miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #241
okey nimekumbuka nitakuchekiNa issue na wewe njoo kwa stream ya juzi pls
okey nimekumbuka nitakuchekiNa issue na wewe njoo kwa stream ya juzi pls
karibu sana, nikuandalie nini?ndiyo geti la tatu
konyagi na kuku wa kienyeji wa kuchoma na ndizi mbilikaribu sana, nikuandalie nini?
ushapata.konyagi na kuku wa kienyeji wa kuchoma na ndizi mbili
Habari zenu wanaJF
Kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. Nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
- Mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?
- Mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia sihangaiki na wewe. Wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ? kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?
- Ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna kuwa kuna nini hapo jamani?
- Unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?
Wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu jamani napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino mengine nahisi ni yale yale tu wapenzi wangu nipeni maujanja nifanyaje mimi ila theory practical nitafanya mwenyewe.
- Pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
Naombeni msaada wenu please.
Asante mbarikiwe
sawa mkuuDada kuna tofauti kati ya mwanaume na mume, pia kuna tofauti kati ya mwanamke na Mke. Sasa we we ulipata mwanaume badala ya mume ndio maana hakuwa na busara. Hakufai, Lakini kwa upande wako nawe kama unamakosa jirekebishe.
Dada kuna tofauti kati ya mwanaume na mume, pia kuna tofauti kati ya mwanamke na Mke. Sasa we we ulipata mwanaume badala ya mume ndio maana hakuwa na busara. Hakufai, Lakini kwa upande wako nawe kama unamakosa jirekebishe.
sema ndiyo tunazidianaGriiiii hapo bibie umepatikana yaani uwe hot zaid ya hapo ? hapana kule kapata aliyekuzid so anazuga tu ila toto lenye IQ kama hili unataka liwe hot kiaje tena wanaume mungu anatuona mjue tunawapa wakati mgum sana hawa wadada
asante sana mrPole mdada mzuri miss chagga
asante sana mr