miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #161
Njoo kwang nikuhudumie.!
Asante kaka am coming
Njoo kwang nikuhudumie.!
Kutongoza ni kazi yangu na majukumu yangu nitaitekeleza tu, ila kusaidiana ni sehemu ya maisha.habari wanajf..
kichwa cha habari cha jieleza .... leo nataka kuwakumbusha ninyi wanaume wa dot.com na wazamani msiojitambua bado na kulalama lalama tu... unakuta mwanaume amakeaa kabisa unapigia bajeti mfuko wa mpenzio au mkeo wewe huna akili... wanawake tunamajukumu yetu kubeba mimba na kulea familia ....we take a lot of risk during this time sema amuelewi tu......alafu mwanaume unalalamika. kama ni kusaidiana mbebe mimba na ninyi, na mlee familia siye tukasake chapa.........wanawake tumetoka kwenda kuanza kufanya kazi kwa sababu ya mambo matatu:
kwa hiyo kutokana na hayo mambo matatu ndipo vibinti na wamama tukaamua kutafuta riziki tusije kufa na wenetu mgongoni.....ila kubwa lilipelekea kuanza kutoka ni hilo la kwanza wanaume kutojitambua...... mwanaume unashinda bar unalewa unajiloweka kwenye papuchi tu jumatatu mpaka jumatatu alafu unakaa unasema mwanamke asiyefanya kazi ni mzigo huna adabu wala heshina na HAUSTAHILI KUITWA MWANAUME kabisa.....
- wanaume kutokujielewa na kusahahu majukumu yao.
- upendo
- hali ya uchumi.
mwanume mwingine lege lege tu ndiyo maana now days mnaliwa tigo tu na wanaojitambua.... acheni kulalama fanyeni kazi.. huwa napata hasira sana kuona jianaume linalalamika kumuhudumia mkewe, ulitongoza ya nini?
mwanaume anayejielewa he can stand by him self..... lakini si unakikazi cha laki 3 kinyumba cha room tatu na bahati kigari umerelax unashinda bar alafu hapo hapo unategemea hela ya mwanamke.....
sikatai wanawake kufanya kazi, ila pia napinga upuuzi wa wanaume kukaa na kulalama kabisa wanapohudumia wake zao au wapenzi wao.... unatongoza ya nini kama wewe mwenyewe kujihudumia huwezi?????? unaongeza mtu mwingine tena kwa kumwomba na kumpigia misele alafu uje ulalame hapa.....babu ee ukitongoza jiandae kwa majukumu mengine........
ninaaga wazazi ndugu nakuja kwako wakati mwingine natoroka alafu nakuja ili utumie pesa yangu mfyuuuu koma kabisa mwanaume amka ... mwanaume si kujua kitundu cha papuchi bali mwanaume ni MAJUKUMU....
Weekend njema >........ ujumbe wa leo "TONGOZA UKIJUA KUNAKUHUDUMIA"
sijui nikujibu au nimwachie huyo huyo mwenyewe akujibu
ila nina hamu ya kukujibu miss chagga unaniruhusu nimjibu huyu
fafanua hiyo nyanja zote ,..... kabla sijakuambia kituKutongoza ni kazi yangu na majukumu yangu nitaitekeleza tu, ila kusaidiana ni sehemu ya maisha.
Lazima tushirikiane katika nyanja zote kwa mustakabali wetu.
Wanaume tuamke, kutimiza majukumu yetu ni wajibu na sio ombi
atakaye like huu uzi nitamshangaa sana!!! yaani huyu miss chagga haelewi kabisa:
1.papuchi siyo dili siku hizi zinapugua ladha siku hadi siku!
2.unapotoroka kwenu kuja kwangu wewe ndo ----- siyo mimi...
3.kuzaa kwa uchungu siku hizi hatutaki watoto wanakuwa mapanya road tu!
4.nakushangaa kipindi sijakutongoza ulikuwa unaishi vizuri kwenu na unahudumiwa kila kitu nilivyokutongoza mimi basi shida zote unanishushia mimi kisa nakutia tu!!! acheni hizo mtu anapokuhudumia shukuru ilibidi akuhudumie akikuoa!!!
5.kwa mlioolewa poleni sana yaani ukweli huwa tunakinai na papuchi aina moja ndo maana mtu anashinda bar coz haoni tena ladha imetanuka sana mpaka uingize gegedo na mkono mmoja sasa ya nini yote hayo!!!
haya majibu yanajitosheleza sana.miss chaga uwe unayapitia mara kwa mara hutolalamika tena
Its impossible..
yeah....because the so called nature is related to God.....so God is unchangeable and u cant change nature....
wewe ile mere fact kwamba nimemkuta sio bikra tells me alot about her character...one thing is for sure she is not patient enough na yeye kugongwa na watu wengine ni posible 99.99%.
usipojitambua na ukiwa baba wa familia ni janga ....
japo hiyo point inatu-defeat kwakwel but Broo hivo vya bikra vilikua zamani hop u know society is dynamic as it keeps on changing jamii za sasa si za zamani and we need to cope with those changes.....na ndiomana sidhani kama mwanaume anapotongoza anauliza eti WEWE NI BIKRA??????????? NOOP!!!
usipojitambua na ukiwa baba wa familia ni janga ....