jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,687
- 12,177
Mashangazi washajua haki zao huwaambii kitu
😥😥Kwa hyo ndoa ndo ipeleke kifo chako kisa asili ya wanawake wa huko Wana tamaa ya Mali.Narudia sioni tatizo lolote.
Ukanda wa kaskazin,Kenya hadi ziwa mkoa wa Mara ni hatari sana KWA maisha ya mwanaume.
🤔Kama inaingia akili hivi.Watu warejee ile ya zamani ya kutafutiwa mke au mme na ndugu haya hayakuwepo. Huwezi jua tabia ya mtu hadi uishi nae. Ndugu walijua tabia ya mtu kabla ujaishi nae, so hawawezi kukuletea mke / mme garasa au jokeri.
Ndoa ni jambo la hiari unaweza kuingia na kutoka muda wowote. Acheni kujiendekeza, unasubiri ndugu na serikali ikitokea kwenye ndoa inayoleta kifo?😥😥Kwa hyo ndoa ndo ipeleke kifo chako kisa asili ya wanawake wa huko Wana tamaa ya Mali.
😆Utaambiwa wee [emoji304] sasa hvi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma Isaya 4:1 kisha urudi tena kuandika...Dunia imepoteza wanaume, na haya ndio matokeo yake.
Hiki ndio kinachofuatia...🏃🏃♀️
Wanakwambia kama mwanamume KICHWA basi wao SHINGONdoa ni utii, wanawake wamekataa utii wanakiuka kanuni ya asili.
Gari haiwezi kwenda kwa wajuaji wawili kukaa siri ya mbele.
Walipoanza kuvaa tu suruari wakajiona sawa.Wanakwambia kama mwanamume KICHWA basi wao SHINGO
Hizo takwimu ni zile ambazo zipo tayar kimaandishi mkuuHicho chanzo cha habari kinasimamiwa na watu wenye akili za kitoto.
Sikiamini wala kukisikiliza.
Hakuna gari inayoendeshwa na madereva wawili kinachofuata ni mzingaWalipoanza kuvaa tu suruari wakajiona sawa.
Huwezi ukapingana na maandiko ukabakia salama.