Wanaume 2,000 Dar Wamezikimbia Ndoa Zao

Wanaume 2,000 Dar Wamezikimbia Ndoa Zao

Mbeleni huko kutakuwa na masingle babu na masingle bibi wa kutosha, angalau wanawake wao Wana faida, watahudumiwa na watoto wao. KWA mwanaume ni hatari nusu hatari kuwa single babu huku pesa huna, wale watoto watabase kwa mama zao
 
Ndo utafute hela sasa acha kulia lia
 
Ukichunguza kwa makini utagundua ni wale walioana chapchap bila kukaa kwenye uchumba kwa mda mrefu. Nawashauri wanaotaka kuoa au kuolewa kuwa wachukuwe mda mrefu wa uchumba ili wachunguzane.
 
Ha
Ukichunguza kwa makini utagundua ni wale walioana chapchap bila kukaa kwenye uchumba kwa mda mrefu. Nawashauri wanaotaka kuoa au kuolewa kuwa wachukuwe mda mrefu wa uchumba ili wachunguzane.
Haina formula hata walioishi uchumba sugu miaka walipopata tu cheti cha ndoa ndipo kesi zilipoanza
 
😀Ni majanga shida ni nn wanaume sio wavumilivu au ni nn
Huku mtaani napokaa ni shida, nimefanya utafiti usio rasmi, kati ya wanaume 10 waliooa, wanaume 8 wanalalamika kuhusu wake zao, mke wangu ana tabia hii mbaya, mke wangu ana tabia ile mbaya, sijui shida iko kwa wanaume, au iko kwa hao wake zao, au kwa wote sophy27
 
Hello

Hali si Hali huko kwenye taasisi ya ndoa.

Dar pekee Wanaume 2,000 wamekimbia ndoa baada ya kuonja joto lake so wame graduate kuwa mabachela Sugu.

Kama trend ndio hiyo na Talaka Kila siku watu wanaomba unadhani nini kifanyike Kuokoa ndoa?

Tuendako kutakuwa na ndoa za mikataba

Washafika kwakooo??
 
monkey-eating-banana.gif
 
Mbeleni huko kutakuwa na masingle babu na masingle bibi wa kutosha, angalau wanawake wao Wana faida, watahudumiwa na watoto wao. KWA mwanaume ni hatari nusu hatari kuwa single babu huku pesa huna, wale watoto watabase kwa mama zao
Watoto gani, hawa viduku?!
 
Shetani kawajaza viburi wanawake kawaondolea roho ya utii, kawapa kiburi cha Lilith mke wa kwanza wa Adamu. Wanawake Wanataka kukiuka kanuni ya asili ya mwanaume ni kichwa, kifuatacho ni usingle mama .
Lilith anazungumza na wanawake kiroho saa hii kwa namna ile ile aliongea na Eva pale Eden. Tunambiwa yule alikuwa nyoka, ila does it make any sense kuwa nyoka amshawishi binadamu kula tunda alilokatazwa na MUNGU?
It was Lilith and now she is back to drag the daughter's of Eve to darkness with her.
 
Huku mtaani napokaa ni shida, nimefanya utafiti usio rasmi, kati ya wanaume 10 waliooa, wanaume 8 wanalalamika kuhusu wake zao, mke wangu ana tabia hii mbaya, mke wangu ana tabia ile mbaya, sijui shida iko kwa wanaume, au iko kwa hao wake zao, au kwa wote sophy27
Ndoa ngumu aisee Inahitaji mwanaume ujue nn unatak na mwanamke ajue mipakayake
Mm pia nimeonawatu wengi wakizungumzia vibaya ndoa hasa marafiki ndo kabisa sijawahi sikia anaesema anaishi vizuri na mumew isipokuwa mmoja tu naona wote Kuna kitu hakipo sawa Kwa mwanamke na mwanaume lakin yote kwa yote nilichogundua
Kila mtu anamapungufu nafikir wanaodumu ni kwakuwa wanaelewa na kuvumilia mapungufu ya wenzawao wanarekebisha sana na hawachoki mara Kwa mara kufanya hivo wengine tuendelee kusubiri akili zitulie maana ndoa ni kwaajili ya wenye akili
 
Huku mtaani napokaa ni shida, nimefanya utafiti usio rasmi, kati ya wanaume 10 waliooa, wanaume 8 wanalalamika kuhusu wake zao, mke wangu ana tabia hii mbaya, mke wangu ana tabia ile mbaya, sijui shida iko kwa wanaume, au iko kwa hao wake zao, au kwa wote sophy27
Rafikiyangu wa kwanza baada kumaliza 4m 4 akaolewa ndoa yake ilidumu miaka 4
mwingine ikadum miaka 6 na watoto wanao
Mwingine Ina mwaka tayari wanadaiana talaka ila Kuna mwingine Ina miaka minneNa watoto 2 Yani ni full happy na wanapendana sana yaani utasema wameoana Jana Wanashirikiana Kwa kilakitu
Huyu wa mwisho nilimuuliza mamboyapoje mbona sio kama wengine na 😂😂ila mm mmbea sana

Ankowangu alomfata mama Ina miaka 24na watoto 3 hii hapa hii from 0 to hero Yani wanakaa nyumba ya kupanga kimoja had sahiz ankowangu anamiliki maduka ya kutosha anahela yaani anaishi
Ankowangu mwingine Ina miaka 23 na watoto 4 ni hii aunt kavumilia sana yaani ni jembe hasa had now wanaishi pamoja na maishayao sio mabaya
 
Back
Top Bottom