habari zenu wanajf .....
kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
- mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje? tunapenda wenza wetu wawe wanavutia kimahabamahaba all the time around, bahati mbaya hili si jepesi kwa mwanamke mwenye majukumu yake km vile kazi ama familia, unless muwe waigizaji!
- mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia sihangaiki na wewe.. wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ? kwa hapa huwa mnataka tufanye nini? penzi limefika mwisho, natafuta sababu tu!
- ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna kuwa kuna nini hapo jamani? nilikosa sababu ya wazi wazi kukuacha, nikakurupuka!
- unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ? hii inaitwa defensive mechanism! najishtukia, nafsi inanisuta! huna chako, ingekuwa bao la kete, hapa umeliwa mummy!
- pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo? hakuna raha kama kuombwa msamaha na mke ama gf, kwa kuwa na msimamo kama wa huyo jamaa, anamaanisha hataki tena relation na sababu ni kashapata replacement!
wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu ...jamani napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu nipeni maujanja nifanyaje mimi.... ila theory practical nitafanya mwenyewe....
naombeni msaada wenu please..
asante mbarikiwe