miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,987
- Thread starter
- #241
binafsi sina tatizo na kulea mwanamke, SINA! NIMEKUOWA, ndiyo ndoa zetu waafrika zilivyo, tofauti na wenzetu wanaowana, hivyo basi nina wajibu juu yako kwa kila kitu. Kama ni mwajiriwa usitegemee nitakuuliza pesa yako unafanyia nini, na kusema kweli sipendi mwanamke ajumlishe kijisenti chake kwangu na baadaye ajifanye ana mchango kwenye maendeleo yangu, nilishajifunza kwa hilo asahau, wewe chukua mshahara wako kakope mkokoteni chenji inayobaki weka petroli, hesabu ya chakula na matumizi yote nyumbani niachie mimi, hesabu ya mawazi ya familia niachie mimi, sina neno na mwanamke wa namna hiyo, KIKUBWA niachie vyangu, ziada ninayowekeza mimi haikuhusu hata punje, kama unataka kupata gawio la faida tungefanya kazi kama kampuni na ukawekeza mtaji, otherwise sahau kabsaa. Maisha ya siku hizi ni tofauti kabisa na ya zamani, mwanamke si nduguyo na hauna ukoo naye, ishi naye kwa uangalifu sana, wewe unafukuzana na pesa yeye daima anafukuzana na wewe, jiongeze. Mimi nimekaza pumb.u wewe vijisenti vyako umeenda kusukia, mwisho wa siku unaona mambo yako vizuri unaanza visa ili tuachane upate gawio, utashangaa sana kukuta assets zote unazozijua wewe zote nimezikopea. Hakika wapo wanawake wenye kupenda maisha ya kijamaa, lakini kuwa mwangalifu ni wachache sana, wengi wao ni vibaka tu, hasa wa mgombani...ogopa!
Ha ha ha ha migombani