Wanaume embu nisaidini hili

Wanaume embu nisaidini hili

1] Tunataka mupendeze, kama ni mke wangu nitakupa fullu material, ibaki wewe tu!
Kama ni dem tu, nitakupa nusu nawe uengezee nusu ili kupata kitu kamili!

2] Tunataka msiwe magogo! = kitanda mkitendee haki!

Tunajua m/ke akizoea libolo, akilikosa ni lazima atachakachua! Tunawakazia makusudi ili muache kuliwa na me wengine! Tukiwalegezea tu, mnachakachuliwa bila hiana!

Tunataka mjilinde!

Penzi kulegalega maana yake nini?
Kama ulinipotezea nusu, mimi nakupotezea mazima!
Kwanini penzi lilegelege?

Hiyo tunaiita counter attack!
Tusipofanya hivyo, mnakuwa mnatuzonga na viswali vyenu uchwara, hata tukiwajibu hamkubali! May be mnataka tuwajibu vile mpendavyo ninyi, na hilo haliwezekani!
Kuepusha usumbufu, ndio tunawawashia moto muache kutujudge!

Hapa nakuwa nimekuchoka, kukuambia live live unaweza kuniapiza! Lol!

Tukiwachoka huwaga hatuangalii mazuri! Na tukifikiria mazuri hatowaacha ilhali tunakuwa na mwengine mpya ambae anakuwa mtamu sio used kama wewe!
...
Nadhani nimekujibu in-general.
Nimejibu hivyo kwa kuamini huenda kuna me watakuficha ukweli huo!
:tea:

Exactly!! Plus definition ya 'hot' ya Nyani Ngabu, I can say you have everything in your hands. But dont expect tukupe maujanja kabisaaa, umeona wapi we ukampa adui yako mbinu zako za kivita??!:banghead:
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahaaaa! Nimemwambia aje piemo anambwera tu na kung'aang'aa sharubu!
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wanajf .....
kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
  • mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?

  • mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia sihangaiki na wewe.. wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ? kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?

  • ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna kuwa kuna nini hapo jamani?

  • unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?

  • pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu ...jamani napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu nipeni maujanja nifanyaje mimi.... ila theory practical nitafanya mwenyewe....

naombeni msaada wenu please..
asante mbarikiwe

muombe mungu akuongoze
 
Mmh kurudi huyu mngoni amentesa sitaki arudi ila nataka kujifunza where i did wrong? Ndo maana. Nikataka mnifunze

oooh kumbe ni mngoni...
hao bn dharau na kejeli ndo penyewe.pole

usikimbilie kwenye mahusiano mengine haraka utakutana na mengine zaidi na kuhisi mwaka ni wako..
Pia jitahid kuwa wa garama kidogo
 
As to me...kwanza naamin telin sum 1 to b hot tht means on bed...sion kama inahusiana na
muonekano wa nje..

Pili kuhus suala la mawasiliano....apa watu wako tofaut sana....kwa mfano kwa mm hua napenda km nimpendae yupo mbali nikip intach nae kias cha angalau nijue routine zake frm morn to bed tym....sasa apa kunaweza kua na utata coz unaweza kudhan tunawasiliana vzr kumbe mwenzio naona magep.....(kwa mfano unatoka kazn...wat u to tel me...il nijue mda gan utakua umefka om.afta tht thngs goes well...)

Kuhusu mwanaume kubadilika kwa kias kikubwa kunaweza kuchangiwa na mwanamke mwenyew kias cha anaweza kuona bora atafte substitute maisha yaende...(apa ubize mara nyng unakua sabab....) hakunaga mwanaume ambae anafraia mahusiano na gal ambae she z always bizy...ukum txt after 39 min ndo anajib ...sory bby was kind of bizy....to hell!!!!!

Historia inasaidia sana kusimamisha mahusiano....means atlist u hav to hold on to ups and doen il bdae when t comes to choices angalau uonekane chaguo....kila mara kuanzisha mahusiano kidgo tu umezingua costs alot.....

Unless b blessed.....
Spells unchecked!!!
 
Uwe na mvuto kimapenzi. Yaani ujiweke vizuri.

Kwa mfano, ukiwa umejaaliwa ile chakula ya mtoto, si mbaya mara moja moja kuonyesha ubunifu. Onyesha ule mgawanyo (cleavage), nifanyie shimmy, vaa sketi zenye slit....

Ukivaa viatu vya kokoko basi badili mwendo...tembea kaa Naomi Campbell kwenye catwalk

Kuwa msafi, nukia vizuri, floss meno, kuwa na meno meupe, paka viondoa harufu (deodorant) - kama antiperspirant zinakupa shida basi uwe unaweka armpit pads kuzuia jasho kuvuja kwenye kitop chako...

In a nutshell, be a lady in the street but a freak in the sheets.

Hapo ndo penyewe
 
As to me...kwanza naamin telin sum 1 to b hot tht means on bed...sion kama inahusiana na
muonekano wa nje..

Pili kuhus suala la mawasiliano....apa watu wako tofaut sana....kwa mfano kwa mm hua napenda km nimpendae yupo mbali nikip intach nae kias cha angalau nijue routine zake frm morn to bed tym....sasa apa kunaweza kua na utata coz unaweza kudhan tunawasiliana vzr kumbe mwenzio naona magep.....(kwa mfano unatoka kazn...wat u to tel me...il nijue mda gan utakua umefka om.afta tht thngs goes well...)

Kuhusu mwanaume kubadilika kwa kias kikubwa kunaweza kuchangiwa na mwanamke mwenyew kias cha anaweza kuona bora atafte substitute maisha yaende...(apa ubize mara nyng unakua sabab....) hakunaga mwanaume ambae anafraia mahusiano na gal ambae she z always bizy...ukum txt after 39 min ndo anajib ...sory bby was kind of bizy....to hell!!!!!

Historia inasaidia sana kusimamisha mahusiano....means atlist u hav to hold on to ups and doen il bdae when t comes to choices angalau uonekane chaguo....kila mara kuanzisha mahusiano kidgo tu umezingua costs alot.....

Unless b blessed.....
Spells unchecked!!!

Thanks for advice mkuu... ila wanaume ni viumbe vya ajabu sana aisee. Nitafanyia kazi
 
Tht works both ways...nyie pia kuna situayions hua mna-act weird(not sure of spelling)...so ts a matter of kuvumiliana....

Uvumilivi ndo mpanho mzima.
 
habari zenu wanajf .....
kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
  • mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?

  • mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia sihangaiki na wewe.. wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ? kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?

  • ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna kuwa kuna nini hapo jamani?

  • unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?

  • pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu ...jamani napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu nipeni maujanja nifanyaje mimi.... ila theory practical nitafanya mwenyewe....

naombeni msaada wenu please..
asante mbarikiwe

Ukiona hivyo ujue either HAUELEWEKI, au NIMEKUCHOKA, na siwezi kukuchoka kama sijapata mwingine, kwa lugha nyingine wa chukua 50 zako!
 
Aisee...mambo kama hayo yanapokudhuru ktk ujue kabisa kuwa Hugo...mwanaume hakupendi. Au ameshapata alicho kitaka kutoka kwako(kufanya mapenzi Na wewe). Au amekuchokaaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom