Tena haoni hasaaa acheka wa mwenzie
calm down caller....kugegedana kabla ya ndoa ni kosa pande zote mbili. mwanamke ndio mwenye last say jamani katika kugegedana mbona mie nilikuombaga papuchi ukaninyima....sasa tatizo lipo wapi mwanamke kukataa kuvua chupi.
sasa wewe kama unapata mwanaume amabye haudumii sii kosa lako wewe mwenyewe...kama umekaa ki hasara hasara utagegedwa na hakuna huduma.
habari wanajf..
kichwa cha habari cha jieleza .... leo nataka kuwakumbusha ninyi wanaume wa dot.com na wazamani msiojitambua bado na kulalama lalama tu... unakuta mwanaume amakeaa kabisa unapigia bajeti mfuko wa mpenzio au mkeo wewe huna akili... wanawake tunamajukumu yetu kubeba mimba na kulea familia ....we take a lot of risk during this time sema amuelewi tu......alafu mwanaume unalalamika. kama ni kusaidiana mbebe mimba na ninyi, na mlee familia siye tukasake chapa.........wanawake tumetoka kwenda kuanza kufanya kazi kwa sababu ya mambo matatu:
kwa hiyo kutokana na hayo mambo matatu ndipo vibinti na wamama tukaamua kutafuta riziki tusije kufa na wenetu mgongoni.....ila kubwa lilipelekea kuanza kutoka ni hilo la kwanza wanaume kutojitambua...... mwanaume unashinda bar unalewa unajiloweka kwenye papuchi tu jumatatu mpaka jumatatu alafu unakaa unasema mwanamke asiyefanya kazi ni mzigo huna adabu wala heshina na HAUSTAHILI KUITWA MWANAUME kabisa.....
- wanaume kutokujielewa na kusahahu majukumu yao.
- upendo
- hali ya uchumi.
mwanume mwingine lege lege tu ndiyo maana now days mnaliwa tigo tu na wanaojitambua.... acheni kulalama fanyeni kazi.. huwa napata hasira sana kuona jianaume linalalamika kumuhudumia mkewe, ulitongoza ya nini?
mwanaume anayejielewa he can stand by him self..... lakini si unakikazi cha laki 3 kinyumba cha room tatu na bahati kigari umerelax unashinda bar alafu hapo hapo unategemea hela ya mwanamke.....
sikatai wanawake kufanya kazi, ila pia napinga upuuzi wa wanaume kukaa na kulalama kabisa wanapohudumia wake zao au wapenzi wao.... unatongoza ya nini kama wewe mwenyewe kujihudumia huwezi?????? unaongeza mtu mwingine tena kwa kumwomba na kumpigia misele alafu uje ulalame hapa.....babu ee ukitongoza jiandae kwa majukumu mengine........
ninaaga wazazi ndugu nakuja kwako wakati mwingine natoroka alafu nakuja ili utumie pesa yangu mfyuuuu koma kabisa mwanaume amka ... mwanaume si kujua kitundu cha papuchi bali mwanaume ni MAJUKUMU....
Weekend njema >........ ujumbe wa leo "TONGOZA UKIJUA KUNAKUHUDUMIA"
it matters...sifa namba moja ya kuitwa mke ni kwamba yule anaye kuoa akukte wewe bado bikra. sasa wewe tayari used product tayari umeshuka thamani, huwezi ata siku moja kusema kuwa mwanamke anayeolewa akiwa bikra ni sema value kama ambaye tayari kashagegedwa. kuwa bikra kuonyesha huyo mtu anajithamini sana na kwamba na mvumilivu.
ni kweli mwanaume lazima ahudumie but in return anategemea kupata that gift ya virginity. its a give and take. sasa wewe the very gift ambayo alikuwa anaitegemea umegawa then obviously thamani yako imeshuka. lazima tujifunze kuishi na madhara ya uchaguzi wetu.
Kiko wapi sasa? si nilikuambia njoo kwangu ukakataa, ukome!
They say the definition of altitude / and being adult is responsibility
Let me ask u what's yo responsibilities?
na ambaye hajaolewa asifanye kazi? Haki sawa mmezitaka wenyewe, mkipewa majukumu mnalia. Wala usizungumze mwanaume kusaidia mimba kwani halipo hilo.
Miss chagga, niruhusu nieleze machache:
1. Mahusiano yamewekwa kwa ajili ya kuongeza furaha kwa wote wawili that is nature and its Godly. Yeyote anayeingia kwenye mahusiano anatambua kuwa wajibu wake ni kumletea mwenza wake furaha, hilo la kwanza na wapili kadhalika anapaswa alitambue hilo. Swala hapa mtu unaopoingia kwenye mahusiano na mtu halafu unakuwa ni sababu ya stress, je ni ukweli unajua nini maana ya mahusiano?
2. Kutaka kuhudumiwa, wanawake muwe mnajua mwanaume kipato chake kikoje, maana huwa mnataka kupata blood from stone. Mahitaji yako yasizidi 30 percent ya kipato chake. Muwe considerate na sio selfish. Kama kipato chake ni elfu 300 kwa mwezi usizidi 90 elfu katika mahitaji yako. Kama unataka malaki kutoka kwake humfai nenda kwa wenye nacho. Mnalazimisha visivyowezekana eti wanaume wote wafanane kipato. Kweli itatokea?
3. Punguzeni mahitaja kutegemeana na kipato. Why don't u postpone some items untill financial condition stabilizes. Muwe waelewa.
4. Kama unacho ukahudumia hata mmeo utameguka sehemu? Wanawake mnakuwa selfish sana, sifa ambayo prospective mother hapaswi kuwa nayo. Badilikeni mungali wabichi, mmepewa vipato ili pesa itumike. Si ndo mantiki ya pesa.
Aione masai dada.
1.Kulea na kutunza familia yetu
2. Kukuza/kuongeza kipato cha familia
3.Chakula na mavazi kwa familia
4.Elimu n.k
Nimeanza kumuelewa aliyeanzisha uzi kuwa JF MMU ni bad influence....
Yamekukuta nini?
hivi mwanaume anaemkula mwanaume mwenzie tigo ni mwanaume anaejitambua? usipromote ushoga bhana.. umeongea vema ila hapo nakukosoa.
Kubeba mimba na kulea familia