Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

Kuna wakati haya mambo yanachangiwa na sisi sisi wanaume hasa tukiwa kwenye miaka 40 - 50 huwa tunakuwa wajinga sana kama vijana wanao balehe. Wengine huita hichi kipindi balehe ya pili ya mwanaume.

Hapa ndio pale ambapo tunakuwa wakorofi bila sababu, tunakuwa na mipango ya kando, hatueleweki na kuna wakati tunawatamkia wake na watoto wetu maneno ya ajabu. Tunasahau kuwa hayo mambo na maneno wanaishi nayo hadi uzeeni kwao.

Biblia kwa wakristu inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa akili, lakini wengi wetu hatuishi na wanawake (wake) kwa akili bali kwa janja janja tu. Hatujui namna bora ya kuishi nao bali tunawalaghai jambo ambalo halina afya kwa maisha ya baadae.

Mfano ni kwenye huu uzi mleta uzi ameshauri ukifika 55 utafute watoto wa uzeeni kwa mpango wa kando, huku sio kuishi na mwanamke kwa akili bali kwa janja janja tu.

Ukichunguza maeneo mengi watu wakiwashauri vijana namna za kuishi na wake zao huwa wanawashauri mambo ya hovyo sana, mara uwe mkali (unakuwaje mkali kwa mke wako?) mara hakikisha umekula kabla hujarudi nyumbani (hatujui inaumiza namna gani kumpikia chakula mtu asikile), mara uwe na mpango wa kando (usaliti) haya yote huwa ndio chanzo cha kuvuruga ndoa ya kijana yoyote.

Hautaona matokeo mapema ila amini huyo mwanamke anajuta kila mara ila hana namna sababu kwanza kashajichanganya kuolewa na wewe mtu wa hovyo, pili kashakuzalia hivyo anaangalia zaidi watoto mlionao wewe anaanza kukupuuza, sasa ngoja uzeeke au upate.ugonjwa mkali au kwa namna yoyote ugeuke kuwa mtegemezi kwake.

Hapo ndio utaona kabadilika lakini kiuhalisia sio kwamba kabadilika ila ndio wewe umefikia level sawa na yeye (level ya utegemezi) sasa unaona madhara yake. Yeye alishakuwa hivyo kitambo sana ila wewe usingeweza kuona sababu ulikuwa na uwezo wakujitegemea.

Mfano wa pili, wewe unaenda bar unakula nyama choma, pombe na mambo mengine alafu unarudi nyumbani hujabeba hata nusu kilo kwa ajili ya familia yako, wewe ni mbinafsi na siku ukigeuka tegemezi haustahili huruma ya mtu yoyote.

Hakuna mtu ambaye uzeeni anateseka kwa kutelekezwa n familia ambaye ujanani alikuwa sawa na familia yake. Wengi ukiwachunguza walikuwa wazinguaji sasa wanatafuta huruma za jamii.

Wanaume tuishi na wanawake kwa akkli na sio janja janja.
 
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo' limemgharimu karibia maisha yake yote, hassling for the wife and children, akijinyima kila kitu kuhakikisha watoto wake wanasoma shule nzuri za private na wapate kozi nzuri vyuoni.

Mke wake ambaye amefikisha 60yrs amechukuliwa na mtoto wake wa mwisho Amsterdam in the Netherlands, mzee anapambana na high blood pressure, na kisukari, lakini upweke kwenye bagalow lake ndo shida kubwa kuliko, mzee hakuzaa watoto wengi aliza wawili tu. Ambao wameamua kuchukua na kulea mama yao na kuacha baba yao.

Hivi kwanini watoto hususani wa kiume wakikua wana tuchukia sisi Baba wakati sisi ni factor kubwa katika mafanikio yao?

Wanatutenga na kuthamini mama zao wengine wanatamani tufe mapema wachukue urithi loh!

NB.

1. Wanaume tujiandeni kwa wakati wa kustaafu hao watoto na wake zetu hubadilika na kuwa adui zetu tukistaafu (nolonger productive)

2. Early birth and late birth ni muhimu Zaeni watoto wa ukubwani kwa mke mdogo ukiwa 55 to 60yrs ( ukistaafu angalau uwe na wakukaa nao nyumbani, monogamy ina maumivi badaye polygamy inatatua shida zingine badaye.

View attachment 2948887
Ni ukweli mkuu.
 
Muwamba ngoma.....hii part ya mwanaume inaelezewa mwanaume katenda memaaaa katenda memaaaa maishani mwisho kazeeka katengwa, serious????

Hii situation sometimes iko hivi, mwanaume ukiwa na nguvu zako unakua kivuruge, kivuruge kweli, kama ni mlevi mlevi mbwa kero nyingi....unavumiliwa tu, wakati unavumiliwa hata mioyoni watu wanakutoa inabaki ile basi tuuuu.....ukishazeeka sasa huna nguvu za kupiga sarakasi muda huo unataka urudishe mapenzi na upendwe huo moyo wa kupendwa haupooo inabaki tu huruma ya kibinadamu, ndo muda huu zinaibuka ngonjera za kutengwa.

Kuwa mwema wakati wote, usisubirie kipindi huna nguvu
Wenye sifa ulizizitaja huwa hawatengwi kiviile.
Wanaotengwa ni tunaocheza fair.
 
Kuna wakati haya mambo yanachangiwa na sisi sisi wanaume hasa tukiwa kwenye miaka 40 - 50 huwa tunakuwa wajinga sana kama vijana wanao balehe. Wengine huita hichi kipindi balehe ya pili ya mwanaume.

Hapa ndio pale ambapo tunakuwa wakorofi bila sababu, tunakuwa na mipango ya kando, hatueleweki na kuna wakati tunawatamkia wake na watoto wetu maneno ya ajabu. Tunasahau kuwa hayo mambo na maneno wanaishi nayo hadi uzeeni kwao.

Biblia kwa wakristu inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa akili, lakini wengi wetu hatuishi na wanawake (wake) kwa akili bali kwa janja janja tu. Hatujui namna bora ya kuishi nao bali tunawalaghai jambo ambalo halina afya kwa maisha ya baadae.

Mfano ni kwenye huu uzi mleta uzi ameshauri ukifika 55 utafute watoto wa uzeeni kwa mpango wa kando, huku sio kuishi na mwanamke kwa akili bali kwa janja janja tu.

Ukichunguza maeneo mengi watu wakiwashauri vijana namna za kuishi na wake zao huwa wanawashauri mambo ya hovyo sana, mara uwe mkali (unakuwaje mkali kwa mke wako?) mara hakikisha umekula kabla hujarudi nyumbani (hatujui inaumiza namna gani kumpikia chakula mtu asikile), mara uwe na mpango wa kando (usaliti) haya yote huwa ndio chanzo cha kuvuruga ndoa ya kijana yoyote.

Hautaona matokeo mapema ila amini huyo mwanamke anajuta kila mara ila hana namna sababu kwanza kashajichanganya kuolewa na wewe mtu wa hovyo, pili kashakuzalia hivyo anaangalia zaidi watoto mlionao wewe anaanza kukupuuza, sasa ngoja uzeeke au upate.ugonjwa mkali au kwa namna yoyote ugeuke kuwa mtegemezi kwake.

Hapo ndio utaona kabadilika lakini kiuhalisia sio kwamba kabadilika ila ndio wewe umefikia level sawa na yeye (level ya utegemezi) sasa unaona madhara yake. Yeye alishakuwa hivyo kitambo sana ila wewe usingeweza kuona sababu ulikuwa na uwezo wakujitegemea.

Mfano wa pili, wewe unaenda bar unakula nyama choma, pombe na mambo mengine alafu unarudi nyumbani hujabeba hata nusu kilo kwa ajili ya familia yako, wewe ni mbinafsi na siku ukigeuka tegemezi haustahili huruma ya mtu yoyote.

Hakuna mtu ambaye uzeeni anateseka kwa kutelekezwa n familia ambaye ujanani alikuwa sawa na familia yake. Wengi ukiwachunguza walikuwa wazinguaji sasa wanatafuta huruma za jamii.

Wanaume tuishi na wanawake kwa akkli na sio janja janja.
Hawa wanawake mkuu usiombe ukakutana na mbovu. Jifanye uko bize ili familia yako na yeye mkeo akiwa mmoja eti iishi maisha Bora.

Watoto wakikuakua kidogo anaanza kuwapa sumu kali mno inayopelekea watoto wako wa kiume kukosa ukaribu na baba yao wakiamini simulizi za mama yao.

Na kama umeshawai kugundua,baba anayefanya kazi bega kwa bega na mtoto wake wa kiume,tuseme labda kazi ya ufundi magari,mtoto huyu akiwa imara kwenye kazi hamtengi baba yake hata kidogo,huwa ni washikaji.

Hii ni tofauti na baba ambaye watoto wake wakiwa likizo ana wapangia kazi za kufanya tofauti na anazofanya yeye na kwa mtindo huu mama hutumia hii nafasi pengine kwenda kufanya naye hiyo kazi ama kumbadilishia ratiba ili ampe sumu.

Kama ambavyo kina mama (wa zamani) hukaa na binti zao jikoni,nasi kina baba tujitahidi kuwatumia vijana wetu kama saidia fundi kwenye shughuli zetu.

Hawa kina mama wanaenda mbali sana mpaka kuwakagua binti zao sehemu za siri na hata maziwa na kuwachombeza vi maneno na hivyo binti zao huwachukulia kama marafiki zao.

Upande wetu sasa wanaume kijana wako akiacha kuoga adhalani tu ndio mwisho wa kumkagua ama kuona viunga vya ikulu yake na hata kutaniana hakupo.

Kwa mfano;
Ni 95% ya wanaume pindi wanapofikia wakati wa kuoa wa kwanza kuuziwa wazo ni mama na baadae mama hutoa maagizo wazo hilo lipelekwe kwa baba ama mama mwenyewe ndiye anaenda kumpa taarifa mmewe.

Mwanaume mwenzangu,kazi unayofanya hakikisha mwanao wa kiume naye anafanya nawe hata kama siyo hobby yake ila awe anasogeza tofali, spanner,anaingiza kamba za viatu nk.
 
Umeeleweka sana 🤝
 
Yani uko poa na mke, uko poa na wanao....eveything is okay ghafla tu unatengwa? Mie siamini hii

Afu binadamu utakuaje mwema maisha yako yote, yani we mwema tu hukosei, unatenda wema tu?? Hii chai hayupo wa hivi
Ndio.
Baadhi akiona genye hana tena,maokoto watoto wanampatia baasi mama ni mwendo wa safari zisizoisha na kila aina ya usafiri akitembelea watoto wake. Mwaka unaisha kwa mmewe kaka siku 14,zilizobaki ni Arusha, Zanzibar,Moro,Babati,Mwanza na Mbeya ilihali mmewe yuko nyumbani tu Musoma.
 
Huyu mama anyongwe 😹😹😹😹 sio vizuri hivyo
 
Hawa wanawake mkuu usiombe ukakutana na mbovu. Jifanye uko bize ili familia yako na yeye mkeo akiwa mmoja eti iishi maisha Bora.

Watoto wakikuakua kidogo anaanza kuwapa sumu kali mno inayopelekea watoto wako wa kiume kukosa ukaribu na baba yao wakiamini simulizi za mama yao.

Na kama umeshawai kugundua,baba anayefanya kazi bega kwa bega na mtoto wake wa kiume,tuseme labda kazi ya ufundi magari,mtoto huyu akiwa imara kwenye kazi hamtengi baba yake hata kidogo,huwa ni washikaji.

Hii ni tofauti na baba ambaye watoto wake wakiwa likizo ana wapangia kazi za kufanya tofauti na anazofanya yeye na kwa mtindo huu mama hutumia hii nafasi pengine kwenda kufanya naye hiyo kazi ama kumbadilishia ratiba ili ampe sumu.

Kama ambavyo kina mama (wa zamani) hukaa na binti zao jikoni,nasi kina baba tujitahidi kuwatumia vijana wetu kama saidia fundi kwenye shughuli zetu.

Hawa kina mama wanaenda mbali sana mpaka kuwakagua binti zao sehemu za siri na hata maziwa na kuwachombeza vi maneno na hivyo binti zao huwachukulia kama marafiki zao.

Upande wetu sasa wanaume kijana wako akiacha kuoga adhalani tu ndio mwisho wa kumkagua ama kuona viunga vya ikulu yake na hata kutaniana hakupo.

Kwa mfano;
Ni 95% ya wanaume pindi wanapofikia wakati wa kuoa wa kwanza kuuziwa wazo ni mama na baadae mama hutoa maagizo wazo hilo lipelekwe kwa baba ama mama mwenyewe ndiye anaenda kumpa taarifa mmewe.

Mwanaume mwenzangu,kazi unayofanya hakikisha mwanao wa kiume naye anafanya nawe hata kama siyo hobby yake ila awe anasogeza tofali, spanner,anaingiza kamba za viatu nk.
umenifundisha kitu kikubwa sana ndugu yaani ubarikiwe sanaa, hii elimu kamwe siwezi kuipata popote zaidi ya hapa kweli jf ni zaidi ya phd.
 
Wanaume wengi wanajitenga na familia zao kwa kisingizio cha ubize kutafuta maisha.
 
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo' limemgharimu karibia maisha yake yote, hassling for the wife and children, akijinyima kila kitu kuhakikisha watoto wake wanasoma shule nzuri za private na wapate kozi nzuri vyuoni.

Mke wake ambaye amefikisha 60yrs amechukuliwa na mtoto wake wa mwisho Amsterdam in the Netherlands, mzee anapambana na high blood pressure, na kisukari, lakini upweke kwenye bagalow lake ndo shida kubwa kuliko, mzee hakuzaa watoto wengi aliza wawili tu. Ambao wameamua kuchukua na kulea mama yao na kuacha baba yao.

Hivi kwanini watoto hususani wa kiume wakikua wana tuchukia sisi Baba wakati sisi ni factor kubwa katika mafanikio yao?

Wanatutenga na kuthamini mama zao wengine wanatamani tufe mapema wachukue urithi loh!

NB.

1. Wanaume tujiandeni kwa wakati wa kustaafu hao watoto na wake zetu hubadilika na kuwa adui zetu tukistaafu (nolonger productive)

2. Early birth and late birth ni muhimu Zaeni watoto wa ukubwani kwa mke mdogo ukiwa 55 to 60yrs ( ukistaafu angalau uwe na wakukaa nao nyumbani, monogamy ina maumivi badaye polygamy inatatua shida zingine badaye
A man still a man whatever the case
 
ephen_ unakumbuka hoja yangu kama hii?
Nakumbuka vizuri tu!
Tatizo wazee tukiwapa hela mnaenda kula na michepuko
Nikimpa mama italika nyumbani.

Nikiwa o-level siku ya visiting day mzee alikuja kuniona, nakumbuka aliniletea dictionary na pesa,
Nilipiga jicho chini kwa mzee niliona raba aliyoivaa haikua nzuri ilianza kuharibika
Nilijisikia vibaya sana!! Ile picha huwa haitoki machoni pangu.

Alinipa hela ambayo angeweza kununua kiatu kizuri kwa ajili yake, avae apendeze.

Siku nitamkumbusha huku nikiwa na raba kali kwa ajili yake.
 
Umetupondaa halaf unatusifia.
Ona masimango hayaa 😂
 
Umetupondaa halaf unatusifia.
Ona masimango hayaa 😂
Tatizo nyie hampo wazi!
Mtoto nina shida nakupigia simu kukuomba hela unaniambia utatuma siku zinapita hata 3 days nakupigia hupokei!
Mimi kama mtoto nitajisikiaje?

Baada ya siku unatuma, kumbe ulikua hupokei sababu huna hela.. kwanini usiseme nijue mzee hana lkn ananitafutia

Wanaume ni watu wazuri! Lakini wakina mama wanajua kucheza na akili za watoto kujichukulia points😂
 
Back
Top Bottom