Robati
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 701
- 683
Serikali ya CCM imesheheni WAHUNI na WAHALIFU lukuki, kuanzia JPM hadi wasaidizi wake. Ma Dikteta ni WASHENZI na WENDAWAZIMU hasa wanaposhindwa kwa hoja, tutarajie viroja vingi sana mwaka huu."Innocent until proven guilty", hii haijalishi aina ya kesi: hata kama ana ni kesi za jinai.
Hebu jiulize, vipi unapomuengua halafu mahakama ikamuona hana hatia katika kesi zote, Je, utarudia uchaguzi kumrudishia haki yake uliyompoka?