Wanaume ambao hawatumii pombe

Ewaaaaa.... sasa umeanza kuongea kiutu uzima.

Afu kwanini unajiita "my hubby". Unataka kuoa dada zako?? Tabia gani hiyo?

mmmh ntawaoa Tu maana mmeshindwa kazi nyie
 

Pia ungeanza wewe kutueleza ulipokuwa na mlevi ilikuwaje na ulipokuwa na mzima ilikuwaje.kwa faida tu walevi mechi kwao ngumu wasio walevi wanamudu mechi
 
Yaani nikiwaza kumkisi mtu alokunywa pombe huwa naskia kinyaa Na mara nyingi naishia kumpotezea tho roho inauma maana unakuta mwingine yuko ndani ya sifa zinazonilipua moyo. Sijui hili tatizo ni langu tuu? Yaani harufu ya pombe inanifanya niteme ovyo.
 
mi sinywi na sio muhanga wa wanawake , ni mtu na mtu mkuu
 

hata kwenye party mtu kanywa anakuja kukunong'oneza weeeee unaweza piga chafya,wanaokunywa wine Ni wachache hazina harufu mbaya
 
duh asee Mimi pombe imekua ibilis kwangu maana hua naeza kutana na demu tu nkampa bia 2 nikaishia kugongana NGOZ nikiamka hua najuta kishenz maana najikuta nilisahau ndom na nikiwa kawaida hua nawadharau sana wadada
 
duh asee Mimi pombe imekua ibilis kwangu maana hua naeza kutana na demu tu nkampa bia 2 nikaishia kugongana NGOZ nikiamka hua najuta kishenz maana najikuta nilisahau ndom na nikiwa kawaida hua nawadharau sana wadada
Pole sana mkuu,ukapime kwanza afya na ukikuta huna HIV basi kuwa makini sana na ikiwezekana oa kabisa utulie na mmoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…