habari zenu wanajf
.....
kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya
rafiki zangu. nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
- mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?
- mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia
sihangaiki na wewe.. wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ?
kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?
- ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna
kuwa kuna nini hapo jamani?
- unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga
ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?
- pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka
kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba
katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu ...jamani
napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino
mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu nipeni maujanja
nifanyaje mimi.... ila theory practical nitafanya mwenyewe....
naombeni msaada wenu please..
asante mbarikiwe