Wanasimba wenye 51% ya umiliki na maamuzi wako wapi? Mo mwenye 49% ana nguvu mno kiasi hiki?

Mo anawapelekea sana moto simba.

Ni kama vile ana 100% ya hisa.

Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??

Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k

Hawa wenye 51% wako wapi???

Hiyo yote 51 hawana hela, wana nguvu kwenye makaratasi, anayetoa kila kitu ni mwenye hiyo 49 ambaye ni Mo..........
 
Toa ushauri sasa.
Unataka Simba ifanyeje ?

Tumfukuze MO au nini ?
Openess yake na ufanyike uchunguzi jinsi uendeshaji wa simba ulivyo CEO wa sasa step out sababu utaratibu wa uliotumika haukuwa wa haki yeye abaki na hizo hisa zake utendaji ubaki kwa simba kama simba management na body ya sasa ivunjwe maana yote kaichague yeye na kajipa uenyeketi yeye kuwe na ukaguzi wa kifedha kwa miaka yote minne
 
Pia na wewe kwanza uelewe hiyo pesa iliyowekezwa siyo hisani.
Ni malipo ya makubaliano maalum Kati ya mwekezaji na wanachama wa Simba SC.
Kwa hiyo ni mutual benefit.
Hao wanachama kwenye hayo makubaliano wao wameweka shingapi?
 
Hao wanachama kwenye hayo makubaliano wao wameweka shingapi?
Assets zote za Simba kabla ya MO.
1. Real Estate (Nyumba na ardhi) Msimbazi na Bunju.
2. Trophies.
3. Mikataba ya udhamini eg. Sportpesa.
4. Wachezaji na vifaa vyote (amenunua timu Ukiwa Premier league siyo kama African Lyon)
5. Goodwill i.e wanachama na washabiki wa Simba SC wenyewe kama soko.
6. Wanachama na mashabiki wa Yanga kama soko.

Tena mi nakuhakikishia ameichukua 49% ya Simba Kwa Bei mchekea, hata yeye anajua hilo.
 
nimeuliza kwenye hayo makubaliano yaliyo husisha pande mbili kati ya Mo na wanachama, kwasababu pesa ya mo inajulikana je hao wanachama wametoa bei gani?
 
Mo keshanunua wale njaa njaa
Yanga Wana bahati Wana JK .
Hataki ujinga..keshasema marufuku muwekezaji kujifanya mmiliki wa timu

Simba hata hiyo 51 ya makaratasi wamshukuru Mwakyembe ... vinginevyo mhindi alikuwa Keshaibeba bure kabisa
Ipo siku utawaka moto pale na hakuna atakayeweza kuuzima

We subiri kuna watu wanajua Mo anacheza ujanja mwingi kujinufaisha kwenye ile klabu kama kigwangala ila wanaogopa tu kuja front kwasababu ya mashabiki mbumbu wanaotaka matokeo mazuri tu hao ndo kikwazo kwasababu wapo wengi mno...
 
nimeuliza kwenye hayo makubaliano yaliyo husisha pande mbili kati ya Mo na wanachama, kwasababu pesa ya mo inajulikana je hao wanachama wametoa bei gani?
Una ufahamu wa biashara angalau kidogo?

Kwani wewe unavyofikiri hivyo vitu nilivyoorodhesha vina gharama gani?

Au labda jiulize, kibanda cha mpesa Kariakoo na kibanda hichohicho cha mpesa Kerege kipi kina thamani?

Kwenye biashara, Cash, Cheque ni asset kama zilvyo assets nyingine nyingi tu (billions of them) including Goodwill.
 
Hivyo vitu ulivyoviorodhesha haviwezi kusimama kama vyenyewe vikaingiza pesa yakuendeshea club. Kumbuka Yanga alikua na assets kama hizo na bado alitembeza bakuli

Tukubali tu kua hao wenye 51% ni useless, kama huyu wa 49% katoa 20B basi hao wa 51% tulitegemea kuona wanatoa hata 50B lakini wanatoa michambo
 
Unatakiwa umuulize MO hao wanachama wamechangia kiasi gani maana yeye ndio anaongoza Simba miaka 3/4 now decision zote za Simba zinafanywa nae wachezaji,viongozi wote wanalipwa na MO
 
Ana hoja na sio kumbeza.
Kwa nini vodacom wamejitoa kudhamini ligi wakati logo yao ipo kwa kila timu? Tueleze mtalaamu, kama kuweka logo kwenye jezi kuna leta faida ya moja kwa moja, inakuwaje voda wamekimbia faida?
sababu za vodacom kujitoa ligi zimeelezwa waziwazi ni anguko la biashara baada ya line nyingi kufungiwa kutokana na usajili
 
Hivyo vitu ulivyoviorodhesha haviwezi kusimama kama vyenyewe vikaingiza pesa yakuendeshea club. Kumbuka Yanga alikua na assets kama hizo na bado alitembeza bakuli

Tukubali tu kua hao wenye 51% ni useless, kama huyu wa 49% katoa 20B basi hao wa 51% tulitegemea kuona wanatoa hata 50B lakini wanatoa michambo
Hivyo vitu nilivyoorodhesha vinaweza kusimama vyenyewe na kuendesha club. Kwa mafanikio yapi?
Hapo ndiyo uwekezaji unapokuja.

Yanga imetembeza bakuli kwa sababu ni ajibu wa wanachama na washabiki kuichangia timu yao. Sasa tumepata viongozi na wafadhili ambao wame-negotiate na tutapata average bilioni 3.8 kwa mwaka ambyo ni sawa na kuwekewa mzigo wa bilioni 20.

Kwani Simba iliingia fainali za kombe la shirikisho kwa uwekezaji gani?

Bro. Jitahidi kujifahamisha mambo ya uwekezaji kwenye michezo.
 
Hivi bado tu mnateseka na mo?,, sisi kama simba tumeridhia na huo mnaouita ujanja as long as makombe yanakuja ila wewe na utapu tapu wenzio kama hamjaridhia nadhani mngeenda cas kufungua kesi juu ya uwekezaji wake pale simba,,, nakukumbusha tu na leo utapu tapu kadroo tena huko lkn bado mnahangaika na mo
Nyonzo hajitambui...bado yupo katika giza totoro hadi yeye atakapogeuzwa bidhaa.
Eti anachotaka makombe...hata kama yamejaa damu na jasho la baba na mama zake kwake ni sawa tu! Utumwa na utwana unamfaa.
 
Unatakiwa umuulize MO hao wanachama wamechangia kiasi gani maana yeye ndio anaongoza Simba miaka 3/4 now decision zote za Simba zinafanywa nae wachezaji,viongozi wote wanalipwa na MO
kwani ni siri?

Mbona ya Mo mnayajua? hao wengine kwanini tusiwajue pia?
 
Hivyo vitu nilivyoorodhesha vinaweza kusimama vyenyewe na kuendesha club. Kwa mafanikio yapi?
Hapo ndiyo uwekezaji unapokuja.

Yanga imetembeza bakuli kwa sababu ni ajibu wa wanachama na washabiki kuichangia timu yao. Sasa tumepata viongozi na wafadhili ambao wame-negotiate na tutapata average bilioni 3.8 kwa mwaka ambyo ni sawa na kuwekewa mzigo wa bilioni 20.

Kwani Simba iliingia fainali za kombe la shirikisho kwa uwekezaji gani?

Bro. Jitahidi kujifahamisha mambo ya uwekezaji kwenye michezo.
mbona unajipinga mweyewe, unasema hivyo vitu vinaweza kujisimamia na kuendesha club, halafu hapo hapo unaonesha kutowezekana kwake mpaka muwekezaji awepo

Kwa mantiki hiyo bila muwekezaji hizo asset ni kama picha ya samaki, haina msaada wowote pindi una njaa

Sasa kama ni wajibu wa wanachama kutembeza bakuli kwanini wajibu huo hamuendelei nao mpaka sasa na mna 51%?
 
Back
Top Bottom