Umeongea vitu vya msingi na hii ni changamoto ya kimfumo kikatiba, hapa unajadili mamlaka ya Rais kuwa jaji na pia kuwa mbunge kikatiba, mada haiko huko. Nadhani mada si board iliyotaka kuundwa, bali utendaji wa kisiasa wa TLS, tunahoji Tls ni tawi la chama cha kisiasa ama haki pekee inayozisimamia ni haki za kisiasa?
Hapo tu, kiufupi, wenye hekima wanahisi TLS inamezwa na cdm hivyo ikapoteza muelekeo wake wa kusimamia haki za jamii, kisiasa, kiuchumi, na kijamii. Wanafunzi wamekatwa asilimia 15 ya mikopo kinyume na mikataba, nyongeza za mishahara (haki za mtumishi) hazipo, manyanyaso mengi ktk jamii yote madogo, Lisu mchochezi mawakili kibao az if mwenyewe asingeweza kuisaidia mahakama kutenda haki, huyu naye kaguswa tena kwa nia njema ya utekelezaji wa majukumu ya kazi, mawakili 30. Hapo tu ndo penye shida.
Sent using
Jamii Forums mobile app