Nakazia,Ujinga wa wanaume unaanzia hapa siku hizi View attachment 2519371na kuendelea...
Ukitumia akili mkuu kuna dawati la jinsia , hakuna rangi utaacha ona, ili ndoa idumu yapasa mmoja awe mjinga , hasa mwanaume, mwarobaini ni kukataa ndoa tu hakuna mahali kifungu kitakubana .Mwanaume umeambiwa ishi nao kwa kutumia akili, ukijifanya mjinga umeisha
Mkuu ukihisi una aman na mkeo ,utaona wakataa ndoa wajinga ,mkuu safari yako bado . Wahenga walisema usicheke mamba wakati haujavuka mto.Nakazia,
Na wengi uanaume wao unaishiaga Hapa[emoji4]
Ndoa haitaji mtu kuwa mjinga, ili udumu.. ndoa ni utekelezaji wa majukumu.. Mwanaume mpende mkeo kama Kristo alivyo lipenda kanisa, na mwanamke amtii mumewe.. Mwanaume anaongoza mwanamke anafata, ni cycle.. ndoa zinakuwa na picha picha kwasababu watu siku hizi wanataka shortcut hawata timiza majukumu yao kwa Me na Ke..Ukitumia akili mkuu kuna dawati la jinsia , hakuna rangi utaacha ona, ili ndoa idumu yapasa mmoja awe mjinga , hasa mwanaume, mwarobaini ni kukataa ndoa tu hakuna mahali kifungu kitakubana .
Mmoja lazima akae kwenye nafasi yake ya utingo a. k. a usaidizi.Ndoa ni utii, wanawake wamekataa utii wanakiuka kanuni ya asili.
Gari haiwezi kwenda kwa wajuaji wawili kukaa siri ya mbele.
Eeh eeh alaf awe anajua na vijiwe viwili vitatu vya kulewa 🙆🙆🙆🙆Alafu ukute amesoma alafu akae dar jamni eeh😂
Exactly, ndio maana waabudu shetani wote agano la ndoa kwao mwiko. Utawaona wakibadili wanawake, wakiishi na kuzaa nao kiasherati lakini ndoa takatifu never.kataa ndoa ni ajenda ya kuzimu
Mungu awafungue mioyo yao, ili wapate ufahamu kwa kile wanacho jaribu kukupinga... Ndoa ni taasisi .. ya kiungu.. na attack ya kwanza ya shetani ni kwenye ndoa refer Eden.. hawa kataa ndoa wanaungana na setani maksudi kabisaExactly, ndio maana waabudu shetani wote agano la ndoa kwao mwiko. Utawaona wakibadili wanawake, wakiishi na kuzaa nao kiasherati lakini ndoa takatifu never.
Apataye mke apata kitu chema, nae ajipatia kibali kwa Bwana.
Bila kusahau😂😂😂na kagari ka kutembelea 😀Eeh eeh alaf awe anajua na vijiwe viwili vitatu vya kulewa 🙆🙆🙆🙆
Utakuwa wa 2001Wanaume tunapitia matatizo sana hasa tunao ishi mijini mimi binafsi niko mbioni kaachana na mke wangu sababu ananipelekesha sana kitu ambacho sio kizuri sana......pesa yenyewe ndiyo hii.....
Mmoja lazima akae kwenye nafasi yake ya utingo a. k. a usaidizi.
Mkuu yaishe ulipo anza propaganda za kanisa na dini basiiiii.Ndoa haitaji mtu kuwa mjinga, ili udumu.. ndoa ni utekelezaji wa majukumu.. Mwanaume mpende mkeo kama Kristo alivyo lipenda kanisa, na mwanamke amtii mumewe.. Mwanaume anaongoza mwanamke anafata, ni cycle.. ndoa zinakuwa na picha picha kwasababu watu siku hizi wanataka shortcut hawata timiza majukumu yao kwa Me na Ke..
Good Point.Hamna shida hata, madogo wanaingia kwenye ndoa kwasababu ya nyege.. nyege zikipoa wanaona kama hakuna umuhimu wa ndo.. ndoa ndio huduma ya kwanza kuisimika.. kuipinga ndoa ni kumpinga Mungu
Ndio maana ndoa ni kwa walio na akili tena waliokomaaGood Point.
Na kuna mademu siku hizi wako desperate na ndoa kinyama.
Wiki mbili uko nae kwenye mahusiano tayari anakuambia nioe.
Kama mwanaume usipotumia akili, mbele utalia.