Wasalaam,
Ndugu zangu nimepata email nyingi. Kuna wengi wanauliza concrete question, and wapo wanaouliza maswali ya kipuuzi na usumbufu.
Napenda tu kuwataarifu, am not a custumer care. please don't take an advantage of me. May be because nimeamua kusaidia watu. I am sure kuna watu wengi hapa wana shida na walikuwa hawajui hizi details, na ni kama nimewafumbua macho. Please acha wenzako wenye shida wani-contact. Wewe kama huna shida tulia please.
Mimi ni mwanafunzi uku, na nimeamua tu kusaidia watu. Naamini mwenyezi Mungu atanibariki in my future. Kwenye dini wanasema ukiwa mchoyo wa information, haisaidii. utakufa nayo pasipo kuwa na faida yoyote.
Ndugu nimeanzisha hii post kutoka experience niliyoipata kutoka kwa mtoto wa shangazi yangu. Amemaliza 2010 and alipotezaa mwaka mzima nyumbani baada ya kutoswa na vyuo vya bongo. And nimegundua kuna cases za namna hii nyingi. Please guys tuwasaidie ndugu zetu kuendeleza academic talents zao kuliko kukaa nyumbani. Am sure Mungu atatubariki.
Ndugu zangu sisemi kuja India tu. Kama una uwezo mzuri wa fedha unaweza kwenda Uk, USA au australia.
Ila Kwa wanaotaka kuja India mimi nimejitolea kuwasaidia. Naomba nitumie email kama kweli una nia, na una shida.
Asanteni
boscomfugale@yahoo.com