Pole sanaWanaume tunapitia matatizo sana hasa tunao ishi mijini mimi binafsi niko mbioni kaachana na mke wangu sababu ananipelekesha sana kitu ambacho sio kizuri sana......pesa yenyewe ndiyo hii.....
Pole sanaWanaume tunapitia matatizo sana hasa tunao ishi mijini mimi binafsi niko mbioni kaachana na mke wangu sababu ananipelekesha sana kitu ambacho sio kizuri sana......pesa yenyewe ndiyo hii.....
Habar ya kichochezi hii
Wale Wazee wa "KATAA NDOA"
Nadhan Hapa wamepata ajenda[emoji26]
Hello
Hali si Hali huko kwenye taasisi ya ndoa.
Dar pekee Wanaume 2,000 wamekimbia ndoa baada ya kuonja joto lake so wame graduate kuwa mabachela Sugu.
Kama trend ndio hiyo na Talaka Kila siku watu wanaomba unadhani nini kifanyike Kuokoa ndoa?
Tuendako kutakuwa na ndoa za mikataba
😂😂😂Yani utoke mkoa ety ukaolewe na mwanaume wa Dar kujichosha tu.
Wanaume wa dar bhanaYani utoke mkoa ety ukaolewe na mwanaume wa Dar kujichosha tu.
Yani wana balaaWanaume wa dar bhana
Alafu ukute amesoma alafu akae dar jamni eeh😂Yani wana balaa
Hakuna kitu kma hichoMbeleni huko kutakuwa na masingle babu na masingle bibi wa kutosha, angalau wanawake wao Wana faida, watahudumiwa na watoto wao. KWA mwanaume ni hatari nusu hatari kuwa single babu huku pesa huna, wale watoto watabase kwa mama zao
Sio agenda mkuu ndivyo mambo yalivyoHabar ya kichochezi hii
Wale Wazee wa "KATAA NDOA"
Nadhan Hapa wamepata ajenda[emoji26]
Subiria uoneHakuna kitu kma hicho
Ili ndoa itulie mwanaume inabili awe mjinga hasa , mwanaume akijaribu tu kutumia akili kwenye ndoa , ndoa lazima ivunjike , ni bora kuishi na mwanamke bila ndoa angalau kidgo haitakupa ugumu pale panapotokea changamoto .Rafikiyangu wa kwanza baada kumaliza 4m 4 akaolewa ndoa yake ilidumu miaka 4
mwingine ikadum miaka 6 na watoto wanao
Mwingine Ina mwaka tayari wanadaiana talaka ila Kuna mwingine Ina miaka minneNa watoto 2 Yani ni full happy na wanapendana sana yaani utasema wameoana Jana Wanashirikiana Kwa kilakitu
Huyu wa mwisho nilimuuliza mamboyapoje mbona sio kama wengine na [emoji23][emoji23]ila mm mmbea sana
Ankowangu alomfata mama Ina miaka 24na watoto 3 hii hapa hii from 0 to hero Yani wanakaa nyumba ya kupanga kimoja had sahiz ankowangu anamiliki maduka ya kutosha anahela yaani anaishi
Ankowangu mwingine Ina miaka 23 na watoto 4 ni hii aunt kavumilia sana yaani ni jembe hasa had now wanaishi pamoja na maishayao sio mabaya
Naona babu yangu ni single mpka Leo anakula bata tu kuna mda nimempgia simu yupo mbugani anawinda wanyama pori tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Subiria uone
Asie na hofu ya Mungu, kukataa ndoa kwake ni kawaida. Muasisi wa ndoa ni Mungu.. Kuipinga ndoa ni sawa na kuto mtii Mungu na umeamua kupingana nae wazi wazi.. aunt mambo ? Uje wewe mzuri sana😀😀Hadi kufikia mwakani waolewaji nao watagoma Utasikia subir kwanza sahiz ninamambo mengi ya kufanya😀😀maana had sahiz wapo wasichana hawatak kusikia kusuhu ndoa labda harusi wacheze amapiano yaishe 😂😂
Hamna shida hata, madogo wanaingia kwenye ndoa kwasababu ya nyege.. nyege zikipoa wanaona kama hakuna umuhimu wa ndo.. ndoa ndio huduma ya kwanza kuisimika.. kuipinga ndoa ni kumpinga MunguShida kweli
Mwanaume umeambiwa ishi nao kwa kutumia akili, ukijifanya mjinga umeishaIli ndoa itulie mwanaume inabili awe mjinga hasa , mwanaume akijaribu tu kutumia akili kwenye ndoa , ndoa lazima ivunjike , ni bora kuishi na mwanamke bila ndoa angalau kidgo haitakupa ugumu pale panapotokea changamoto .