Wanasheria, wataalam wa fedha Kitaifa na kimataifa msaada please

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa?

Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo aliyeuwawa kwa kuwa tangu 2008 mpaka leo hakuna aliyekuja hapo benki kudai pesa hizo. Hivyo yeye atachukua asilimia 58 na mimi nitatumia 40 kisha 2 zitatumiwa na benki kwenye makato.

Kifupi nilivyomwelewa ni kuwa pesa ni nyingi na hataki kuziweka kwenye account yake ni zaidi ya dollar milion 140 inakuwaje hii.
 
Unaibiwa kipuuzi sana.

Aliyeuawa ni babako? Mamako? Nduguyako?

Punguza mcheche mambo ya tuma kwenye namba hii, yamekutembelea. Identity theft, unaanzaje kumtumia usiyemjua NINO yako??

Unanasa kirahisi, au umekutana na honeytrap??:D

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Ahsante wadau dah! ila watu wabunifu shida ni kutojua hayo mambo ya pesa kisheria
 
Shida siyo kujua mambo ya pesa, shida ni kuwa the chosen one, the special one, the target, the selected victim. 🤔

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Wezi wameadvance hatari hadi wanalink na wabongo ...usishangae ukapigiwa simu na mdada akajitambulisha mfanyakazi yuko bank or airport anakwambia pesa zako zimefika ila tuma fee kwa mpesa etc ......
 
Utapeli wa miaka ya 2000 mwanzoni huko......hadi leo kumbe bado wanapata watu.......huu utapeli wakizamani saana
 
N
Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuwawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa?

Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo aliyeuwawa kwa kuwa tangu 2008 mpaka leo hakuna aliyekuja hapo benki kudai pesa hizo. Hivyo yeye atachukua asilimia 58 na mimi nitatumia 40 kisha 2 zitatumiwa na benki kwenye makato.

kifupi nilivyomwelewa ni kuwa pesa ni nyingi na hataki kuziweka kwenye account yake ni zaidi ya dollar milion 140 inakuwaje hii
Ni tapeli huyo rafiki Hakuna hell yoyote hapo Hakuna pesa rahisi,huyo humjui hakujui hujiulizi?
 
Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuwawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa?

Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo aliyeuwawa kwa kuwa tangu 2008 mpaka leo hakuna aliyekuja hapo benki kudai pesa hizo. Hivyo yeye atachukua asilimia 58 na mimi nitatumia 40 kisha 2 zitatumiwa na benki kwenye makato.

kifupi nilivyomwelewa ni kuwa pesa ni nyingi na hataki kuziweka kwenye account yake ni zaidi ya dollar milion 140 inakuwaje hii
Soma kisa cha huyu mama utapata mwanga 👉👉👉I went to Nigeria to meet the man who scammed me
 
Back
Top Bottom