Wanaume 2,000 Dar Wamezikimbia Ndoa Zao

Wanaume 2,000 Dar Wamezikimbia Ndoa Zao

Ili ndoa itulie mwanaume inabili awe mjinga hasa , mwanaume akijaribu tu kutumia akili kwenye ndoa , ndoa lazima ivunjike , ni bora kuishi na mwanamke bila ndoa angalau kidgo haitakupa ugumu pale panapotokea changamoto .
Sio awe mjinga awe na mamlaka
 
Hali si Hali huko kwenye taasisi ya ndoa.

Dar pekee Wanaume 2,000 wamekimbia ndoa baada ya kuonja joto lake so wame graduate kuwa mabachela Sugu.

Kama trend ndio hiyo na Talaka Kila siku watu wanaomba unadhani nini kifanyike Kuokoa ndoa?
1676560522631.png
 
Wanaume tunapitia matatizo sana hasa tunao ishi mijini mimi binafsi niko mbioni kaachana na mke wangu sababu ananipelekesha sana kitu ambacho sio kizuri sana......pesa yenyewe ndiyo hii.....

Nye nye nye!!!![emoji25]
 
Back
Top Bottom