Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,771
KATAA NDOAKATAA NDOA
NDOA NI WIZI
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI USANII
LINDA AFYA YAKO YA AKILI KATAA NDOA
KATAA NDOAKATAA NDOA
NDOA NI WIZI
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI USANII
LINDA AFYA YAKO YA AKILI KATAA NDOA
Taratibu tu wataanza kuielewa hii kampeni ya KATAA NDOAKATAA NDOA
Yes wataielewa kadri siku zinavyosogea..Taratibu tu wataanza kuielewa hii kampeni ya KATAA NDOA
Tuendelee tu kuwapa elimu ya kuishi bila ndoa. Wanetu wana stress sana huko kwenye ndoa.Yes wataielewa kadri siku zinavyosogea..
Hello
Hali si Hali huko kwenye taasisi ya ndoa.
Dar pekee Wanaume 2,000 wamekimbia ndoa baada ya kuonja joto lake so wame graduate kuwa mabachela Sugu.
Kama trend ndio hiyo na Talaka Kila siku watu wanaomba unadhani nini kifanyike Kuokoa ndoa?
Tuendako kutakuwa na ndoa za mikataba
Bora muoane wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake maana jinsia tofauti mmeshindwana tabiaYes wataielewa kadri siku zinavyosogea..
Olewa na jinsia yakoKATAA NDOA
NDOA NI WIZI
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI USANII
LINDA AFYA YAKO YA AKILI KATAA NDOA
SawaOlewa na jinsia yako
Ya! Sisi wa kampeni hii lazima tushinde!Taratibu tu wataanza kuielewa hii kampeni ya KATAA NDOA
Sio mchezo mchezo yaanTuendelee tu kuwapa elimu ya kuishi bila ndoa. Wanetu wana stress sana huko kwenye ndoa.
Unaamka asubuhi kwenda kutafuta hela yule unayemhangaikia anabanduliwa ovyoovyo
Unafikri watakuelewa mkuu? Kanuni muhimu hazifuatwi, ndoa zimejengwa kwenye misingi mibovu mno. Na mbaya sana inakuja kuonekana inapotokea tafrani ama disaster. Nyi gi zinavunjika hapo. Weng wanadhani ndoa ni mwanamke ndo anatakiwa asali sana ili ampate mme mwema au adumu kwenye ndoa.Ndoa ni spiritual zaidi lakini wengi tunaipeleka kimaterial zaidi, thus haziendi
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] poleWanaume tunapitia matatizo sana hasa tunao ishi mijini mimi binafsi niko mbioni kaachana na mke wangu sababu ananipelekesha sana kitu ambacho sio kizuri sana......pesa yenyewe ndiyo hii.....
Kwani Mwaka sio mwanaume? Kwanza yeye ndio hataki kutoa Talaka.Achanisheni mnazofungisha ninyi siyo walizofungisha wenzenu
Mwaka mmemsaidiaje
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mbeleni huko kutakuwa na masingle babu na masingle bibi wa kutosha, angalau wanawake wao Wana faida, watahudumiwa na watoto wao. KWA mwanaume ni hatari nusu hatari kuwa single babu huku pesa huna, wale watoto watabase kwa mama zao
😀Ni majanga shida ni nn wanaume sio wavumilivu au ni nn