wanaotaka kuja kusoma India

Sasa mpaka mtu asome huko awe na uwezo wa kiasi gani cha ada na mambo mengne

Ada inategemea na kozi unayosoma. Actual kuhusu cost of living ni kama bongo. And ukiwa unaishi ki-student bila mambo mengi. Life is far cheaper than bongo.

India has been cheap, that why recently kuna flow ya international students from all over the world. Sio Africa tu, namba ya wanafunzi kutoka marekani, korea, and eastern europe imeongezeka sana
 
Kaka tunaomba utusaidie afadhal umeweka ihi point kwan matokeo ya iv nina iii22 na comb azija balance vp nifanyeje naomba msaada am serious pls nisaidie mtanzania mwenzako na mambo ya medicine ada ikoje pls.
 
Hongera kaka kwa moyo huo. Dah wengine 2ling'ang'ania elimu ya bongo bt 2najuta az mateso mengi, no future
 
Kwa hyo unawashauri watu wote wanaoliwa vichwa bongo wakimbilie huko india co?maana cjawah ona kipanga anae faulu fresh afu akakimbilia kusoma huko,most of them huwa ni failures ndo wanakimbilia india,cjui kwa nin huwa iko hvo!

watu kama wewe ndio wale mnaopenda kuwa mmezungukwa na marafiki walioshindwa maisha na raha yenu ni kuwaona kila siku wanakulilia shida...kama wanakunywa bia unona raha kuwanunulia bia kila siku na sio kuwapa msaada wabadili hali zao za maisha. shame on you! hata kama anashauri waliofeli waende India wewe hutaki unataka wakae hapa bongo wapigike ufurahi sio?.......watu wengine hata sijui huwa mna muda wa kutafakari matendo/maneno yenu?
 
Wasalaam,
Ndugu zangu nimepata email nyingi. Kuna wengi wanauliza concrete question, and wapo wanaouliza maswali ya kipuuzi na usumbufu.

Napenda tu kuwataarifu, am not a custumer care. please don't take an advantage of me. May be because nimeamua kusaidia watu. I am sure kuna watu wengi hapa wana shida na walikuwa hawajui hizi details, na ni kama nimewafumbua macho. Please acha wenzako wenye shida wani-contact. Wewe kama huna shida tulia please.

Mimi ni mwanafunzi uku, na nimeamua tu kusaidia watu. Naamini mwenyezi Mungu atanibariki in my future. Kwenye dini wanasema ukiwa mchoyo wa information, haisaidii. utakufa nayo pasipo kuwa na faida yoyote.

Ndugu nimeanzisha hii post kutoka experience niliyoipata kutoka kwa mtoto wa shangazi yangu. Amemaliza 2010 and alipotezaa mwaka mzima nyumbani baada ya kutoswa na vyuo vya bongo. And nimegundua kuna cases za namna hii nyingi. Please guys tuwasaidie ndugu zetu kuendeleza academic talents zao kuliko kukaa nyumbani. Am sure Mungu atatubariki.
Ndugu zangu sisemi kuja India tu. Kama una uwezo mzuri wa fedha unaweza kwenda Uk, USA au australia.

Ila Kwa wanaotaka kuja India mimi nimejitolea kuwasaidia. Naomba nitumie email kama kweli una nia, na una shida.
Asanteni

Collezione, watanzania wenye moyo kama wako sio wengi. Humu ndani kuna watu wengi watakuja na post za kejeli na kukuita majina mengi; simply kwa sababu watu wengi (waTz) wanaamini katika kushindwa kutokana na historia na uzoefu wa nchi yetu. Binafsi baada ya kupata opportunity ya kusoma elimu ya juu kupitia scholarships kutoka serikali za nchi nyingine nimekuwa nikijitahidi kuwa encourage washkaji lakini wengi wanakuwa wazito (they don't believe hizi nafasi zipo na rahisi kupatikana). Kuhusu India nakuunga mkono elimu wanayotoa ni ya kiwango cha juu (ndugu angu mwenyewe wamesoma huko, na they are doing very well in their career). Ubabaishajikatika vyuo upo dunia nzima hata US kuna vyuo vya ubabaishaji; Mi natarajia watu serious wataiona hii ni nafasi ya adimu ya kupata mtuambaye yuko tayari kutoa guidance na msaada
C
 
Anayetaka kusoma elimu ya India katika centre ya UDSM kwa kupitia satellite video-conference, ani-PM nitampa maelekezo bure, especially wanaotaka MSc. IT
 
Collezione, watanzania wenye moyo kama wako sio wengi. Humu ndani kuna watu wengi watakuja na post za kejeli na kukuita majina mengi; simply kwa sababu watu wengi (waTz) wanaamini katika kushindwa kutokana na historia na uzoefu wa nchi yetu. Binafsi baada ya kupata opportunity ya kusoma elimu ya juu kupitia scholarships kutoka serikali za nchi nyingine nimekuwa nikijitahidi kuwa encourage washkaji lakini wengi wanakuwa wazito (they don't believe hizi nafasi zipo na rahisi kupatikana). Kuhusu India nakuunga mkono elimu wanayotoa ni ya kiwango cha juu (ndugu angu mwenyewe wamesoma huko, na they are doing very well in their career). Ubabaishajikatika vyuo upo dunia nzima hata US kuna vyuo vya ubabaishaji; Mi natarajia watu serious wataiona hii ni nafasi ya adimu ya kupata mtuambaye yuko tayari kutoa guidance na msaada
C
kuna maswali yanaulizwa, na ingekua rahisi tukipewa majibu hapa kwa msaada wa mwanzo, mie nataka kusoma Masterz ya language, unaweza kunpa website ya chuo ambacho naweza soma India? Gharama n sh ngap?
Colleazione, ungekua unajarbu kujbu maswal mengne hapahapa jamvini
 
Regards,

Kuhusa gharama inategemea na kozi unayotaka kusoma.

Kwa mfano kozi za biashara B.com na BBM ni $2500 first yea and $1000 kwa miaka ya 2 & 3. But kwa masters ni $4000 kwa mwaka wa kwanza and $2000 kwa miaka mingine. And this cost depends na chuo. Hapo nimewatajia vyuo vyenye average fees.

pharmacy ni $3000 first year. And $1500 remaining 3yrs,

Udaktari inaanzia $12,000-30,000 inategemea unasomea udaktari gani. Coz kuna dentist, neurologist n.k

That why nime-request mtu aniulize personal kwa kutumia email yangu ktegwa20@gmail.com

Please wasiliana na mimi kama kweli una nia ya kusoma. Otherwise niko bize sana na shule. You will be wasting yours and my time too. Thank you
 
Haha, mdogo angu amemaliza Alpha high school alipata div 1 pnt 4 PCM.
Anasoma india and Yuko telecomunication mwaka wa 2.
Ndugu sio watu wote wanaofeli wanakuja uku. Mimi nichofanya hapa ni kuwasaidia watu ambao hawajui another option, and this option could be better for them. Mbona wako wanafunzi wenye div 1 wengi tu. Achana na huyo mdogo angu.

And kuhusu kufeli, wapo watoto wa wakubwa walipata div 0 na wengine ni washikaji zangu wapo USA now. We unafikiri wote wanaoenda ulaya wamefaulu??? Au wana div 1.
Shame on you man
Plz! Naomba ufafanuzi zaidi hapa.Div 0 alafu anasoma nini?
 
safi sana kijana
ndio moyo wa uzalendo ulivyo,saidia vijana waje kukata shule bwana,nina dogo langu ila kwa sasa lipo Algeria nadhani likimaliza tu medicine itabidi nikutafute mkuu,

Cha msingi wanaohitaji nafasi hizo ni lazima wajitoe kwa mda na pesa,sio rahisi kama mfikiliavyo,maana kuna wengine wanadhani kwenda kusoma nje ni rahisi rahisi tu

kwa mfano wale wanaotaka kwenda USA kwa scholarship ni lazima upige GRE,ila sijaelewa kwa india ikoje,Kijana anaweza kutudokeza kidoke nini kinatakiwa haswahaswa
 
Ada inategemea na kozi unayosoma. Actual kuhusu cost of living ni kama bongo. And ukiwa unaishi ki-student bila mambo mengi. Life is far cheaper than bongo.

India has been cheap, that why recently kuna flow ya international students from all over the world. Sio Africa tu, namba ya wanafunzi kutoka marekani, korea, and eastern europe imeongezeka sana
Kaka nimekupata,ntakucheki kwa email unieleweshe vizur
 
safi sana kijana
ndio moyo wa uzalendo ulivyo,saidia vijana waje kukata shule bwana,nina dogo langu ila kwa sasa lipo Algeria nadhani likimaliza tu medicine itabidi nikutafute mkuu,

Cha msingi wanaohitaji nafasi hizo ni lazima wajitoe kwa mda na pesa,sio rahisi kama mfikiliavyo,maana kuna wengine wanadhani kwenda kusoma nje ni rahisi rahisi tu

kwa mfano wale wanaotaka kwenda USA kwa scholarship ni lazima upige GRE,ila sijaelewa kwa india ikoje,Kijana anaweza kutudokeza kidoke nini kinatakiwa haswahaswa
GRE ndo ni kaka
 
Regards,

Kuhusa gharama inategemea na kozi unayotaka kusoma.

Kwa mfano kozi za biashara B.com na BBM ni $2500 first yea and $1000 kwa miaka ya 2 & 3. But kwa masters ni $4000 kwa mwaka wa kwanza and $2000 kwa miaka mingine. And this cost depends na chuo. Hapo nimewatajia vyuo vyenye average fees.

pharmacy ni $3000 first year. And $1500 remaining 3yrs,

Udaktari inaanzia $12,000-30,000 inategemea unasomea udaktari gani. Coz kuna dentist, neurologist n.k

That why nime-request mtu aniulize personal kwa kutumia email yangu ktegwa20@gmail.com

Please wasiliana na mimi kama kweli una nia ya kusoma. Otherwise niko bize sana na shule. You will be wasting yours and my time too. Thank you
Ada kwa Masomo ya IT YOTE,
 
napenda sana kusoma india ila tatizo nasikia ukija na vyeti vyako vya india ukienda kuomba kazi unaambiwa hatutambui elimu yakooo
 
Kwa hyo unawashauri watu wote wanaoliwa vichwa bongo wakimbilie huko india co?maana cjawah ona kipanga anae faulu fresh afu akakimbilia kusoma huko,most of them huwa ni failures ndo wanakimbilia india,cjui kwa nin
huwa iko hvo!

Kaka acha dharau, most of vipanga wanatoka familia zisizoweza ku afford abroad bila scholarship, but kwa mzazi yeyote makini na mwenye uwezo awezi kuruhusu mtoto wake anaejua kipanga asome bongo, nimesoma nao wengi tu feza boys asilimia kubwa vyuo wameenda abroad wengine india, usa na uk,,, so ukiona mtu anaponda abroad ujue uwezo wake wasiwasi analeta sizitaki mbichi hizi wakati moyoni anajua ukweli
 
We si Ni Mnigeria? Huo uchungu na Tanzania watokea wapi?
Wasaalimu Jamii forum
Mimi ni kijana mwenzenu nasoma india kwa sasa. Ni mwaka wa 4. Nasomea medicine.
Ki ukweli huwa nawasikitikia sana vijana wenzangu, ambao pia naweza waita wadogo zangu. Pale matokeo yanapotoka. Wengi huchanganyikiwa "what next".
Ni wazi idadi ya shule Tanzania ni ndogo sana. Hasa kwa A-level na vyuo vikuu. Hivyo inawalazimu wengi kukatisha ndoto zao na kujikuta wakienda kusoma vitu ambavyo hawajatarajia kama vi-diploma n.k.
Na inasemekana kuwa huwa ni mpango madhubuti kufelisha wanafunzi kutokana na idadi ya shule kuwa ndogo au ufinyu wa fedha za mkopo.
Mimi kama mtanzania na mwenye mapenzi mema na wadogo zangu, nimeona niwaeleze opportunity zilizopo. Usikate tamaa kwa matokeo mabaya au kwa kukosa either shule au chuo. India is a place to study. Si kwamba wanapokea wanafunzi wajinga. La hasha, uku kuna shule nyingi sana. And huwa wanashangaa kwa nini vijana wanatoka Tz na matokeo mabaya wakija uku wanafaulu.
Kwa mfano mimi nilipata div3 ya mwisho, na vyuo bongo walinikataa. But nilipata chuo india na sasa nakaribia kuwa daktari. Na nina uhakika wa kuwa daktari mtaalamu na mjuzi zaidi ya wanaosomea bongo. Nyie wenyewe mnajua India ilivyo kwenye udaktari.
Basi kwa wadogo zangu wanaohitaji kuja india wanipigie kwenye hii namba +91 9731 595412. Kwa wanaotaka kuja kosema degree au pre university. mchipuo au Kozi yoyote ile.
Pre univerity ni kama form 5& 6 ya Tz.
NB: ukinitafuta uwe serious. Usilete utani, sina mda wa utani. Ninachojaribu ni kuwasaidia ili msipoteze malengo yenu
 
My dada alipata zero form six sasa anasoma UK na anafaulu kweli,afu ni kilaza hakuna.

Back
Top Bottom