Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 24,848
- 26,969
Je vipi napo pale kwa animals?Mzungu alishasema wenye akili kule wawili tu
Je vipi napo pale kwa animals?Mzungu alishasema wenye akili kule wawili tu
Siyo mmoko?Wenye Akili Ni Wawili
Ila neno "waangukia pua" limekaa kinafiki sana 😀😀Nipp beshte hili lilikua wazi kabisa walikua wanapoteza muda tuu..
Kuna uzi mwingine wa Yanga waangukia pua ndo tuko huko tunawashangaa hahahahahhaha
😄😂😁Ila neno "waangukia pua" limekaa kinafiki sana 😀😀
Ndiyo tafsiri sahihi. Mwanasheria wa Yanga ni mhitimu wa Amazon college ya Buguruni"Kwa kuzingatia yaliyotajwa hapo juu, rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Michezo ya Young Africans itahesabiwa kuwa imeondolewa, na mchakato wa kesi CAS 2025/A/11298 Young Africans Sports Club dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na Klabu ya Simba utasitishwa na kufutwa kwenye orodha ya kesi za CAS."
Tafsiri isiyokuwa rasmi
Rufaa imechanwa chanwa"Kwa kuzingatia yaliyotajwa hapo juu, rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Michezo ya Young Africans itahesabiwa kuwa imeondolewa, na mchakato wa kesi CAS 2025/A/11298 Young Africans Sports Club dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na Klabu ya Simba utasitishwa na kufutwa kwenye orodha ya kesi za CAS."
Tafsiri isiyokuwa rasmi
Mbona ni neno la kawaida kaka....umeumia? Basi pole...don't take it personalDon't stoop too low. Some of us respect you 🙏🏿