii ni tofauti na baba ambaye watoto wake wakiwa likizo ana wapangia kazi za kufanya tofauti na anazofanya yeye na kwa mtindo huu mama hutumia hii nafasi pengine kwenda kufanya naye hiyo kazi ama kumbadilishia ratiba ili ampe sumu.

Kama ambavyo kina mama (wa zamani) hukaa na binti zao jikoni,nasi kina baba tujitahidi kuwatumia vijana wetu kama saidia fundi kwenye shughuli zetu.

Hawa kina mama wanaenda mbali sana mpaka kuwakagua binti zao sehemu za siri na hata maziwa na kuwachombeza vi maneno na hivyo binti zao huwachukulia kama marafiki zao.

Upande wetu sasa wanaume kijana wako akiacha kuoga adhalani tu ndio mwisho wa kumkagua ama kuona viunga vya ikulu yake na hata kutaniana hakupo.

Kwa mfano;
Ni 95% ya wanaume pindi wanapofikia wakati wa kuoa wa kwanza kuuziwa wazo ni mama na baadae mama hutoa maagizo wazo hilo lipelekwe kwa baba ama mama mwenyewe ndiye anaenda kumpa taarifa mmewe.

Mwanaume mwenzangu,kazi unayofanya hakikisha mwanao wa kiume naye anafanya nawe hata kama siyo hobby yake ila awe anasogeza tofali, spanner,anaingiza kamba za viatu nk.
Safi!!!
 
Watu walikuwa wanamcheka yule raisi wa ufaransa kuoa mwanamke aliemzidi umri,yeye miaka 46 mke wake miaka 70,hapa mke ataleta ujanja gani,akiondoka unavuta wa size yako,sio wewe miaka 70 mke 46,hapa mke akiondoka lazima ulie na kusaga meno....
 
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo' limemgharimu karibia maisha yake yote, hassling for the wife and children, akijinyima kila kitu kuhakikisha watoto wake wanasoma shule nzuri za private na wapate kozi nzuri vyuoni.

Mke wake ambaye amefikisha 60yrs amechukuliwa na mtoto wake wa mwisho Amsterdam in the Netherlands, mzee anapambana na high blood pressure, na kisukari, lakini upweke kwenye bagalow lake ndo shida kubwa kuliko, mzee hakuzaa watoto wengi aliza wawili tu. Ambao wameamua kuchukua na kulea mama yao na kuacha baba yao.

Hivi kwanini watoto hususani wa kiume wakikua wana tuchukia sisi Baba wakati sisi ni factor kubwa katika mafanikio yao?

Wanatutenga na kuthamini mama zao wengine wanatamani tufe mapema wachukue urithi loh!

NB.

1. Wanaume tujiandeni kwa wakati wa kustaafu hao watoto na wake zetu hubadilika na kuwa adui zetu tukistaafu (nolonger productive)

2. Early birth and late birth ni muhimu Zaeni watoto wa ukubwani kwa mke mdogo ukiwa 55 to 60yrs ( ukistaafu angalau uwe na wakukaa nao nyumbani, monogamy ina maumivi badaye polygamy inatatua shida zingine badaye.

View attachment 2948887
Mimi kama mwanaume siwezi kwenda kuishi na mtoto wangu wa kiume kwake labda kukaa siku mbili Tatum na kusepa. Akina mama ndiyo wanaweza kukaa tena wengine hadi wanafurugana na wakwe zao. Aisee mimi kama chaliangu hawezi nipa msaada pale pale kwangu aniache nipambane na Hali yangu
 
Kwahiyo wewe mtoto akosei eti umbebeleze, kisa unataka akupende uzeeni, hapana hiyo biashara sifanyi, kama kaamua hivo basi ni kudra za Mungu siwezi kujipendekeza kwa mtoto kisa kupendwa uzeeni.
Sijasema mtoto akikosea umbembeleze.
Kuna namna nzuri za kumuonya bila kutumia ukali uliopitiliza.

Halafu sio kwamba watoto wanaamua tuu kuwa karibu zaidi mama zao kuliko Baba.

Hii kitu mara nyingi inakuja yenyewe,

Hizi ni tabia za binadamu wote, mtu huwa anajenga ukaribu na mtu ambae akiwa nae anakuwa na amani, anakuwa huru kujieleza.

Hii ni human nature.

Hata wewe mtu mzma, huwezi kujenga ukaribu na mtu ambae hakusikilizi, au anaongea kwa ukali, in general hayuko friendly.

Na watoto ni hivyohivyo.

Mais
 
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo' limemgharimu karibia maisha yake yote, hassling for the wife and children, akijinyima kila kitu kuhakikisha watoto wake wanasoma shule nzuri za private na wapate kozi nzuri vyuoni.

Mke wake ambaye amefikisha 60yrs amechukuliwa na mtoto wake wa mwisho Amsterdam in the Netherlands, mzee anapambana na high blood pressure, na kisukari, lakini upweke kwenye bagalow lake ndo shida kubwa kuliko, mzee hakuzaa watoto wengi aliza wawili tu. Ambao wameamua kuchukua na kulea mama yao na kuacha baba yao.

Hivi kwanini watoto hususani wa kiume wakikua wana tuchukia sisi Baba wakati sisi ni factor kubwa katika mafanikio yao?

Wanatutenga na kuthamini mama zao wengine wanatamani tufe mapema wachukue urithi loh!

NB.

1. Wanaume tujiandeni kwa wakati wa kustaafu hao watoto na wake zetu hubadilika na kuwa adui zetu tukistaafu (nolonger productive)

2. Early birth and late birth ni muhimu Zaeni watoto wa ukubwani kwa mke mdogo ukiwa 55 to 60yrs ( ukistaafu angalau uwe na wakukaa nao nyumbani, monogamy ina maumivi badaye polygamy inatatua shida zingine badaye.

View attachment 2948887
Huyu anayesonga nguna ndio dingi yako sio
 
Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kuoa wake wengi. Wanawake wengine huwa wana tabia ya kuwamezesha sumu watoto wao juu ya baba yao.

Matokeo yake watoto wanakuja kumchukia mzee...pia wa baba tusiwe wakali kupitiliza kwa watoto mpaka kufikia mahala watoto wakawa wanakuogopa na kukuchukia. Tujitahidi kujenga upendo kwa watoto ili hali wapo wadogo ili wasiohofie kutukaribia.
 
Kwa mazuri yote anae kufanyia huwezi kumsamahe huyu mwana ume unajua, sisi wanaume tunasamehe sanaa hatujui kueleza makosa ya wake zetu tunameza tu, ila wanawake wanavituko nyumbani sema tuna waacha tu
Kama kipindi cha nyuma hukukaa vyema na familia yako usitarajie uzeeni wao ndio wakae vizuri na wewe. Huo wakati wengi wenu mnakua hamna pa kushika mshazeeka na mbaya zaidi ukute na pesa hakuna mnaanza kutafuta huruma kwa familia zenu. Kila mtu atavuna alichopanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom