Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Kwanini TLS ivunjwe?Kwa mfano TLS ikivunjwa halafu wanasheria wakaundiwa bodi kama vile makandarasi na wanataaluma wengine, bado kutakuwa na hizi mbwembwe zinazoendelea?. Hii solidarity itaendelea kuwepo?.
Hivi TLS ikiongozwa na mwanaccm haishutumiwi kuwa chombo hicho kimejiingiza kwenye siasa,, Bali ikitokea vice versa chombo hicho kuongozwa na mwanachama wa chama cha upinzani ndiyo kinapokea shutuma Kali kuwa kimejiingiza kwenye siasa!
Kwa hiyo kwa nchi hii watawala wetu wanataka kila chombo cha Umma wakiongoze wao!