mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa?
Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo aliyeuwawa kwa kuwa tangu 2008 mpaka leo hakuna aliyekuja hapo benki kudai pesa hizo. Hivyo yeye atachukua asilimia 58 na mimi nitatumia 40 kisha 2 zitatumiwa na benki kwenye makato.
Kifupi nilivyomwelewa ni kuwa pesa ni nyingi na hataki kuziweka kwenye account yake ni zaidi ya dollar milion 140 inakuwaje hii.