uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,573
- 26,140
Mo anawapelekea sana moto simba.
Ni kama vile ana 100% ya hisa.
Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??
Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k
Hawa wenye 51% wako wapi???
Hiyo yote 51 hawana hela, wana nguvu kwenye makaratasi, anayetoa kila kitu ni mwenye hiyo 49 ambaye ni Mo..........