Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
cku m2 akiniambia cko hot! aisee ntalia
hahahaha bora ujikaze asijisifie kakuweza
cku m2 akiniambia cko hot! aisee ntalia
Ila uvumilivu unaisha ujue
Pole sana mkuu nafikiri kama mtu amefikia kufanya hayo yote basi anakua amekuchoka na aliyechoka hakosi sababu . Unaweza ukajitahidi kufanya mengi lkn kama mwenzio kachoka haisaidii. For future relationship kuwa makini mno na muombe Mungu akupe mtu aliye sahihi na atakaekupenda jinsi ulivyo. Sasa anza kufikiri kwa kutumia kichwa acha kabisa kutumia moyo tena ulivyobembeleza kurudiana mwenzio alipata bichwa la kukupotezea na kujiona yuko juu.
:bange:"Ukimuona mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo":bange:
TIBA SHURTI UCHUNGUZI KWANZA.
Hujatuweka wazi,
1.Hii ni stori ya kutunga? Au Inakuhusu wewe mwenyewe?
2.Uhusiano husika una umri gani? (mwaka,miaka au miezi?)
3.Umbali wa wahusika unaouzungumzia ni wa wapi na wapi?
4.Matatizo hayo ndio yameanza punde tu au ni yanajirudiarudia tokea siku nyingi?
*Hakuna uhusiano usiokuwa na madoa/matatizo/mifarakano ya hapa na pale.
Zaidi majibu ya maswali hayo yatatoa rejea itakayotupelekea kutoa ushauri kwa nafasi.
hapo kuna Mwanamke mwenzako kasha ku over take, so Jamaa anatafuta kisa tuu avunje rasmi kambi kwako..kuwa macho
pole mamii... huwa naamini chochote unachochagua kuvumilia sasa, usitegemee kuwa kitapungua au kubadilika muda unavyozidi kwenda (labda mara chache mno kwa anayekupenda na kujali hisia zako!!), sana sana kitaongezeka tu na utazidi kunyong'onyea ndani. Kimbia mdogo wangu, kimbia moyo kitu kingine ujue..
Aisee! Kumbe na ww ni majeruhi! miss chagga huyo hana mpango na ww sku zote mpenz wako akiwa mbali unakuwa na hamu ya kumuona na kufanya naye kila zuri lakin huyo jamaa yako alikufanya chombo cha starehe..... Kaa chin tulia fikilia kwa makin tafuta mtu makin for u'r future.. Ulipenda usipopendwa.
Aisee...mambo kama hayo yanapokudhuru ktk ujue kabisa kuwa Hugo...mwanaume hakupendi. Au ameshapata alicho kitaka kutoka kwako(kufanya mapenzi Na wewe). Au amekuchokaaa...
dada pole kama hii ni story ya kweli basi huyo ndio mwanaume wa uhakika anayependwa na wanawake wengi.habari zenu wanajf .....
kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
- mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?
- mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia sihangaiki na wewe.. wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ? kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?
- ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna kuwa kuna nini hapo jamani?
- unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?
wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu ...jamani napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu nipeni maujanja nifanyaje mimi.... ila theory practical nitafanya mwenyewe....
- pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
naombeni msaada wenu please..
asante mbarikiwe
Hili ndiyo summary ya maswali yote.Well said!Kwa maneno rahisi, haumvutii tena.
Aisee, mpaka unaruhusu akufanyie yote hayo ina maana umeshindwa kusoma alama za nyakati.
Wakati wa usichana tulikuwa tunafundana jinsi ya kuona dalili hovyo, kiasi kwamba unamuacha kabla hajakuacha; it is good for your esteem na maumivu sio mengi.
habari zenu wanajf .....
kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
- mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?
- mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia sihangaiki na wewe.. wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ? kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?
- ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna kuwa kuna nini hapo jamani?
- unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?
wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu ...jamani napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu nipeni maujanja nifanyaje mimi.... ila theory practical nitafanya mwenyewe....
- pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
naombeni msaada wenu please..
asante mbarikiwe
miss chagga, wajua hatutabiriki wengi wetu hasa wasiojitambua, na wengine wanabadilika hasa wanapopata kipato kikubwa ukilinganisha hapo awali....!
unachopaswa ni kusimama, kusimama imara...!
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka wewe, njoo huku acha kupiga kelele.
dada pole kama hii ni story ya kweli basi huyo ndio mwanaume wa uhakika anayependwa na wanawake wengi.
wanawake walio wengi huwa hawawaelewi watu makini na wakweli ila porojo za wasanii wanazipenda mno na ndio chaguo lao.
sina la kukusaidia, hii hali ndio mwalimu wako utajisaidia mwenyewe, wapo hata walioijuwa hali yako itafikia hapo walikaa kimya kuogopa kuitwa wafitini.
kuna wakati dada zetu mnajichanganya kwenye mahusiano tunaogopa kuwaambia ukweli huwa hamtaki ukweli.