Wanaume amkeni acheni kulalama

Wanaume amkeni acheni kulalama

mie nilipompiga kibuti my hubby yangu watu wakachongaaa.....IT IS VERY STRESSFUL KUISHI NA MWANAUME TEGEMEZI! aku babu mie siyo shangazi yake, to ze left!

mwanaume wahivo wanini????? tupa kuleeeeeee
 
japo hiyo point inatu-defeat kwakwel but Broo hivo vya bikra vilikua zamani hop u know society is dynamic as it keeps on changing jamii za sasa si za zamani and we need to cope with those changes.....na ndiomana sidhani kama mwanaume anapotongoza anauliza eti WEWE NI BIKRA??????????? NOOP!!!

morals will remain morals. sasa kama wewe unataka kujustify kugegedwa kwako kwa kusema kuwa society is dynamic then u are terribly wrong. na it is becoz of hiyo kugegedana kabla ya ndoa ndio matatizo yote ya mahusiano yamejitokeza. wewe gegedana ila dnt justify it. moraly ni wrong kugegdana kabla ya ndoa na consequences zake tunaziona
 
morals will remain morals because they are morals and its essence is morals,,,,,ni mwanamke tu asiyeruhusiwa na mwanaume yeye anaruhusiwa ama??? if it's a matter of moral that good must be done n evil must be avoided....or the so called good and bad or right and wrong.....so for men to gegeda before marriage is it gudooooo??/moral??????????????!!!"""""" eeeh!!!!! is it gudooooooo....????????????!!!!!!!!!!!! tumekutana wote vigego mtu nakupikia nakutengea nakufulia nakuzalia nakunyonyesha heeeeeeeeee!!!!! hapo limtu linaeza ona chakula mezani kila kitu kipo but mpaka mama nanihii aje ampakulie eboooooooh hata kuhudumia hutaki.......mnakeraaaaaaaa
 
Huyo mwanaume atakaye kaa anapigia bajeti hela yangu atakuwa amechemsha. Ajiandae kulala na njaa.

Hakuna msaafu wala bibilia inayosema mwanamke atamlea mwanaume.
Ujumbe umefika, nafikiri kila mmoja ataanza kujitathimini.
Na wanawake muache kubeba majukumu yasiyokuwa yenu. Mungu aligawa majukumu, simama kwenye nafasi yako.
 
morals will remain morals because they are morals and its essence is morals,,,,,ni mwanamke tu asiyeruhusiwa na mwanaume yeye anaruhusiwa ama??? if it's a matter of moral that good must be done n evil must be avoided....or the so called good and bad or right and wrong.....so for men to gegeda before marriage is it gudooooo??/moral??????????????!!!"""""" eeeh!!!!! is it gudooooooo....????????????!!!!!!!!!!!! tumekutana wote vigego mtu nakupikia nakutengea nakufulia nakuzalia nakunyonyesha heeeeeeeeee!!!!! hapo limtu linaeza ona chakula mezani kila kitu kipo but mpaka mama nanihii aje ampakulie eboooooooh hata kuhudumia hutaki.......mnakeraaaaaaaa

calm down caller....kugegedana kabla ya ndoa ni kosa pande zote mbili. mwanamke ndio mwenye last say jamani katika kugegedana mbona mie nilikuombaga papuchi ukaninyima....sasa tatizo lipo wapi mwanamke kukataa kuvua chupi.
sasa wewe kama unapata mwanaume amabye haudumii sii kosa lako wewe mwenyewe...kama umekaa ki hasara hasara utagegedwa na hakuna huduma.
 
then whats the blame for.!!
Kama mnao kelele daily hapa zinatoka wapi?

Mtu akitoka pumuliwa huko asipopewa hela, fasta anakuja na li uzi.'WANAUME HAMNA HELA' MABOYA, WANALIALIA.,'

PUNK.

Kuna vichwa panzi wachache wasiojua majukumu yao so kulalamika lazima....... na bado more uzi to come khs hayo MABOYA
 
Nashindwa kuelewa...na nikiona wanaoelewa ni wengi ndio nashindwa kuelewa kabisa...ni mkumbo au for real? Je wenye akili za kushikiwa kama wanasoma humu inakuwaje?

Mtu mfano unajisifu kuwa unamkopa mkeo ela...serious? Sasa kwenye ndoa yenu mnacho share ni kitanda tu? eti mke wangu ela yake simuulizi...ungekuwa na jeuri basi ungemwachisha kazi ujue moja awe real wife kama definition ya vitabu vya dini...

Ndio maana wanaume wengi these days wanakufa below 50 kwa kujitutumua huku hamna kitu...

wanawake wa kiafrika siku mkiacha kumuona mwanaume kama mtu pekee anayeweza ingiza pesa labda mtabadilika..
Siamini unakuja humu na lawama ati mnatongozwa ili mpewe hela, tofauti na malaya anayejiuza mtaani ni kua yeye anafanya direct afu wewe indirect... lakini wote walewale tu....
Stop acting stupid! mwanamke mwenye mawazo yako ntachezea tu ila siwezi weka ndani, ntakugeuza malaya ambaye nakula mzigo kwa kumlipa vijipesa na vizawadi vidogo vidogo maana ndo level uliyojiweka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom