Wanapinga USHOGA kutafuta umarufu wa kisiasa

Wanapinga USHOGA kutafuta umarufu wa kisiasa

Kila mtu mzima anaejua jema na baya, anayo maamuzi afuate njia ipi?

Unadhani ni jibu sahihi kwa nilichokuuliza?
AU unadhani baba yako hawezi kua shoga ndio maana unaropoka masuala ya ushoga tu?
NATAMANI watokee ndugu zako wa damu wawe miongoni mwa hao mashoga unaojidai kuwatetea.
 
Mhhhhh! Tena???

Yeah,pengine ndio utapata akili ya kujua kwamba hutakiwi kuwatetea Mashoga bali unatakiwa uwaelimishe ili waondokane na tabia hii isiyopendeza kwa jamii na kwa Mungu pia.
 
Humu ndani JF kuna mapunga watatu kwa mujibu wa ushahidi wa post zao, huyu ni mmoja wapo.
 
Yawezekana ww ni shoga! Baada ya kufurahi ww unaponda hatua hio? Unaona ni ndogo!!
Kama huna la kupost kaaa kimyaaaaa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Yeah,pengine ndio utapata akili ya kujua kwamba hutakiwi kuwatetea Mashoga bali unatakiwa uwaelimishe ili waondokane na tabia hii isiyopendeza kwa jamii na kwa Mungu pia.
Hapo kwenye red unaweza kuthibitisha??Au umekosea ku-quote???
 
Napita humu ...nimeona huu mjadala nashangaa hata nyie watanzania mnaojiita wapenda amani mnaopaswa kuwa na upendo mnataka kuwaua watoto wenu wenye matatizo ya jinsia na mashoga na walio zaliwa na jinsia mbili na wenye mapungufu ya kibayolojia(hormonal imbalances and genetic mutations) na kisaikolojia.....nimesoma wengi wenu hapa mna chuki za kufa mtu....najiuliza jee? mgepewa mamlaka na nguvu kama za Mungu si mgewaangamiza zamani za kale.....Lo!.....ndio maana hamna anayemfahamu Mungu humu duniani labda wachache sana na hunyakuliwa mapema....na sio hata ufahamu wa asili mia moja.......hata vitabu vilivyoandikwa na wanadamu wasio na uwezo asili mia moja wa kujua mawazo ya Mungu.....hivo vitabu mnavyo husisha na Mungu mtashangaa mtakapo fahamu hamna hata moja inayokaribia ama kuyafahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu.....ndo maana mnashinda mkipigana ...mara wakristo mara waislamu......mara wayahudi...mara..wahindi....nyie nyote .....hadi siku mtakapo fahamu kuwa Mungu ni upendo tu na mengine hatuwezi kuyaelewa kumhusu....muishi maisha yenu na muwapende ndugu,dada,watoto na majirani /jamaa zenu......nashukuru Mungu wa ukweli, huyu wa upendo wa kweli kwa kusaidia wakenya wengi kuwa na mawazo ya ncha na mapana,kutupa uvumilivu wa kutohukumu yale hatuyafahamu kabisa,kutokuwa wepesi wa hasira, ila bado utafiti unafanywa na wanaohusika na sio kwa sababu za siasa bali kwa utu,ueleo mkubwa na wa ndani wa kisayansi na ukweli dunia nzima......mpaka itakapo funuliwa kwetu.
 
Tim kua muelewa kidogo,humu hakuna hata mtu mmoja aliesema shoga auawawe,
Kimsingi tunatakiwa kufahamu Ushoga haukubaliki na haukubali basi tuuchukulie kua ni janga ktk jamii zetu.
Tuweke mikakati ya kupambana kwa kuelimisha n.k ili hili janga liondoke.
Sio ndo tuanze kuunda sera za kutetea janga liendelee huo ni upuuzi.
 
Back
Top Bottom