Wanapinga USHOGA kutafuta umarufu wa kisiasa

Wanapinga USHOGA kutafuta umarufu wa kisiasa

BWANA SHOGA Natamani nikuone dume zima na mindevu yako ukiwa unatetea ushoga.
 
tumwombee mleta uzi ili macho yake yafunguke. Homosexual ni machukizo so ni zaidi sana ya dhambi ya kawaida. Nadhani mleta maada ana lake jambo
 
Bhanunu
Unapumuliwa kisogoni...

Dume zima na mindevu yako unabong'oa......
 
Last edited by a moderator:
Kutetea ushoga ni sawa na kuhalalisha ushoga uwepo. Hivi hawa mashoga nguvu wanaitoa wapi ya kudai haki yao ya kufirwa makalio? Haiwezekani ukazaliwa mwanaume wazazi wako wakitegemea utaowa mwanamke halafu unakuja kuolewa wewe na mindevu yako. Wengi wao wanatoa visingizio vya eti wapo waliobakwa wengine eti wamezaliwa na homoni za kike.
Kwa nini wasianzishe harakati za kupinga matendo yanayowapelekea kuwa mashoga huu mchezo wanaufurahia
 
Huyu shoga anabwabwaja ili hapa tz tumfukuze aombe uraia mareken akaolewe
 
Wengi wao ni wale wanao elekea kuchuja kisiasa, na wale vinga'ng'anizi wa madaraka wezi, mafisadi, wasio na ndoto ya maendeleo.

Sidhani kama ni swala la kisiasa, sasa kuanza kukataa kusaidiana sababu ya kupinga mapenzi yasio asilia ni tatizo kweli? Sawa unajiona wewe shoga poa, kwani kuna haja ya kujitangaza na kuona ni umaarufu kuwa hivyo kweli, haya mambo ya ushoga yalikuwepo tangu zama za kale, ila sababu sio mapenzi ya asilia basi yalikuwa kificho, sababu ni aibu na dhambi kwa waumini wenye dini zao...

Inashangaza kweli tumefika hapa kwamba mie hunipi msaada sababu ya mimi kupinga mapenzi ya jinsia moja...
 
Back
Top Bottom