Wanasheria wetu! Tumaini jipya?

Wanasheria wetu! Tumaini jipya?

Katika wanasheria ninao wakumbuka na nitakao endelea kuwa kumbuka... RIP Mchungaji mtikila... huyu mpaka nikaja kusikia kuwa baadhi ya kesi zake zimekuwa zikitumika kufundishia wanafunzi wa sheria (Naomba kulekebishwa kama sio kweli) kama ni kweli ina maana ameleta mchango mkubwa mno na vile vile alikuwa mtu aliyekuwa ana leta attention ikifika kuwa ana mashitaka mahakamani na ana ibwaga serkali-ebu tukumbuke kisa chake cha kuitaka kuitambua Tanganyika na bendera yake... ni moja ya mambo ya kuvutia toka kwake

sikumbuki kama alikuwa akiwa na jopo la kumtetea mahakamani kama walivyo wanasheria nguli wa sasa wanao tetewa na jopo la mawakili 29 na kazalika...

huyu mtu alikuwa na ujasili ulio pitiliza...

Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amin...
Ninamkubali Mpaka Kesho.
R.I.P Hon. Mtikila.
 
Nakurekebisha hili moja tu, hakuwa mwanasheria, bali mwanaharakati wa maswala ya kisheria na katiba. Ni kweli, kesi zake zimevunja kanuni na kufuta sheria nyingi, wanafunzi wanajifunzia. Bado moja, matunda yake yatakuja hivi karibuni, ya mgombea huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tasnia ya sheria tayari imeingiliwa na siasa. Inshu ya Pakistani ni ya kipekee kabisa. Musharaf alifukuza wanasheria (majaji) katika utumishi wa umma na ndio ikawa chanzo cha maandamano, migomo na machafuko. Kwa hapa tz mambo ni tofauti. Siasa zinalazimishwa ziingie katika sheria. TLS nayo inalazimishwa iwe ya kisiasa pasipo kuzingatia kwamba ndani ya TLS kila kitu kinaenda kwa utaratibu wake kikanuni.
Siasa zimefanya baadhi ya wanasheria wawe na kiburi, wanavimba vichwa kwa sababu wana wafuasi wa kisiasa. Wanalazimisha walete siasa hadi kwenye masuala ya sheria.
Ifikie hatua umma ufahamu kuwa hakuna siasa mahakamani. Mpinzani au mfuasi wa chama cha upinzani akishindwa kesi wanasema mahakimu au majaji wamenunuliwa, wakishinda wanatamba kuwa mahakama ni mkombozi wao. Mahakama ikishaingiliwa kisiasa hatutakuwa tena na uhuru wa mahakama. siasa ya namna yeyote ile au ya kutoka kwa yeyote yule, ikiwa ni pamoja na umma, ni hatari sana kwa uhuru wa mahakama.
Tasnia ya sheria ibaki kuwa taaluma. Sheria ikihusishwa ma masuala ya siasa hakika taifa litaangukia pabaya.

Kwa sababu Tundu Lissu ndo aliechaguliwa lazima ionekane hivo lakini Taasisis nyingi zina makada wa chama pendwa
 
Asante kwa kutukubali. Fahamu kuwa tasnia yetu hairandani na porojo,utapeli na propaganda. Ni mambo ya kifungu kwa kifungu;hoja kwa hoja. Mambo yako mahakamani mkuu!
Kinachowaunganisha wanasheria siyo masilahi yao binafsi, ni tishio la masilahi ya taaluma yao 'common interest'

Wanasheria wamelitambua shambulio dhidi ya taaluma yao, kila mmoja ameona 'giza' mbeleni

Hata hivyo wanajukumu la kuishukuru serikali kama gundi 'glue' inayaowaweka pamoja kukabiliana na mashambulizi
 
Kinachowaunganisha wanasheria siyo masilahi yao binafsi, ni tishio la masilahi ya taaluma yao 'common interest'

Wanasheria wamelitambua shambulio dhidi ya taaluma yao, kila mmoja ameona 'giza' mbeleni
Hata hivyo wanajukumu la kuishukuru serikali kama gundi 'glue' inayaowaweka pamoja
may be yes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika wanasheria ninao wakumbuka na nitakao endelea kuwa kumbuka... RIP Mchungaji mtikila... huyu mpaka nikaja kusikia kuwa baadhi ya kesi zake zimekuwa zikitumika kufundishia wanafunzi wa sheria (Naomba kulekebishwa kama sio kweli) kama ni kweli ina maana ameleta mchango mkubwa mno na vile vile alikuwa mtu aliyekuwa ana leta attention ikifika kuwa ana mashitaka mahakamani na ana ibwaga serkali-ebu tukumbuke kisa chake cha kuitaka kuitambua Tanganyika na bendera yake... ni moja ya mambo ya kuvutia toka kwake

sikumbuki kama alikuwa akiwa na jopo la kumtetea mahakamani kama walivyo wanasheria nguli wa sasa wanao tetewa na jopo la mawakili 29 na kazalika...

huyu mtu alikuwa na ujasili ulio pitiliza...

Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amin...
Mkuu,Hayati Mchungaji Mtikila hakuwa Mwanasheria. Lakini,mchango wake katika tasnia ni wa kupigiwa mfano. Ni kupitia mashauri yake na yaliyoamriwa.
 
Sheria ipi/ zipi zilizovunjwa na yule askari?

Unaweza kuziorodhesha hapa?
Kwani aliekamata hiyo ishu alikuwa wa kike?
Mlete na mkeo ikamatwe tuone kama utakubali sheria yetu huku mtaani ni kike kwa kike ebo
 
Kenge wa kwenye mitaro
Inaonyesha unwafaham haswa

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Vyama vya upinzani vimekuwa vikijitahidi sana kuiwajibisha serikali kwa namna mbalimbali tatizo limekuwa kwenye taasisi nyingine binafsi na wananchi. Huko ndo bado hakuna mwamko wa kutosha na ndo mtaji mkubwa wa CCM. Kuna matukio ya kidhalimu ya wazi kabisa yamekuwepo lakini ni wananchi wachache sana wanajitokeza kwa vitendo kuunga mkono upande unaosimamia haki. Utakuta mtu anakosoa sana serikali ikifika wakati wa uchaguzi bado haendi kupiga kura.
tume ya uchaguzi iko huru?
 
tume ya uchaguzi iko huru?

Acha visingizio, wewe piga kura. Popote pale penye tofauti kubwa ya kura kati ya mshindi na aliyeshindwa tume ya taifa hawawezi kuchakachua. Wanajua watajulikana kirahisi kwamba wamechakachua. Kama umefuatilia vizuri hizi stories za uchakachuaji wa kura zinaonyesha kura ziliibiwa successfully kwenye chaguzi ambazo tofauti ya kura ilikuwa ndogo.
 
Back
Top Bottom