Kwan nyie mnapata wap ujasir wa kututongoza na kuomba K ?
Tatzo wanaume mnaonyesha sana udhaifu kwenye K, hebu jiulze we dem wako nan anamwomba sana mwenzie kufanya mapenz ? So kufanya mapenz inaonekana kama hitaj la mwanaume hivo mwanamke anaombwa kwenda kutmiza, so anaona inabd alipwe kwa huduma ya kutimiza haja zako coz ww ndo umeomba game sio yy japo utam mmepata wote.
Hebu acha kuombaomba K uone ka utaombwaombwa pesa.
Halaf kumbuken nyie ndo mnatuomba game then mnatusugua sana had michubuko ka sio vidonda, so lazma tuwaombe pesa za kununua viprotini kwajili ya kureplace worn out tissues

Sina kaz, sina kibarua then unaomba game, npo mabwepande upo kisiju, then unataka huo mzgo wa naul nimtwishe baba angu akat we ndo unataka ule K ? Nonsense, unataka K toa naul ya kuja, na ukishakula K toa ya kurud, pia kumbuka hapo nimetumia gharama kujipura na kua msaf ili uinjoy so lazma uchangie gharama sio ukenue tu ukiniona na vutia
Hutaki kutoa pesa, tubadlshane jinsia uone ntavokuhudumia