Wanaume amkeni acheni kulalama

Wanaume amkeni acheni kulalama

Kubeba mimba na kulea familia

Do u do transplanting au unasex na huyo mwanaume wako kupata hyo mimba?
Ukipata jibu la hili swali u can see how selfish u r
N that's is what makes women Inferior always
Stop being weak n do something we as men always will respect independent women n not loosers like this
 
Miss chagga, niruhusu nieleze machache:
1. Mahusiano yamewekwa kwa ajili ya kuongeza furaha kwa wote wawili that is nature and its Godly. Yeyote anayeingia kwenye mahusiano anatambua kuwa wajibu wake ni kumletea mwenza wake furaha, hilo la kwanza na wapili kadhalika anapaswa alitambue hilo. Swala hapa mtu unaopoingia kwenye mahusiano na mtu halafu unakuwa ni sababu ya stress, je ni ukweli unajua nini maana ya mahusiano?
2. Kutaka kuhudumiwa, wanawake muwe mnajua mwanaume kipato chake kikoje, maana huwa mnataka kupata blood from stone. Mahitaji yako yasizidi 30 percent ya kipato chake. Muwe considerate na sio selfish. Kama kipato chake ni elfu 300 kwa mwezi usizidi 90 elfu katika mahitaji yako. Kama unataka malaki kutoka kwake humfai nenda kwa wenye nacho. Mnalazimisha visivyowezekana eti wanaume wote wafanane kipato. Kweli itatokea?
3. Punguzeni mahitaja kutegemeana na kipato. Why don't u postpone some items untill financial condition stabilizes. Muwe waelewa.
4. Kama unacho ukahudumia hata mmeo utameguka sehemu? Wanawake mnakuwa selfish sana, sifa ambayo prospective mother hapaswi kuwa nayo. Badilikeni mungali wabichi, mmepewa vipato ili pesa itumike. Si ndo mantiki ya pesa.
Aione masai dada.

Simply brilliant
 
Huyo mwanaume atakaye kaa anapigia bajeti hela yangu atakuwa amechemsha. Ajiandae kulala na njaa.

Hakuna msaafu wala bibilia inayosema mwanamke atamlea mwanaume.
Ujumbe umefika, nafikiri kila mmoja ataanza kujitathimini.
Na wanawake muache kubeba majukumu yasiyokuwa yenu. Mungu aligawa majukumu, simama kwenye nafasi yako.

Duuu huyo mungu anavyotumika vibaya duuu
Anyway kila la kheri
 
japo hiyo point inatu-defeat kwakwel but Broo hivo vya bikra vilikua zamani hop u know society is dynamic as it keeps on changing jamii za sasa si za zamani and we need to cope with those changes.....na ndiomana sidhani kama mwanaume anapotongoza anauliza eti WEWE NI BIKRA??????????? NOOP!!!

If u admit kwamba the society is dynamic and we need to cope with those changes mbn u stick /u still rigid kwenye majukumu ya familia kwamba only mwanaume atoe pesa?
Ushauri Wa bure guys jiongezeni uwezo Wa kufikiria haya maisha ya kuendesha mahusiano yenu kama Fulani anavyoendesha duuu
 
binafsi sina tatizo na kulea mwanamke, SINA! NIMEKUOWA, ndiyo ndoa zetu waafrika zilivyo, tofauti na wenzetu wanaowana, hivyo basi nina wajibu juu yako kwa kila kitu. Kama ni mwajiriwa usitegemee nitakuuliza pesa yako unafanyia nini, na kusema kweli sipendi mwanamke ajumlishe kijisenti chake kwangu na baadaye ajifanye ana mchango kwenye maendeleo yangu, nilishajifunza kwa hilo asahau, wewe chukua mshahara wako kakope mkokoteni chenji inayobaki weka petroli, hesabu ya chakula na matumizi yote nyumbani niachie mimi, hesabu ya mawazi ya familia niachie mimi, sina neno na mwanamke wa namna hiyo, KIKUBWA niachie vyangu, ziada ninayowekeza mimi haikuhusu hata punje, kama unataka kupata gawio la faida tungefanya kazi kama kampuni na ukawekeza mtaji, otherwise sahau kabsaa. Maisha ya siku hizi ni tofauti kabisa na ya zamani, mwanamke si nduguyo na hauna ukoo naye, ishi naye kwa uangalifu sana, wewe unafukuzana na pesa yeye daima anafukuzana na wewe, jiongeze. Mimi nimekaza pumb.u wewe vijisenti vyako umeenda kusukia, mwisho wa siku unaona mambo yako vizuri unaanza visa ili tuachane upate gawio, utashangaa sana kukuta assets zote unazozijua wewe zote nimezikopea. Hakika wapo wanawake wenye kupenda maisha ya kijamaa, lakini kuwa mwangalifu ni wachache sana, wengi wao ni vibaka tu, hasa wa mgombani...ogopa!
 
miss chagga, lete uzi unaowafundisha wanawake kuwa wakarimu, waelewa na kina mama wazuri na sio vinginevyo.
 
We jamaa mungu akubariki sana
Nimependa upeo wako mkuu I have to admit that aisee
They Take t o leave t
 
hizi ndoa ndugu yangu ni kuwa mwangalifu, ujue aina ya mwanamke unayemuowa nauweke misingi toka mwanzo, wengi hawajali chochote kuhusu wewe, anaona anavyokuchanulia miguu ni kama anakupa msaada, haoni kwamba ni jembo la heshima lenye kuunganisha watu wawili kwa ukaribu usio mithirika, wengi wako pale kwa ajili ya kupata unafuu wa maisha na si kutengeneza maisha kwa ushirikiano, ndiyo maana kesi na minong'ono ya fulani kamuuwa mumewe, fulani anaomba talaka haihesabiki mtaani, kuna wanawake wanapenda kushuka mteremko bila kupanda mlima!
 
Kuhudumia mke ni jukumu la mume, awe ana uwezo mkubwa au mdogo. Hata vitabu vya Mungu vinasema hivyo. Mke azae kwa uchungu na mume ale kwa jasho. Lakini miss chagga, je mwanaume kuhudumia mtu asiye na future nae ni kosa la nani?

We always pay for our mistakes, na nyie wadada jaribuni kuwaasa vidume wenu wawekeze badala ya kuwahonga, unategemea kijana aliyemaliza chuo, anaanza na mshahara wa 300K na ndio kipato pekee cha mwezi, aje kukuhudumia vizuri baadae kama wewe ndio wa kwanza kuchukua 60% ya kipato chake leo? Msilalamike kuwa vijana hawawahudumii, wahimizeni wawekeze ili waweze kuzihudumia familia zao baadae.

Mtu ambae sio mke wangu, sina jukumu lolote nae, yuko chini ya wazazi/walezi wake. Pesa yangu ni kwa ajili ya kujiendeleza, kuwekeza ili kuitunza familia yangu baadae...!

Boss, you are too smart!!!
 
Last edited by a moderator:
binafsi sina tatizo na kulea mwanamke, SINA! NIMEKUOWA, ndiyo ndoa zetu waafrika zilivyo, tofauti na wenzetu wanaowana, hivyo basi nina wajibu juu yako kwa kila kitu. Kama ni mwajiriwa usitegemee nitakuuliza pesa yako unafanyia nini, na kusema kweli sipendi mwanamke ajumlishe kijisenti chake kwangu na baadaye ajifanye ana mchango kwenye maendeleo yangu, nilishajifunza kwa hilo asahau, wewe chukua mshahara wako kakope mkokoteni chenji inayobaki weka petroli, hesabu ya chakula na matumizi yote nyumbani niachie mimi, hesabu ya mawazi ya familia niachie mimi, sina neno na mwanamke wa namna hiyo, KIKUBWA niachie vyangu, ziada ninayowekeza mimi haikuhusu hata punje, kama unataka kupata gawio la faida tungefanya kazi kama kampuni na ukawekeza mtaji, otherwise sahau kabsaa. Maisha ya siku hizi ni tofauti kabisa na ya zamani, mwanamke si nduguyo na hauna ukoo naye, ishi naye kwa uangalifu sana, wewe unafukuzana na pesa yeye daima anafukuzana na wewe, jiongeze. Mimi nimekaza pumb.u wewe vijisenti vyako umeenda kusukia, mwisho wa siku unaona mambo yako vizuri unaanza visa ili tuachane upate gawio, utashangaa sana kukuta assets zote unazozijua wewe zote nimezikopea. Hakika wapo wanawake wenye kupenda maisha ya kijamaa, lakini kuwa mwangalifu ni wachache sana, wengi wao ni vibaka tu, hasa wa mgombani...ogopa!

Kaka nimeipenda point ---- uko vizuri uko wapi tunywe kidogo leo everything on me you are very reasonable
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom