Miss chagga, niruhusu nieleze machache:
1. Mahusiano yamewekwa kwa ajili ya kuongeza furaha kwa wote wawili that is nature and its Godly. Yeyote anayeingia kwenye mahusiano anatambua kuwa wajibu wake ni kumletea mwenza wake furaha, hilo la kwanza na wapili kadhalika anapaswa alitambue hilo. Swala hapa mtu unaopoingia kwenye mahusiano na mtu halafu unakuwa ni sababu ya stress, je ni ukweli unajua nini maana ya mahusiano?
2. Kutaka kuhudumiwa, wanawake muwe mnajua mwanaume kipato chake kikoje, maana huwa mnataka kupata blood from stone. Mahitaji yako yasizidi 30 percent ya kipato chake. Muwe considerate na sio selfish. Kama kipato chake ni elfu 300 kwa mwezi usizidi 90 elfu katika mahitaji yako. Kama unataka malaki kutoka kwake humfai nenda kwa wenye nacho. Mnalazimisha visivyowezekana eti wanaume wote wafanane kipato. Kweli itatokea?
3. Punguzeni mahitaja kutegemeana na kipato. Why don't u postpone some items untill financial condition stabilizes. Muwe waelewa.
4. Kama unacho ukahudumia hata mmeo utameguka sehemu? Wanawake mnakuwa selfish sana, sifa ambayo prospective mother hapaswi kuwa nayo. Badilikeni mungali wabichi, mmepewa vipato ili pesa itumike. Si ndo mantiki ya pesa.
Aione masai dada.