Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

Mkiwa na nguvu na pesa mnajijua bana mambo yenu.....anyway poleni kwa mnayopitia.
Tatizo wanawake huwa wanatengeneza chuki kwa watoto, hivi hata kama sawa wanaume wanakosea ina maana hata mema yake hayaonekani kipindi chote hiko? Watoto wanasoma wanapata kazi halafu mnaangalia mabaya tu, mnatumia udhaifu huo kuwahadaa watoto na kutengeneza chuki ili kusudi muonekane wa maana sana kuliko wanaume.

Hio mitoto ya hivyo ni upumbavu mtupu.

Hakuna mwanadamu hakosei.
 
Sivyo hata kuchukua points, ni wazuri kutengeneza chuki kwa watoto dhidi ya baba. Wabadilike sio wote.
 
Wanasahau fainali uzeeni, wakati yanasumbua ujanani kuchochora na wanawake wa nje hayatulii yanajua yatakuwa na nguvu muda wote..!!! Waache kulalamika wawachukue vimada wao wapeane faraja.
 
Kweli hapo kinamama wengi hukosea.....kwa kusambaza sumu kwa watoto tupo vere kwakweli, sio kitu kizuri
 
Mke ndo mbinafsi...
Yeye ndo alitakiwq aopt kubaki na mumewe wale uzee pamoja.
Binafsi wanangu kunichukua labda niwe mjane and jobless, otherwise ntabaki na mume wangu au mishe zangu.

Marry your person and treat her right, ni mara chache sana kukutelekeza
 
Na wanakuwaga majeuri sana, ndani wanaona km wanaishi na ng’ombe, wakichoka wanarudi mikono nyuma wanataka faraja thubutuuuuu!!!!
Yani waenjoy ujanani na uzeeni pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watavuna walichopanda
Nyie wanawake mno roho mbaya kuanzia leo ntaangalia mwanamke wangu na jicho la tatu loh
 
Kama walivyo mfanyia baba yao... Nao watafanyiwa hivyo hivyo....

Watoto tusiwe wabaguzi kwa wazazi wetu... Tusipende kuruhusu story za upande mmoja zistawi katika akili na mioyo yetu hasa za upande wa mama zetu (ingawa sio wote) maana tukizitilia maanani adhali zake ndo hizo.. sikiliza afu potezea tu...


N:B hata wazee wetu (mababa) wana mengi yakusema ila tu wanaamuaga kukausha kwa ustawi wa maisha ya uzao wao... Bahati mbaya uzao wenyewe wa smartphone, Instagram, na kujiona maasla hawajui hilo na ujinga wao......
 
Basi utaanza kumnunia huko ndani, dada wa watu anabaki na maswali kumkichwa "nimemkosea nini hubby mbona amenuna kavimba" kumbe umevimbishwa na comments za jf.....[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Jf ndo hao watu tunao ishi nao mitaani kazini misibani michango na mawazo yao hayana tofauti na maisha halisi, na wanacho sema hapa ni ukweli mtupu sio imagination, kaa mbali na mwanamke mwenye roho mbaya.
 
Jf ndo hao watu tunao ishi nao mitaani kazini misibani michango na mawazo yao hayana tofauti na maisha halisi, na wanacho sema hapa ni ukweli mtupu sio imagination, kaa mbali na mwanamke mwenye roho mbaya.
Sio sababu ya kutoka kwenda kumnunia.....au umpe sababu basi
 
Kama hukuwa na mahusiano mazuri na huyo mwanao usitegemee maajabu.

WaMama wanabembeleza, wanaonya kwa upole.

Baba wewe unataka uogopwe kama Simba, unakoroma tuu.


Fainali uzeeni.
Kwahiyo wewe mtoto akosei eti umbebeleze, kisa unataka akupende uzeeni, hapana hiyo biashara sifanyi, kama kaamua hivo basi ni kudra za Mungu siwezi kujipendekeza kwa mtoto kisa kupendwa uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…