Ndugu zangu wanasheria, hii presidence ya 'kuwa na wanasheria wengi kukuwakilisha mahakamani basi maisha yako hayako hatarini' sio sawa. Hivi kwa mlala hoi ambaye hana mwakilishi mwanasheria hata mmoja ndo maisha yake yapo hatarini? Such decision must be challenged.