Wanapata wapi ujasiri wa kutuomba Hela?

Wanapata wapi ujasiri wa kutuomba Hela?

Hivi nikitaka free P nakosea wapi??? Binafsi huwa nikiwa na nyege natega mitego km minne hivi kama siyo yote minne basi mitatu itanasa, afu nachagua mwnyw hutaki nenda zako.

Ndiyo maana huwa mnamegwa na kutupwa kero za kuombwa pesa! Hamna wazazi au km wakubwa fanya kazi.

Hela ya mwanaume tamu asikwambie mtu.
Kama vipi nawe jaribu.
 
Hela ya mwanaume tamu asikwambie mtu.
Kama vipi nawe jaribu.
Baba na kaka zako, ndiyo walikusimulia mpk unishawishi nami nijaribu???

Shika adabu yako, utakuwa from poor family ndiyo maana unaendekeza kuongwa wewe!
 
Baba na kaka zako, ndiyo walikusimulia mpk unishawishi nami nijaribu???

Shika adabu yako, utakuwa from poor family ndiyo maana unaendekeza kuongwa wewe!

Nani kakudanganya kua Regina Mengi au Adda Lowassa wanahangaika na Vidampa?
 
Vuta subira ukiwa unaangalia angalia simu yako
Naona umentumia tafadhali npgie badala ya kutuma pesa, ningekua na namba za walomteka Roma ningemwambia awateke wanaume wabahili wote coz mnatuchosha humu jukwaani, kila siku mnalialia, ........hahahaaaaa....(kidding)
 
Nlikuwa najaribu namba kama ndio yenyewe......

Subiri Sasa muamala usome. Sema mtandao upo down saana
 
Naona umentumia tafadhali npgie badala ya kutuma pesa, ningekua na namba za walomteka Roma ningemwambia awateke wanaume wabahili wote coz mnatuchosha humu jukwaani, kila siku mnalialia, ........hahahaaaaa....(kidding)
 
Bora awe demu wako basi. Unakuta barmaid anahudumia analipwa kabisa bado chenji yangu iwe buku au jero anataka umuachie. Bora aangalie unakunywa nn basi. Nakunywa balimi au pilsner bado mizinga. Huyo huyo ukimuomba anakwambia nisubiri nifunge SAA sita!? Bora kuyumba mm kuhonga hadi mwl atoke madarakani.
 
Hawa watu wanaweza kukunyima pesa lakini sio papuchi aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom