wanaotaka kuja kusoma India | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaotaka kuja kusoma India

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by collezione, Feb 8, 2012.

 1. c

  collezione JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Wasaalimu Jamii forum
  Mimi ni kijana mwenzenu nasoma india kwa sasa. Ni mwaka wa 4. Nasomea medicine.
  Ki ukweli huwa nawasikitikia sana vijana wenzangu, ambao pia naweza waita wadogo zangu. Pale matokeo yanapotoka. Wengi huchanganyikiwa "what next".
  Ni wazi idadi ya shule Tanzania ni ndogo sana. Hasa kwa A-level na vyuo vikuu. Hivyo inawalazimu wengi kukatisha ndoto zao na kujikuta wakienda kusoma vitu ambavyo hawajatarajia kama vi-diploma n.k.
  Na inasemekana kuwa huwa ni mpango madhubuti kufelisha wanafunzi kutokana na idadi ya shule kuwa ndogo au ufinyu wa fedha za mkopo.
  Mimi kama mtanzania na mwenye mapenzi mema na wadogo zangu, nimeona niwaeleze opportunity zilizopo. Usikate tamaa kwa matokeo mabaya au kwa kukosa either shule au chuo. India is a place to study. Si kwamba wanapokea wanafunzi wajinga. La hasha, uku kuna shule nyingi sana. And huwa wanashangaa kwa nini vijana wanatoka Tz na matokeo mabaya wakija uku wanafaulu.
  Kwa mfano mimi nilipata div3 ya mwisho, na vyuo bongo walinikataa. But nilipata chuo india na sasa nakaribia kuwa daktari. Na nina uhakika wa kuwa daktari mtaalamu na mjuzi zaidi ya wanaosomea bongo. Nyie wenyewe mnajua India ilivyo kwenye udaktari.
  Basi kwa wadogo zangu wanaohitaji kuja india wanipigie kwenye hii namba +91 9731 595412. Kwa wanaotaka kuja kosema degree au pre university. mchipuo au Kozi yoyote ile.
  Pre univerity ni kama form 5& 6 ya Tz.
  NB: ukinitafuta uwe serious. Usilete utani, sina mda wa utani. Ninachojaribu ni kuwasaidia ili msipoteze malengo yenu
   
 2. sterling

  sterling Senior Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  vipi kama mtu anakuwa hana uwezo wa kujilipia kusoma huko,,, vipi inawezekana kupata scholarship? lakini vipi kwa ngazi ya masters?
   
 3. c

  collezione JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Scholarship zipi kwa kupitia wizara ya sayansi na elimu ya juu. But mpaka leo huwa sijui kina nani wanapataga hizo chance. Huwa haziko wazi. Hope unajua bongo ilivyo. La sivyo Ningefurahi kuona watoto wasio na kipato waje uku kuendeleza academic talents zao uku.
  By the way ada za shule za india is cheap than bongo. Sio lazima uwe tajiri ili uje kusoma India
   
 4. c

  collezione JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Thanks a lot,in brotherhood we thank you, Tz yenyewe ndo hii,tunakufa baba mwenye nyumba anakimbilia finland na mwanaye huku kapata div.IV
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  India ni pazuri kwa medicine na masuala ya IT tu.huko kwenye fani nyingne bora mtu upate hata diploma ya hapa hapa bongo tu.over
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Kiswahili kigumu kweli!!
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Nani kakudanganya?/ acha upotoshaji...mabarabara mengi haapa bongo na majengo yanainjiniwa na wahindi...we vp wewe???
   
 9. c

  collezione JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, Tunashukuru kwa mchango wako. But usisahau biashara and economics. And apart from that India now is a leading country kwa kutoa professionals kwenye management and economic field. Kama unafatilia, recently asilimia kubwa ya ma-CEO kwenye makampuni ya marekani ni wahindi. And kama umesoma Economics umetumia vitabu vya kina prof Gupta. Wote hao ni wataalamu wa uchumi.
  Haha, Kwa Tz tunaona india wazuri kwa udaktari na IT, kwasababu ndo tunakokimbilia uko tukiumwa. but dunia kwa sasa wanaona wahindi ni wataalamu katika biashara.. And asikuambie mtu, indians know and understand bussiness kuoka damuni.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa hyo unawashauri watu wote wanaoliwa vichwa bongo wakimbilie huko india co?maana cjawah ona kipanga anae faulu fresh afu akakimbilia kusoma huko,most of them huwa ni failures ndo wanakimbilia india,cjui kwa nin huwa iko hvo!
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Hivi ni lazima uchangie thread hii!!?? ushamba mwingine huu unajichoresha tu hapa jamvini.
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  vp mkuu,uliliwa kichwa na necta eeeh?
   
 13. c

  collezione JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, mdogo angu amemaliza Alpha high school alipata div 1 pnt 4 PCM.
  Anasoma india and Yuko telecomunication mwaka wa 2.
  Ndugu sio watu wote wanaofeli wanakuja uku. Mimi nichofanya hapa ni kuwasaidia watu ambao hawajui another option, and this option could be better for them. Mbona wako wanafunzi wenye div 1 wengi tu. Achana na huyo mdogo angu.

  And kuhusu kufeli, wapo watoto wa wakubwa walipata div 0 na wengine ni washikaji zangu wapo USA now. We unafikiri wote wanaoenda ulaya wamefaulu??? Au wana div 1.
  Shame on you man
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Mimi ni Form four Graduate & am very proud of it!
   
 15. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Sasa mpaka mtu asome huko awe na uwezo wa kiasi gani cha ada na mambo mengne
   
 16. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  I can see people in business promotion and Advertising,sijui JF inalipwa au laah!!!!!!!!
   
 17. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :lol:

  Nimechukua email na namba yako ya simu nitawasiliana na wewe
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  vipi HKL point 15 naweza kusomea nini india?
   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  Naomba unipm ili niweze kuwasiliana na wewe vizuri hapa jamvini utani ni mwingi.
   
 20. c

  collezione JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Wasalaam,
  Ndugu zangu nimepata email nyingi. Kuna wengi wanauliza concrete question, and wapo wanaouliza maswali ya kipuuzi na usumbufu.

  Napenda tu kuwataarifu, am not a custumer care. please don't take an advantage of me. May be because nimeamua kusaidia watu. I am sure kuna watu wengi hapa wana shida na walikuwa hawajui hizi details, na ni kama nimewafumbua macho. Please acha wenzako wenye shida wani-contact. Wewe kama huna shida tulia please.

  Mimi ni mwanafunzi uku, na nimeamua tu kusaidia watu. Naamini mwenyezi Mungu atanibariki in my future. Kwenye dini wanasema ukiwa mchoyo wa information, haisaidii. utakufa nayo pasipo kuwa na faida yoyote.

  Ndugu nimeanzisha hii post kutoka experience niliyoipata kutoka kwa mtoto wa shangazi yangu. Amemaliza 2010 and alipotezaa mwaka mzima nyumbani baada ya kutoswa na vyuo vya bongo. And nimegundua kuna cases za namna hii nyingi. Please guys tuwasaidie ndugu zetu kuendeleza academic talents zao kuliko kukaa nyumbani. Am sure Mungu atatubariki.
  Ndugu zangu sisemi kuja India tu. Kama una uwezo mzuri wa fedha unaweza kwenda Uk, USA au australia.

  Ila Kwa wanaotaka kuja India mimi nimejitolea kuwasaidia. Naomba nitumie email kama kweli una nia, na una shida.
  Asanteni
   
Loading...