Utajiri wa kupindukia unatoka wapi kama Mtumishi wa Umma?

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
Mtumishi wa umma au mwanasiasa wa upinzani au tawala ipo wazi kuwa amekuwa mtumishi wa umma na siasa katika kipindi chote cha maisha ya kazi. Sasa utajiri unatoka wapi?

Hiì imekuwa kawaida kwa watumishi wa umma nà hata viongozì wa kisiasa wa upinzani na chama tawala kujijengea utajiri na kuonekana ni kawaida.

Sioni utajiri ndani ya utumishi wa umma na siasa nje ya ubadhirifu, Rushwa, michezo ya kisiasa na ufadhili wa mafisadi.
 
Naomba tafsiri ya neno tajiri kabla sijachangia uzi wako
Utajiri (kutoka neno la Kiarabu) ni wingi wa vitu vya thamani na wa vyanzo vya mapato ambavyo nchi au mtu wanamiliki.[1]

[https://upload]Lundo la pesa ni ishara ya utajiri. Ingawa kimsingi ni suala la uchumi, unahusika sana na maadili, kwa kuwa mali zinaweza kutumika vizuri au vibaya, hasa upande wa haki za watu wengine, ambao pia wanahitaji kiasi fulani cha vitu ili kuishi.[2][3]

Umoja wa Mataifa umepitisha kauli ya Kiingereza inclusive wealth kwa kujumlisha humo hata mambo yenye faida ambayo ni ya kiuasilia (kama vile ardhi na vyote vilivyomo), ya kibinadamu (watu pamoja na elimu, vipawa n.k. walivyonavyo) n.k. (k.mf. miundombinu: mashine, majengo n.k.)[4][5]
 
Ss unategemea watumishi wasiwe matajiri wakati serikali ndio kunaulaji Kwa wajanja mkuu...upigaji upigaji serikali n nje njee
 
Mtumishi wa umma au mwanasiasa wa upinzani au tawala ipo wazi kuwa amekuwa mtumishi wa umma na siasa katika kipindi chote cha maisha ya kazi. Sasa utajiri unatoka wapi?

Hiì imekuwa kawaida kwa watumishi wa umma nà hata viongozì wa kisiasa wa upinzani na chama tawala kujijengea utajiri na kuonekana ni kawaida.

Sioni utajiri ndani ya utumishi wa umma na siasa nje ya ubadhirifu, Rushwa, michezo ya kisiasa na ufadhili wa mafisadi.
kilimo, biaashara na ufugaji ndio siri ya utajiri wa wanasiasa watumishi wa Umma 🐒

usipokua mbunifu, usipofanya kazi kwa maarifa na bidii, utalalamikia kazi, uwekezaji na utajiri wa wengine maisha yako yote 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Mtumishi wa umma au mwanasiasa wa upinzani au tawala ipo wazi kuwa amekuwa mtumishi wa umma na siasa katika kipindi chote cha maisha ya kazi. Sasa utajiri unatoka wapi?

Hiì imekuwa kawaida kwa watumishi wa umma nà hata viongozì wa kisiasa wa upinzani na chama tawala kujijengea utajiri na kuonekana ni kawaida.

Sioni utajiri ndani ya utumishi wa umma na siasa nje ya ubadhirifu, Rushwa, michezo ya kisiasa na ufadhili wa mafisadi.
Kuna wengine Wamerithi Mkuu!
Kwa mfano Lowassa na Kina mbowe..
Nakumbuka Kipindi tunakuwa tulikuwa tunaingia kwenye disco yake huyu jamaa..

ILikuwa inaitwa Disco Mbowe siku hizi ndo inaitwa Billcanas miaka ya 80 hiyo..
Kina rostam wanazikuta pesa siasa wanaenda kufurahisha tu..

Kina MODEWJI na ndo maana mo kipindi anakuwa Mbunge wa Singida alikuwa anagawa pesa na Madaftari na vitabu shule zote Jimbo zima
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi wengi wa serikali na umma wameajiriwa kwa kupunguza miaka mitano au kumi katika umri halisi.
Wewe jiulize unamwona baba yako unafahamu kabisa hapo alipo ana umri wa miaka 65 au 70 lakini ukifuatilia kazini anakofanyia utaambiwa ana umri wa miaka 51 !!!!!!!

Unategemea watastaafu kwa hiari au lazima zaidi ya kughushu umri ili wawe kwenye ajira kwa muda mrefu?

Viapo vya kukana umri uliopo kwenye cheti cha kuzaliwa ni mwingi mno kwa watumishi wa serikali na umma na mahakama ndio zinatumika kuhalalisha uovu huu 'to the maximum of endurance'
 
Ss unategemea watumishi wasiwe matajiri wakati serikali ndio kunaulaji Kwa wajanja mkuu...upigaji upigaji serikali n nje njee
Nchi yenyewe bongolala nation unategemea nini,lazima watu wajipigie

Ova
 
Naomba tafsiri ya neno tajiri kabla sijachangia uzi wako
Tajiri ni mtu anae miliki pesa nyingi majumbu viwanda mashamba pia anakuwa na uwezo wa kutatua tatizo lolote ambalo linaweza kumkuta bila kusita au kuomba msaada mfano anaweza kupimwa na dakitari akamwambia ugonjwa ulionao unatakiwa milioni hili ukatibiwe india akafanya hivyo huyo ndio mtu alie fikia kiwango cha kuitwa tajiri,watumishi baadhi wa nchi hii wana hali hiyo ya mali hali yakuwa mishahara yao aiendani na mali hizo
 
Kuna wengine Wamerithi Mkuu!
Kwa mfano Lowassa na Kina mbowe..
Nakumbuka Kipindi tunakuwa tulikuwa tunaingia kwenye disco yake huyu jamaa..

ILikuwa inaitwa Disco Mbowe siku hizi ndo inaitwa Billcanas miaka ya 80 hiyo..
Kina rostam wanazikuta pesa siasa wanaenda kufurahisha tu..

Kina MODEWJI na ndo maana mo kipindi anakuwa Mbunge wa Singida alikuwa anagawa pesa na Madaftari na vitabu shule zote Jimbo zima
Ruwasa kweli katoka kwenye familia ya wafugaji lakini utajiri wake auendani na hali alisi
 
Back
Top Bottom