Wanasheria wetu! Tumaini jipya?

Wanasheria wetu! Tumaini jipya?

Mtani...hivi kweli unaona/unadhani hiyo kesi aliyoifungua bi Karume ina mashiko?

Na kweli ni kesi ya kuwakilishwa na mawakili 29?

Hata kesi ya karne [O.J. Simpson murder trial] O.J. hakuwakilishwa na mawakili 10....

Au ni kiki tu hizo?
Mashiko yapo na hoja zake wakili Karume ni za msingi, iweje askari wa kiume akamshike mwanamke?

Huu ndo unaitwa udhalilishaji, yule mama ata akisema alishikwa nyeti zake nani atabisha?

Kuna haja ya askari polisi angalau kujifunza kufuata sheria na taratibu na wasifanye kazi kwa mazoea.
 
Haina mashiko kwa mtizamo wako lakini ni kesi inayoenda kutuma ujumbe mzito kwa jeshi la polisi kuhusu weledi wa kazi na kuwa hata wao sheria zinawahusu,upande wa pili mshikamano wa wapenda haki mwisho wanainchi kutokubali kukaa kimya haki zinapovunjwa na mtu yeyote yule hata kama ana cheo
 
Mashiko yapo na hoja zake wakili Karume ni za msingi, iweje askari wa kiume akamshike mwanamke?

Amevunja sheria gani huyo askari?

Huu ndo unaitwa udhalilishaji, yule mama ata akisema alishikwa nyeti zake nani atabisha?

Hahaa...na polisi akisema hakumshika nyeti zake nani atabisha?

After all, si kuna video footage? Video inaonyesha akizishika nyeti zake mbele ya watu wote wale?

Mnaota nyie.

Hapo hakuna kesi yoyote ile.

Kuna haja ya askari polisi angalau kujifunza kufuata sheria na taratibu na wasifanye kazi kwa mazoea.

Huyo askari polisi na wale wenzake hawakufuata sheria gani, kwa mfano?
 
Haina mashiko kwa mtizamo wako lakini ni kesi inayoenda kutuma ujumbe mzito kwa jeshi la polisi kuhusu weledi wa kazi na kuwa hata wao sheria zinawahusu,upande wa pili mshikamano wa wapenda haki mwisho wanainchi kutokubali kukaa kimya haki zinapovunjwa na mtu yeyote yule hata kama ana cheo

Sheria ipi/ zipi zilizovunjwa na yule askari?

Unaweza kuziorodhesha hapa?
 
Amevunja sheria gani huyo askari?

Hahaa...na polisi akisema hakumshika nyeti zake nani atabisha?

After all, si kuna video footage? Video inaonyesha akizishika nyeti zake mbele ya watu wote wale?

Mnaota nyie.

Hapo hakuna kesi yoyote ile.

Huyo askari polisi na wale wenzake hawakufuata sheria gani, kwa mfano?
Jaribu kupunguza mahaba, nimesema kuna haja ya askari polisi kufuata sheria na taratibu.

Taratibu za kiaskari haziruhusu askari wa kiume kumkamata na hata kumpekua mwanamke.
Hivyohivyo kwa askari wa kike.
 
Asante kwa kutukubali. Fahamu kuwa tasnia yetu hairandani na porojo,utapeli na propaganda. Ni mambo ya kifungu kwa kifungu;hoja kwa hoja. Mambo yako mahakamani mkuu!
Ninyi ndilo tumaini pekee lilobaki
Viongozi wakuu wa vyama wamaufyata
Mbowe hasikiki
Seif amepotezwa
Zito amenunulika
Lowasa haeleweki
Nikiangalia yanayoendelea nchini mwangu machozi ya hasira yanidondoka
Wanasheria MKINYAMAZA MAWE YATASIMAMA KUTUTETEA...
 
Jaribu kupunguza mahaba, nimesema kuna haja ya askari polisi kufuata sheria na taratibu.

Askari yupi hakufuata sheria na taratibu?

Taratibu za kiaskari

Taratibu za kiaskari za wapi?

haziruhusu askari wa kiume kumkamata na hata kumpekua mwanamke.
Hivyohivyo kwa askari wa kike.

Naomba unipe mamlaka juu ya hilo, tafadhali....
 
TLS sasa kinaonekana kama chama kipya cha upinzani wakasajili tu kwa Msajili wa vyama waanze harakati z a 2020
 
Tasnia ya sheria tayari imeingiliwa na siasa. Inshu ya Pakistani ni ya kipekee kabisa. Musharaf alifukuza wanasheria (majaji) katika utumishi wa umma na ndio ikawa chanzo cha maandamano, migomo na machafuko. Kwa hapa tz mambo ni tofauti. Siasa zinalazimishwa ziingie katika sheria. TLS nayo inalazimishwa iwe ya kisiasa pasipo kuzingatia kwamba ndani ya TLS kila kitu kinaenda kwa utaratibu wake kikanuni.
Siasa zimefanya baadhi ya wanasheria wawe na kiburi, wanavimba vichwa kwa sababu wana wafuasi wa kisiasa. Wanalazimisha walete siasa hadi kwenye masuala ya sheria.
Ifikie hatua umma ufahamu kuwa hakuna siasa mahakamani. Mpinzani au mfuasi wa chama cha upinzani akishindwa kesi wanasema mahakimu au majaji wamenunuliwa, wakishinda wanatamba kuwa mahakama ni mkombozi wao. Mahakama ikishaingiliwa kisiasa hatutakuwa tena na uhuru wa mahakama. siasa ya namna yeyote ile au ya kutoka kwa yeyote yule, ikiwa ni pamoja na umma, ni hatari sana kwa uhuru wa mahakama.
Tasnia ya sheria ibaki kuwa taaluma. Sheria ikihusishwa ma masuala ya siasa hakika taifa litaangukia pabaya.
Umenena madini sana, mi nionavyo hapa ndipo inakojipoteza kabisa, haiwi tena tasnia /taaluma huru kwa mustakabali wa jamii na taifa. Chukulia, ni mawakili wangapi walijitolea kwa akina shekhe Ponda, wangapi hujitolea pale kutokeapo mwananchi wa kawaida akidhulumiwa?

Siasa inainyemelea TLS na hii si sifa ya hii taasisi, kesho huko wanakoegemea wakishika dola, hiki chombo hakitakuwa huru tena. Nadhani, wangezingatia weledi wa kitaaluma tu na si kuingiza siasa ktk taaluma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa kiongozi. Sheikh Ponda kapata misukosuko mahakamani, hakuna mwanasheria anaezumgumzia hilo, hofu sasa inakuwaje mzee huyu kama hana uwezo wa kumlipa wakili? Au kwa hawa wanasheria Sheikh Ponda si raia na hastahili huduma? kama ni hivyo ingefaa wangeweka vigezo vyao vya kumtetea mtu.
TLS miaka mingi imekwa na sifa nzuri, zaidi ya miaka 50. Juzi imepata raisi wake mpya na katika hotuba yake ya kwanza baada ya kuchaguliwa alihutubia siasa badala ya kuhutubia masuala ya TLS. alisema wazi raisi na serikali kwa ujumla wanaingilia TLS kisa yeye kagombea, na akadiriki kuihusisha TLS na CHADEMA.
Ni aibu sana.
 
Back
Top Bottom