Wanaume embu nisaidini hili

Wanaume embu nisaidini hili

1] Tunataka mupendeze, kama ni mke wangu nitakupa fullu material, ibaki wewe tu!
Kama ni dem tu, nitakupa nusu nawe uengezee nusu ili kupata kitu kamili!

2] Tunataka msiwe magogo! = kitanda mkitendee haki!

Tunajua m/ke akizoea libolo, akilikosa ni lazima atachakachua! Tunawakazia makusudi ili muache kuliwa na me wengine! Tukiwalegezea tu, mnachakachuliwa bila hiana!

Tunataka mjilinde!

Penzi kulegalega maana yake nini?
Kama ulinipotezea nusu, mimi nakupotezea mazima!
Kwanini penzi lilegelege?

Hiyo tunaiita counter attack!
Tusipofanya hivyo, mnakuwa mnatuzonga na viswali vyenu uchwara, hata tukiwajibu hamkubali! May be mnataka tuwajibu vile mpendavyo ninyi, na hilo haliwezekani!
Kuepusha usumbufu, ndio tunawawashia moto muache kutujudge!

Hapa nakuwa nimekuchoka, kukuambia live live unaweza kuniapiza! Lol!

Tukiwachoka huwaga hatuangalii mazuri! Na tukifikiria mazuri hatowaacha ilhali tunakuwa na mwengine mpya ambae anakuwa mtamu sio used kama wewe!
...
Nadhani nimekujibu in-general, Haina maana me wote tuko hivyo! Mashaxizo hana tabia hizo!
Nimejibu hivyo kwa kuamini huenda kuna me watakuficha ukweli huo!
:tea:

Tulia na Mashaxizo ule raha wewe!
Hautojutia kamwe labda uwe kicheche and/or gogo!
...
miss chagga nadhani umenisoma vilivyo hapo!
Nakusubiri piemo! Na ole wako usije!

Naomba unipe maujanja kwanza theory lakin
 
huwezi kufanya yote hayo hlf usionekane Hot..........

yaani wewe unataka kusema ukijipiga mapigo ya kwenda kwenye party huna tofauti na unapopiga mapigo ya kwenda ofisini?

being hot , ni hata muonekano wako wa kihaiba, umeshawahi kumuona mwanamke aliyekula kungu au anayetafuna gum huku lips amepaka rangi za mdomo?

Hilo sijafanya jamni ngoja nianze kula kungu
 
don fall in love with a dreamer...! usiidhulumu nafsi yako mwache aende hakupendi hakujali hakuthamini hajui maumivu yako mahali fulani mtu fulani anakusubiri atakusahaulisha yote hayo na utashangaa alikuwa wp siku zote
 
Kwa maneno rahisi, haumvutii tena.
Aisee, mpaka unaruhusu akufanyie yote hayo ina maana umeshindwa kusoma alama za nyakati.
Wakati wa usichana tulikuwa tunafundana jinsi ya kuona dalili hovyo, kiasi kwamba unamuacha kabla hajakuacha; it is good for your esteem na maumivu sio mengi.

Usiseme hivyo nifundishe mwenzio
 
Hilo sijafanya jamni ngoja nianze kula kungu

huo nimetoa mfano tu..........
nilichotaka ujue ni kuwa usitabirike ,,,,,,,,,,, ili mapenzi yanoge na yasichoshe inabidi yawe na excitement na adventure za kutosha..........
 
Ukiona Ivo Ujue Kashajipatia Mwingine Na Anatafuta Visababu Tu Vya Kukuacha Na Kuhusu Sijui Kuwa Hot Iyo Huwa Tunamaanisha Uvutie Bibie Yaani Uwe Na Mwonekano Wa Mtoto Wa Kike Si Unakua Mchafu Kama Umetoka Shimoni,masinzi Mengi,kikwapa Kama Toilet Za Pale Tosamaganga. Kuhusu Kukuuliza Uliza Kwa Nini Huangaiki Na Yeye Hii Inatokana Na Wewe Kutompa Maneno Matam Muda Mnachat Au Mnaongea Kwa Simu Umeishia Kuuliza Tu Vp Umenunua Ipad Mpya? Mara Ooh Jesca Umeskia Anaumwa,yaani Inshort Unakua Na Maongezi Ya Kawaida Na Hais Utofauti Wako Na Friends Wake.
Hapo Kwenye Kukataa Kurudiana Ni Anakua Ashakuchoka Kutokana Na Tabia Nilizosema Apo Awali Na Anakua Ashapata Kipoozeo Matokeo Yake Anakua Na Hasira Na Ukipiga Simu Anakata Au Hapokei Kabisa.

Okey lakini kama usafi sijui hivuo hapo nimefanya for 4 years unataka kusema alikuwa anavumilia ... any way nadhani kuna maana nyingine ya hot
 
huo nimetoa mfano tu..........
nilichotaka ujue ni kuwa usitabirike ,,,,,,,,,,, ili mapenzi yanoge na yasichoshe inabidi yawe na excitement na adventure za kutosha..........

Asante kwa ushauri mkuu
 
don fall in love with a dreamer...! usiidhulumu nafsi yako mwache aende hakupendi hakujali hakuthamini hajui maumivu yako mahali fulani mtu fulani anakusubiri atakusahaulisha yote hayo na utashangaa alikuwa wp siku zote

Asante mkuu..
 
Kwa maneno rahisi, haumvutii tena.
Aisee, mpaka unaruhusu akufanyie yote hayo ina maana umeshindwa kusoma alama za nyakati.
Wakati wa usichana tulikuwa tunafundana jinsi ya kuona dalili hovyo, kiasi kwamba unamuacha kabla hajakuacha; it is good for your esteem na maumivu sio mengi.

Kweli kabisaa.... Kusoma alama za nyakati muhimu..!
 
Nachojua hizo ni dalili za kuchokwa..hata ukajisugua na mchanga mwanaume akikuchoka habadiliki...be real woman to avoid drama
 
Mnunulie gari nakutania
Mchunie kwa muda anzisha urafiki wa kawaida Na Wa Karibu lkn sio Wa kimapenzi ila yeye ajue urafiki wenu.
Pendeza na jirekebishe madhaifu yako. Tengeneza wivu atarudi tu
 
hayo yote yanafanywa lakini bado naonekana sipo hot..

Si basi you bounce!

Is it just me nakosaga muda wa kujiuliza uliza maswali kwenye relationship?

Dude, if you think there is something wrong with me and you don't spell it out then am out.
 
Tatizo madem wengi mnajiamini sana kupita kiac haswa ktk suala la usafi,mkishaona mmezoeana na wapenz wenu bac mnbweteka.Wengi mnaoga kutwa mara1 haswa kwa wale house wives(ambao mnashinda home),na wengine huwa wanaoga asubuhi na mchana,wanajisahau na kibarid cha ucku hatimae wanakuwa kero kwa waume zao au maboy zao
 
Mmh jamani mimi sitaki kujitetea ila kiukweli sikufanya hivyo
 
Si basi you bounce!

Is it just me nakosaga muda wa kujiuliza uliza maswali kwenye relationship?

Dude, if you think there is something wrong with me and you don't spell it out then am out.

Oooh that great .. me nashindwa mpenzi
 
Mnunulie gari nakutania
Mchunie kwa muda anzisha urafiki wa kawaida Na Wa Karibu lkn sio Wa kimapenzi ila yeye ajue urafiki wenu.
Pendeza na jirekebishe madhaifu yako. Tengeneza wivu atarudi tu

Mmh kurudi huyu mngoni amentesa sitaki arudi ila nataka kujifunza where i did wrong? Ndo maana. Nikataka mnifunze
 
dada, huyo si wako,tafuta mwingine. hayo yote ni kukuvuruga ili uonekane as if humjali. tafakari, chukua hatua
 
Nachojua hizo ni dalili za kuchokwa..hata ukajisugua na mchanga mwanaume akikuchoka habadiliki...be real woman to avoid drama

Okey mamy nimesha achwa i need to learn more na kujirekebisha..... okey i will avoid for the coming one
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom