Wanapinga USHOGA kutafuta umarufu wa kisiasa

Bhanunu

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
798
243
Wengi wao ni wale wanao elekea kuchuja kisiasa, na wale vinga'ng'anizi wa madaraka wezi, mafisadi, wasio na ndoto ya maendeleo.
 
Mseven, kachuja , kisiasa, na mkandamizaji anaetafuta style ,
ROBERT MGABE , jinamizi la kizazi kipya, jamii ya Africa haina lakujifunza kwake (sio mfano wa kuigwa)
 
rais jk analipinga hilo kwa nguvu zote alkadhalka na waziri wetu wa mambo ya nje analilaani hilo kupindukia ni jambo lisilotakiwa kabisa tanzania inafahamika! na limeshatamkwa na viongozi waandamizi limesikika kimataifa,"eti nae mwogilo kajibebesha mamlaka kaenda kulitamka ughaibuni?"ili kujitakatisha kisiasa
 
huyu bwabwa ni msumbufu anatafuta mabwana kinguvu huu uzi ni wapili akitetea upuuzi wake
 
Back
Top Bottom